Mungu kwenye nyimbo ya Taifa WHY?

alikuwa anakunywa beer wakati anaandika......anyway namsubiri kakake GT anijibu......

au inawezekana viswali vyako ni softballs na wameamua kutokusumbuka kuvijibu.....thought about that?
 
It is evident that I don't believe, what did you want to shoulder them with?
 

SteveD,

Utagundua kuwa Mungu katika mantiki hii ni generic, hana dini bali ni nguvu inayoaminiwa na wanadamu takriban asilimia 99 kuwepo kwa nguvu na Uungu!

Shida ingekuwa kama tungesema Yesu, Muhamadi, Budha au kingine na si Mungu.

Lakini hata akatika wapagani, nao si wanaabudu nguvu za namna fulani katika uumbaji wa Dunia? Ikiwa kule kwetu Mwibara Mungu wetu ni ule Mbuyu mkubwa, tukiimba Mungu Ibariki Tanzania si basi kila mtu anawakilishwa, wa Yesu, Muhamadi, Mbuyu, Mwamba na Mlima?
 

Rev,

What about the people like me, who do not believe in any supernatural force? And as a result do not believe in kuomba "Mungu Ibariki Afrika"?


There is a large population of rational thinkers who discard not only the god idea, but everything that is purpoted to rise from supernatural forces, what can you tell us in this context?
 


na watu kama wewe bado wangependa kuimba huo wimbo ila wanapata tatizo na sehemu ya "Mungu Ibariki/Wabariki" au wana tatizo ni wimbo mzima?
 

So you believe in Bigb Bang theory sio? then that is your Mungu of some sort! The supernatural force lets call it Mungu maana it is so supernatural, undefined and unknown except through myth and belief!

Hata lile li-compactor walilolijenga EU could be a mungu of some sort of those who do not believe in Jah, Allah, Yahweh, Mungu, Kichuguu, Mbuyu au Anaconda!
 
Tunasema Tanzania haina dini, hatusemi Tanzania haina Mungu. Serikali ya Tanzania si ya dini, lakini Watanzania, karibu wote, wana dini. Wimbo wa taifa ni wimbo wa Watanzania. Si wa serikali. Serikali inabadilika lakini wimbo haubadiliki kwani si wa serikali, ni wa Taifa. Taifa la Tanzania linamtegemea Mungu, na linamwomba kila siku linapoimba wimbo wake wa Taifa.

Pundit; there is no contradiction between faith and reason. My reasoning helps me to strengthen my faith, for my faith is a reasonable one.

There is knowledge that is supernatural. Only faith makes it accessible. Thus, my faith deepens my knowledge. And with this deeper knowledge, I am better able to reason. I know what I believe.

It is wonderful that our national anthem is prayerful. It is based on the shared aspirations of the majority of Tanzanians. The fringe minority that cannot tolerate God has no right to impose their intolerance on us.
 
au inawezekana viswali vyako ni softballs na wameamua kutokusumbuka kuvijibu.....thought about that?

...post of the day,jamani makofi kwa Nyani tumbili McCain...pa pa pa papapa paaaa!
 
Jah Bless Afrika!
Anyways...Mwalimu nadhani aliwahi kusema ni heri uamini Mungu yupo halafu ukifa ukaenda kukuta hayupo basi powa tu.
Ila ukisema hayupo halafu ufe uende kukuta yupo(kama unaamini in life after death)Then noma.
 


Kwa Ma-earthist wote na Wapenzi wa Dunia,

PROVE TO ME THAT GOD DOES NOT EXIST?



They can't. All of them here are empty headed. Siumeona wamekukimbia, hawana jeuri ya ku=prove that God does not exist.

Hakuna hata mmoja jukwaani hapa atakaye prove that there is no GOD. Hawa wajamaa wote ni wafuata mkumbo.

 


Haah haha haha aha. Hapa mtu lazima akimbie. Let them prove that there is no GOD.

All they can do is blahing blahing.

Max weye mbaya sana weye. Unaona GT amekimbia sasa.

 
It is illogical to ask atheists to prove that God does not exist.
You cannot argue that "God exists because there is no proof of His non-existence" We do not at the moment have proof that aliens from outer space do not exist, but you may not conclude from that "therefore they exist".
 
It is a Law of Logic that you cannot prove a negative. So, it is illogical to ask for a proof that God does not exist. There are perfectly logical ways to confront the irrationality of non believers. Let us use those.


Define to me the law of logic. I want a proof from ALL Atheists that GOD DOES NOT EXIST.

ATHEIST DON'T BELIEVE IN GOD, THEN FOWARD TO ME WRITTEN EXIBITS TO SUPPORT YOUR BOGUS CLAIM THAT GOD DOES NOT EXIST. STOP BLAH BLAH, I NEED EXIBITS FROM YOU ATHEISTS THAT GOD DOES NOT EXIST.

You Athiests are the ones who don't belive in GOD, then prove it to me. I NEED ALL ATHIESTS TO PROVE TO ME THAT GOD DOES NOT EXISTS.
 
Last edited:

To ALL ETHIESTS IN THE WORLD, AND ALL THE PEOPLE WHO DON'T BELIEVE IN GOD.

I NEED A PROOF FROM YOU GUYS THAT GOD DOES NOT EXISTS. I WANT A WATERTIGHT LOGICAL PROOF OF NONE-EXISTENCE OF GOD.

 

Nchi yetu haina dini maana yake ni kwamba 'is not affiliated to or associated with a particular religious institution [religion]' - lakini sidhani kama ina maana ya 'atheism' yaani kutoamini katika Mungu.

Na hii iliwekwa makusudi kwani ingeleta matatizo katika waumini wanaoamini katika imani mbalimbali. Mfano, ukisema ni nchi ya Kiislamu, madhebu mengine yataonekana kama yanatengwa, nk.

Lakini kusema 'Mungu ibariki Tanzania' sidhani kama italeta matatizo yoyote katika wanajamii wa Kitanzania.
 

Pointless..
 

Wimbo wa Taifa umetoka kwenye kitabu kinachoitwa "sala ndogo za kanisa" kitabu cha kikatoliki kwenye ukurasa wake wa 22 na ndio kitabu kilichotoa sala ya bunge. Sasa hapo haihitaji degree kujua Mungu alyetajwa kwenye wimbo wa Taifa ni wakiislamu au kikristo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…