Mungu ibariki Algeria kesho dhidi ya CCM

Kosa lako ni kufuatilia kimya kimya[emoji23][emoji23].
Ningekuwa na uwezo ningemfuata ni mlambe makofi. Eti Michambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ok, nitakuwa active kukupa company. Ngoja niangalie harusi ya MC pili pili hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ameen
 
Jamaa alitaka kuhalalisha ushindi wa ccm kwa kupitia taifa stars.. kumbe shetani hajafa.

Wanaogopa 2020 kitawaka ndio maana wamehaha hii miaka 4 na wananchi wamekomaa kutowaelewa.

Na walipo sikia tundu lissu a arudi ndio wamechanganyikiwa maana wanajua lolote laweza kutokea hasa akichukua form ya urais.

Kwa kuwa katiba ina bana mtu aliye futiwa ubunge kugombea ndio maana wameamua kupiga chini ubunge wake ili asigombee 2020.

Magufuli mwoga kama kunguru lakini 2020 zomea zomea kama kawa hata alete wanyarwanda wake.
 
Hata samatta na msuva nao ni wajinga wanasema eti wanawakilisha serikali ya awamu ya tank na ilani ya sisiemu sasa sijui watz wote tupo gambaz ama LA..
Sijui yanalazimishwa kuongea.
Na huyu samata anajipendekeza nini hivyo? Na wakati ni mchezaji mkubwa tuu huko .
 
hahah hutaki kunipa assist?
siku ukija idodomiya fanya nijue ndg mwananchi mkereketwa
Yaan nahesab sik huku mm..nimejichokea balaa...hope 10th ntapita hapo aisee .nile bata kidg niendelee na safar
 
Ewaaaa.... maana uwaziri inaweza kuwa tabu. Naweza pewa ubalozi nawe ukahamia mjengoni ukawa Angel wa mzee baba
Mzee anapenda wasomi hata yule mheshimiwa wa Kisarawe ameenda shule. Niandikishe kwa Ras Simba hubby
 
Ok, nitakuwa active kukupa company. Ngoja niangalie harusi ya MC pili pili hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka company ya kutaka ccm fc itandikwe magoli.
Ile siku Mimi nilikuwa mpinzani peke yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…