Mungu anatenda kwa njia za ajabu

Mungu anatenda kwa njia za ajabu

Hii habari nimeelezwa na mama ninaefanya nae kazi. Huyu mama ni mpiganaji haswa wa maisha. Mume alimuacha na kuoa spring chicken. Sasa nyumbani yeye ndiyo baba na mama.

Alipata safari ya kwenda Afrika y Kusini ki kazi kwa wiki mbili. Pesa aliyopewa kazini haikutosha kuwaachia nyumbani. Na mama yake ambae ni kikongwe amehamia kwake.

Mama alisali sana kwa wiki moja na kumkabidhi Mungu hili tatizo. Wakati anajiandaa na safari alitafuta koti la baridi. Alipita mtumbani akanunua koti, amefika nyumbani alianza kusoma maelekezo ya ufuaji wa koti lile. Alikuta $500 kwenye mfuko wa koti.

Alipiga magoti na kumshukuru Mungu kwa utendaji wake. Msiende kumaliza makoti ya mitumba nimeileta habari hii ili kama ushuhuda wa miitikio ya Mungu katika shida zenu.
IYO NI BAHATI WHY KIJANA UACHE KUPAMBANA KAZI USUBILI BAHATI
 
Dah hapo kwenye spring chicken besti.
 
Ha ha haaaa..eti msiende kumaliza makoti ya mitumba. Kwa usawa huu wa mjomba Magu yatanunuliwa sana, yaani itakua kama vile aina fulani ya tatu mzuka, biko au sportpesa.
Zamani tuliwahi kuokota bastora humo mwenye makoti ya mitumba lakini tukaipeleka Polisi.
 
Hii habari nimeelezwa na mama ninaefanya nae kazi. Huyu mama ni mpiganaji haswa wa maisha. Mume alimuacha na kuoa spring chicken. Sasa nyumbani yeye ndiyo baba na mama.

Alipata safari ya kwenda Afrika y Kusini ki kazi kwa wiki mbili. Pesa aliyopewa kazini haikutosha kuwaachia nyumbani. Na mama yake ambae ni kikongwe amehamia kwake.

Mama alisali sana kwa wiki moja na kumkabidhi Mungu hili tatizo. Wakati anajiandaa na safari alitafuta koti la baridi. Alipita mtumbani akanunua koti, amefika nyumbani alianza kusoma maelekezo ya ufuaji wa koti lile. Alikuta $500 kwenye mfuko wa koti.

Alipiga magoti na kumshukuru Mungu kwa utendaji wake. Msiende kumaliza makoti ya mitumba nimeileta habari hii ili kama ushuhuda wa miitikio ya Mungu katika shida zenu.
hamana cha mungu ni bahati tu, mimi isha nitokea mara kibao bila hata kuwa na shida, na tena ilikuwa euro
 
Imani mkuu
Imani hizi!!
Kuna wakati nakengeuka, if God was do loving, asingeruhusu watu waumie kiasi hiki, duniani watu wanauliza sana.

The wealthiest make only 1℅ of the world's population. Watu 8 duniani wana utajiri ambao unamilikiwa na 3.6 billion poor people. Where is God to make the world "even"?
 
Alah a

Jitihada hazishindi kudra. Mshauri atafute mzee akae nae wanaume hata kama hatuna kazi nyumba inakuwa Na uzito.single mama wanapitia vipindi vigumu mwanaume anaweza kuwa mshauri mzuri
 
Mungu huwa anakupa kitachokusaidia hasa tatitzo likiwa lishakufika ama linakuja, mfano, unaweza kuwa na tatizo ambalo lahitaji laki 5, mpaka siku ya tukio ikawa huna hata mbuni, ajabu iko hapa, utapata pesa ki ajabu ajabu japo kwa machozi jasho na damu kwa kuungaunga utapata tuu, tatizo litaisha na pesa zesha zoote, sasaukiwa ni mtu wa kulalamika tuu siku zote, unaweza laumu, nimepata pesa zimeisha zote kwa matatizo, kumbe kuna nguvu flani nyuma yako
nakubaliana na wewe
 
mimi ishanitokea hiyo mara nyingi,and i know kuna nguvu ya ziada ambayo wengi huwa wanaibeza ambayo huwa inafix matatizo yetu kwenye hard times,i hope hiyo nguvu ndio inaitwa MUNGU!
 
kuna mfano mdogo tu, tena ni mwezi huo ulioisha ilinitokea mimi...kulikuwa na msiba Tanga na familia ikaniwakilisha,. mimi sikwenda ili kufanya backups za hapa na pale, sasa wakiwa huko, ukatokea msiba mwingine juu kwa juu pesa ikawa haitoshi, na mimi huku mambo hayaeleweki kila ukipata pesa zote unawatumia huko...kukawa na uhitaji mkubwa sana wa laki mbili huko msibani, nikapewa taarifa, wakati huo mimi mfukoni nina shilingi elfu 20 tuu, nikaumiza kichwa nikaona hapa sina ujanja ni kuwaanmbia tu kwa sina pesa kwa wakati huu nitarusha hiyo 20 niliyonayo basi, wakaridhika, sasa nilipoenda kwa wakala ambaye nafahamiana nae, nikamuachia zile 20 nikamwambia aweke ktk namba yangu, ilikuwa mida ya saa kumi jioni, saa mbili usiku nilipoangalia salio nikakuta kuna laki mbili na elfu nne..jina la wakala silo lile nililozoea, nikawaza sana hii pesa imetoka wapi? BIKO? Tatu Mizuka ama wapi? nikaenda kwa wakala, yule dada kufika tu pale yeye akawa wa kwanza kuniuliza umeiona pesa yako nikamjibu yap, nikasepa, sasa nikawa nasubiri simu kutoka kwa mtu yoyote nifahamu kama zimeingizwa ki makosa lakini mpaka kunakucha sikupata simu yoyote, nikatuma ile laki mbili yoote msibani nikabaki na buku..muda huo huo napigiwa simu sehemu kuna ka kazi flani simple tu, tukakubaliana malipo, nikachomoka kazini nikaenda kupiga ile dili kama nusu saa tu nikawa nimemaliza ambapo nililipwa laki mbili na ishirini, nafika tu kazini namkuta yule wakala nayefahamiana nae na mwingine nisiyemfahamu, wananiambia jana nilikurushia laki mbili badala ya elfu ishirini.. nikamwambia ni kweli hizo pesa nimeziona ila sikujua zilipotoka sababu wakala niliyempatia pesa jina lake nalifahamu na ningeziona ningezirudisha lakini mimi nimekuta esa bila msg, yule wakala ninayemfahamu akaniambia yeye aliishiwa salio hivyo akamwambia mwezake anitumie ndio akaongeza hiyo sifuri...nikawapa pesa zao, nikabaki tena na 20..sikulalamika zaidi nilicheka tu na kusema Ahsante Mungu, hukupenda niumbuke
 
very inspirational..
 
Duuh itakua Mungu anakupenda sana
 
Yani Uwezo wake huwa hauelezeki,anatenda maajabu sana..hapo pia ameweza kukuza imani yako mkuu..MUNGU ni mwema always
 
Imani hizi!!
Kuna wakati nakengeuka, if God was do loving, asingeruhusu watu waumie kiasi hiki, duniani watu wanauliza sana.

The wealthiest make only 1℅ of the world's population. Watu 8 duniani wana utajiri ambao unamilikiwa na 3.6 billion poor people. Where is God to make the world "even"?
asante mkuu maana hichi kitu huwa sikielewi hata kidogo, na huwa najisikia hasira sijui kwanini
 
Back
Top Bottom