Mungu anatenda kwa njia za ajabu

Mungu anatenda kwa njia za ajabu

Matayo 17:20 Yesu alisema ‘laiti mngekuwa na imani kama punje ya mustard mngehamisha milima’
 
mbona wenzetu wako imani tofauti sana na bado wanafanikiwa na maisha yanaenda vizuri na vipi kuhusu gap ya neno masikini na matajiri, kama ulisha wai kaa na walokole wengi huwa wana amini mwenye pesa huwa ni shetani na wataenda motoni, na huwa ndo wanaongoza kwa kuamini uchawi na majini na majaribu na mambo kede kede ila at last wanaishia kwenye maisha ambayo hata hawakutalajia
Wapagani kibao wanaishi bomba sana, wewe na mimi tunaosali/ swali kila siku tunaishi terrible lives.

At times you think hizi ni propaganda za mtu mweupe kumteka akili mtu mweusi, wajua sisi tunabeba kila tunaloambiwa, tumekuwa mateka wa watu waeupe.

Hao weupe walioleta ukristo wala hawana time na imani yao.

Kuna mdachi(Dutch) mmoja aliwahi kuniambia, religion is for poor people, even in Netherlands only the poor go to church, there's nothing like Jesus or God. Nilibaki mdomo wazi.
 
kuna mfano mdogo tu, tena ni mwezi huo ulioisha ilinitokea mimi...kulikuwa na msiba Tanga na familia ikaniwakilisha,. mimi sikwenda ili kufanya backups za hapa na pale, sasa wakiwa huko, ukatokea msiba mwingine juu kwa juu pesa ikawa haitoshi, na mimi huku mambo hayaeleweki kila ukipata pesa zote unawatumia huko...kukawa na uhitaji mkubwa sana wa laki mbili huko msibani, nikapewa taarifa, wakati huo mimi mfukoni nina shilingi elfu 20 tuu, nikaumiza kichwa nikaona hapa sina ujanja ni kuwaanmbia tu kwa sina pesa kwa wakati huu nitarusha hiyo 20 niliyonayo basi, wakaridhika, sasa nilipoenda kwa wakala ambaye nafahamiana nae, nikamuachia zile 20 nikamwambia aweke ktk namba yangu, ilikuwa mida ya saa kumi jioni, saa mbili usiku nilipoangalia salio nikakuta kuna laki mbili na elfu nne..jina la wakala silo lile nililozoea, nikawaza sana hii pesa imetoka wapi? BIKO? Tatu Mizuka ama wapi? nikaenda kwa wakala, yule dada kufika tu pale yeye akawa wa kwanza kuniuliza umeiona pesa yako nikamjibu yap, nikasepa, sasa nikawa nasubiri simu kutoka kwa mtu yoyote nifahamu kama zimeingizwa ki makosa lakini mpaka kunakucha sikupata simu yoyote, nikatuma ile laki mbili yoote msibani nikabaki na buku..muda huo huo napigiwa simu sehemu kuna ka kazi flani simple tu, tukakubaliana malipo, nikachomoka kazini nikaenda kupiga ile dili kama nusu saa tu nikawa nimemaliza ambapo nililipwa laki mbili na ishirini, nafika tu kazini namkuta yule wakala nayefahamiana nae na mwingine nisiyemfahamu, wananiambia jana nilikurushia laki mbili badala ya elfu ishirini.. nikamwambia ni kweli hizo pesa nimeziona ila sikujua zilipotoka sababu wakala niliyempatia pesa jina lake nalifahamu na ningeziona ningezirudisha lakini mimi nimekuta esa bila msg, yule wakala ninayemfahamu akaniambia yeye aliishiwa salio hivyo akamwambia mwezake anitumie ndio akaongeza hiyo sifuri...nikawapa pesa zao, nikabaki tena na 20..sikulalamika zaidi nilicheka tu na kusema Ahsante Mungu, hukupenda niumbuke
Hallelujah
 
IMANI ya mtu ndiyo inayomponya!Kua na imani ni jambo jema linaloweza kukuletea majibu ambayo kwa akili za kibinadamu ni ngumu kuamini kama yametokea!
 
Wapagani kibao wanaishi bomba sana, wewe na mimi tunaosali/ swali kila siku tunaishi terrible lives.

At times you think hizi ni propaganda za mtu mweupe kumteka akili mtu mweusi, wajua sisi tunabeba kila tunaloambiwa, tumekuwa mateka wa watu waeupe.

Hao weupe walioleta ukristo wala hawana time na imani yao.

Kuna mdachi(Dutch) mmoja aliwahi kuniambia, religion is for poor people, even in Netherlands only the poor go to church, there's nothing like Jesus or God. Nilibaki mdomo wazi.
Matayo 19:24 amini ninawaambia ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuona ufalme wa Mungu.
Wewe uko duniani ili uwe tajiri?
 
Matayo 19:24 amini ninawaambia ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuona ufalme wa Mungu.
Wewe uko duniani ili uwe tajiri?
Hayo ni maneno tu sky, the thing is when you die, the chapter is closed right there. Tupo duniani kufanya mambo kwa nyakati zetu, tukiondoka watakuja wengine and they'll do accordingly.

Propaganda za mtu mweupe zinatuumiza sana, ona walivyotengeza virusi vinavyosababisha upungufu wa kinga, all they want is kill us all.
 
kuna jamaa humu ndani aliweka historia ya bible na mtu aliie ipangaa maana ilikuwa vitabu tofauti na ilikuwa mwaka 320 kama sijakosea na hiyo dhana kuwa watu walikuwa wana ishi miaka elfu moja sidhani kama ni kweli huwa naangalia tu
 
Mungu ni mkuu sana, uwezo wake ni mkuu hakuna mfano, afanya vitu visivyoweza fikirika kwa akili za kawaida!
Mwacheni Mungu aitwe Mungu!
 
kipimo cha imani mkuuu,
faith its about what u realy beleive on somtin
n what challenging you today is where your faith is
kwahiyoo na vipi kuhusu wachina na mungu wao, na vipi kuhusu wale wahindi wenye kuamini ngombe ambaye sisi huku tuna mlia ugali na wali
 
kwahiyoo na vipi kuhusu wachina na mungu wao, na vipi kuhusu wale wahindi wenye kuamini ngombe ambaye sisi huku tuna mlia ugali na wali
Buddha na Banyan wote wanaamini Mungu. Banyan ng’ombe alimnyonyesha mtume wao
 
kwahiyoo na vipi kuhusu wachina na mungu wao, na vipi kuhusu wale wahindi wenye kuamini ngombe ambaye sisi huku tuna mlia ugali na wali
Halafu kila siku tunaenda kupata tiba ya kisasa kabisa kwa hao wachina/wahindi wanaamini ng'ombe. Yani sisi wenye Mungu wa kweli tunategemea vipi watu wanaoamini wanyama?
 
Ukimwamini Mungu huwa hakuachi
Mbona masikini kibao wanamwamini Mungu, wanashinda makanisani/misikitini wakimwomba Mungu? Mbona wao wameachwa na umasikini wao unazidi kuongezeka?
 
Back
Top Bottom