Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,403
- 465,266
Kikubwa ni Imani tu unaweza kushinda kanisani na msikitini na usimwamini Mungu ukiwa unamuombaMbona masikini kibao wanamwamini Mungu, wanashinda makanisani/misikitini wakimwomba Mungu? Mbona wao wameachwa na umasikini wao unazidi kuongezeka?