sky walker
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 1,160
- 834
kumbuka mwana damu amepewa utashii tu. so usipo utumia ndo utabaki ukikesha churh na kusubiri wazungu wawalete misaada na history za dini ili mbaki katika wimbi la dilemamimi ishanitokea hiyo mara nyingi,and i know kuna nguvu ya ziada ambayo wengi huwa wanaibeza ambayo huwa inafix matatizo yetu kwenye hard times,i hope hiyo nguvu ndio inaitwa MUNGU!