Mungu aliwaumba wanawake wawili tofauti

Agnamkwili

New Member
Jun 22, 2022
4
10
Kutokana na Biblia, "Mwz: 1:27 ....... Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba". Kwa maana aliwafinyanga.

Vilevile "Mwz: 2:21, Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito nae akalala, kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahali pake. 22 na ule ubavu alioutoa kwa Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke akamleta kwa Adamu. 23 Adamu akasema SASA huyu ni mifupa katika mifupa yangu na nyama katika nyama yangu basi ataitwa mwanamke kwasababu ametwaliwa katika mwanamume".

Hapa inaonekana wazi kuwa uumbaji wa wanawake hawa 2 ulikuwa tofauti. Wakwanza ambaye anajulika kwa jina la Lilith (kwa mujibu wa waandishi mbalimbali kutoka kwenye Google) huyu aliumbwa kwa kufinyangwa sawa na Adamu.

Hivyo hakumtii Adamu kwakuwa walikuwa sawa hakuona sababu ya kuwa chini ya Adamu.

Usawa unaodaiwa na wanawake siku hizi ulianzia hapo. Baada ya kuto kuelewana Lilith liondoka na kumuacha Adamu. Alikwenda kuolewa na Malaika Mkuu aliyeasi Mbinguni na kutupwa Duniani. Hivyo walizaa watoto (uzao wa uasi) Majitu.

Kipindi hicho Adamu alibaki peke yake Bustanini. Ndipo Mungu hakuona vyema akamtengenezea mwanamke kutoka katika ubavu wake.

Pia tunaona neno alilolitamka Adamu baada ya kupewa mwanamke "SASA" linaonyesha wazi kuwa kulikuwa na mwanamke wakwanza ambaye hakuridhika nae ila huyu wa SASA ndiye aliridhika nae.

Baadae ndipo walipo danganywa na Ibilisi (Nyoka) wakafukuzwa Bustanini. Wakaenda kuanzisha familia ambapo walimzaa Kaini na Abili na wengine Kaini alimuua Abili baada sadaka yake kukataliwa na Bwana Mungu. Nae Mungu alimlaani akatoka katika familia ya Adamu.

Ndiyo baadae alienda kuoa. Alimuoa binti kutoka kwa mwanamke Lilith na Ibilisi, Uzao wao ni wa uasi maana wao walimuasi Mungu. Uzao huu ni mwingi na umembatana na Mambo kama mauaji, ngono, wizi, choyo, ubinafsi kutawaliwa na fedha badala ya kuitawala fedha, dhuluma, uonevu n.k uzao huu ni zao wa laana, ambao ni wengi hata sasa.

Na uzao wa Adamu na Hawa ni uzao wenye Baraka za Mungu. Umejaa upendo, kuheshimiana, uvumilivu, kuchukuliana, staha yaani mambo yote mema yaliambatana na uzo huu wa Adamu na Hawa, ambao ni wachache hata sasa.

Sasa hebu tujingalie sisi tupo kwenye uzao gani wa Lilith na Ibilisi au Adamu na Hawa? Maana DNA zao tunzo na zitaendelea vizazi kwa vizazi.
 
Ngoja nikutoe ujinga.

Mungu hakuumba wanawake wawili, ni mmoja tu.

unachotakiwa kujua ni kwamba Katika mwanzo sura ya Kwanza Uumbaji aliofanya Mungu ni kuumba Roho peke yake, Kisha Sura ya Pili ndipo mwili ulifinyangwa.

soma biblia vizuri nakwa utulivu zaidi.
 
Hizi mada tushajadili sana. To form na to create kuna tofauti?
Kama ni msomaji mzuri wa bibilia sura yote ya pili Mungu bado anaendelea kuumba. Wakati kule mwanzo 1 aliahamaliza kuumba na akapumzika.
 
Mimi ni muumini wa Qur'an katika kitabu hicho hakuna binaadamu anaeitwa Lilith. Na suala la uumbaji analolizungumzia Mungu kuumba sio huyo Lilith bali ni Eva ambaye alitokana na ubavu wa Adam
 
Ngoja nikutoe ujinga.

Mungu hakuumba wanawake wawili, ni mmoja tu.

unachotakiwa kujua ni kwamba Katika mwanzo sura ya Kwanza Uumbaji aliofanya Mungu ni kuumba Roho peke yake, Kisha Sura ya Pili ndipo mwili ulifinyangwa.

soma biblia vizuri nakwa utulivu zaidi.
Wewe ulikuwepo?..mbona mbishi sana..hii nadharia ya mleta uzi insonekana iko sawa kabisa...fungua akili.

Shida wafia dini akili zenu zimefungwa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hapo alikuwa anaelezea uumbaji kwa mfululizo hadi siku ya Saba.
Kuanzia Mwanzo 2 ndio alielezea alivyofanya uumbaji
 
Mungu hakuumba wanawake wawili tofauti.
Soma biblia yako vzr,with the help of Holy spirit!

Kilichoumbwa kwanza ni Cha kiroho
Then kikaja Cha kimwili!

Note; Kila kitu ni Cha kiroho kwanza kabla hakijawa cha kimwili!
 
Ngoja nikutoe ujinga.

Mungu hakuumba wanawake wawili, ni mmoja tu.

unachotakiwa kujua ni kwamba Katika mwanzo sura ya Kwanza Uumbaji aliofanya Mungu ni kuumba Roho peke yake, Kisha Sura ya Pili ndipo mwili ulifinyangwa.

soma biblia vizuri nakwa utulivu zaidi.
Kwamba kuna roho ya kiume na ya kike?
 
Hizi mada tushajadili sana. To form na to create kuna tofauti?
Kama ni msomaji mzuri wa bibilia sura yote ya pili Mungu bado anaendelea kuumba. Wakati kule mwanzo 1 aliahamaliza kuumba na akapumzika.
Baada ya uumbaji wa siku dita mungu hakuumba tena kitu chochote ukiondoa hawa
 
Ngoja nikutoe ujinga.

Mungu hakuumba wanawake wawili, ni mmoja tu.

unachotakiwa kujua ni kwamba Katika mwanzo sura ya Kwanza Uumbaji aliofanya Mungu ni kuumba Roho peke yake, Kisha Sura ya Pili ndipo mwili ulifinyangwa.

soma biblia vizuri nakwa utulivu zaidi.
Kaini alioa wapi
 
Ndugu nafikiri wewe ndiye unaetakiwa kutoa ujinga maana hujiongezi kwa kusoma maandiko mbalimbali kuhusu uumbaji. Nikuambie sio kila kitu kiliandikwa kwenye Biblia. Ili umfahamu Lilith ingia Google tafuta kwa kuandika"Lilith ni nani?" Hapo utapata maandiko mengi yatakayo kupa umfahamu zaidi. SOMA USIWE MVIVU.
 
mkuu huyo aliefinyangwa mojakwamoja atakua ndio hawa wanaotaka haki sawa

Yes, nshawahi soma mahali kwamba zao la lilith ndio hawa Feminist wanaotaka haki sawa na wanachukuaga mali nusu wanakimbia nduki kama alivyofanya mama yao
 
Back
Top Bottom