Mungu aliwaumba wanawake wawili tofauti

Kutokana na Biblia, "Mwz: 1:27 ....... Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba". Kwa maana aliwafinyanga.

Vilevile "Mwz: 2:21, Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito nae akalala, kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahali pake. 22 na ule ubavu alioutoa kwa Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke akamleta kwa Adamu. 23 Adamu akasema SASA huyu ni mifupa katika mifupa yangu na nyama katika nyama yangu basi ataitwa mwanamke kwasababu ametwaliwa katika mwanamume".

Hapa inaonekana wazi kuwa uumbaji wa wanawake hawa 2 ulikuwa tofauti. Wakwanza ambaye anajulika kwa jina la Lilith (kwa mujibu wa waandishi mbalimbali kutoka kwenye Google) huyu aliumbwa kwa kufinyangwa sawa na Adamu.

Hivyo hakumtii Adamu kwakuwa walikuwa sawa hakuona sababu ya kuwa chini ya Adamu.

Usawa unaodaiwa na wanawake siku hizi ulianzia hapo. Baada ya kuto kuelewana Lilith liondoka na kumuacha Adamu. Alikwenda kuolewa na Malaika Mkuu aliyeasi Mbinguni na kutupwa Duniani. Hivyo walizaa watoto (uzao wa uasi) Majitu.

Kipindi hicho Adamu alibaki peke yake Bustanini. Ndipo Mungu hakuona vyema akamtengenezea mwanamke kutoka katika ubavu wake.

Pia tunaona neno alilolitamka Adamu baada ya kupewa mwanamke "SASA" linaonyesha wazi kuwa kulikuwa na mwanamke wakwanza ambaye hakuridhika nae ila huyu wa SASA ndiye aliridhika nae.

Baadae ndipo walipo danganywa na Ibilisi (Nyoka) wakafukuzwa Bustanini. Wakaenda kuanzisha familia ambapo walimzaa Kaini na Abili na wengine Kaini alimuua Abili baada sadaka yake kukataliwa na Bwana Mungu. Nae Mungu alimlaani akatoka katika familia ya Adamu.

Ndiyo baadae alienda kuoa. Alimuoa binti kutoka kwa mwanamke Lilith na Ibilisi, Uzao wao ni wa uasi maana wao walimuasi Mungu. Uzao huu ni mwingi na umembatana na Mambo kama mauaji, ngono, wizi, choyo, ubinafsi kutawaliwa na fedha badala ya kuitawala fedha, dhuluma, uonevu n.k uzao huu ni zao wa laana, ambao ni wengi hata sasa.

Na uzao wa Adamu na Hawa ni uzao wenye Baraka za Mungu. Umejaa upendo, kuheshimiana, uvumilivu, kuchukuliana, staha yaani mambo yote mema yaliambatana na uzo huu wa Adamu na Hawa, ambao ni wachache hata sasa.

Sasa hebu tujingalie sisi tupo kwenye uzao gani wa Lilith na Ibilisi au Adamu na Hawa? Maana DNA zao tunzo na zitaendelea vizazi kwa vizazi.
Mungu alikuwa ameshaumba mwanamke mmoja tu hadi kufikia muda Adam anapewa usingizi. Wakati Mungu anachomoa ubavu kutoka kwa Adam, alianza sasa kazi ya kuunda mwili wa mwanamke aliyekuwa amemuumba; hapa alikuwa haumbi tena bali alikuwa anafnya modification tu ya kile ambacho alichokuwa tayari ameshakiumba yaani alikuwa anaunda bodi ya Hawa. Mwanamke aliyeumbwa kabla ya Adam kupewa usingizi alikuwa kwenye form ya "roho bila mwili". Baada ya Adamu kupewa usingizi, roho ndiyo ikawa imepewa mwili
Mpaka muda huo wa Adam kupewa usingizi, Mungu alikuwa ameshaumba mwanamke mmoja tu na si wawil. Tafadhali unaombwa sana uzingatie hilo
 
Ndio..

Niliwahi kuweka Uzi huu miaka kadhaa iliyopita.

Na Kwa kuongezea ni kwamba uzao ule unaambata na matukio kama kutoa mimba, kutoa mbegu na kuzinwaga hovyo Kwa kuwa uzao ule hula chakula hicho manii na uchafu kama huo.

Wanawake Hawa warembo miaka hii ni kuwa makini nao Kwa kuwa wengine wanatokana na humo.

Kikubwa ni kwamba bado unaweza ukajitakasa na ukawa msafi. Ukamuabudu Allah S.W.

Kwa wenzetu waislam hujitakasa na kuhakikisha hata mate ni uchafu, mkojo, nk.

Hakikisha unalala umejitakasa.
 
Kwamba kuna roho ya kiume na ya kike?
Hata Malaika wapo wa kiume na kike. Bt hawaongezeki kama WANADAMU waongezekavyo kupitia jinsia zao.

Amwaminiye Kristo anaitwa bi harusi.

Kanisa linaitwa Bi harusi pia Kwa Yesu.

Kumuelewa Mungu Kwa akili za kibinadamu KAZI sana.
 
Mungu alikuwa ameshaumba mwanamke mmoja tu hadi kufikia muda Adam anapewa usingizi. Wakati Mungu anachomoa ubavu kutoka kwa Adam, alianza sasa kazi ya kuunda mwili wa mwanamke aliyekuwa amemuumba; hapa alikuwa haumbi tena bali alikuwa anafnya modification tu ya kile ambacho alichokuwa tayari ameshakiumba yaani alikuwa anaunda bodi ya Hawa. Mwanamke aliyeumbwa kabla ya Adam kupewa usingizi alikuwa kwenye form ya "roho bila mwili". Baada ya Adamu kupewa usingizi, roho ndiyo ikawa imepewa mwili
Mpaka muda huo wa Adam kupewa usingizi, Mungu alikuwa ameshaumba mwanamke mmoja tu na si wawil. Tafadhali unaombwa sana uzingatie hilo
Naona wewe ndio ulikuwepo muda huo...hizi story za kukaririswa hazina uhalisia hata kidogo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mungu hakuumba wanawake wawili tofauti.
Soma biblia yako vzr,with the help of Holy spirit!

Kilichoumbwa kwanza ni Cha kiroho
Then kikaja Cha kimwili!

Note; Kila kitu ni Cha kiroho kwanza kabla hakijawa cha kimwili!
Na wewe unazidi tu kuchanganganya watu!

Uumbaji wa kiroho ni upi kwa kifungu kipi cha biblia na uumbaji wa mwili ni upi kwa kifungu kipi cha biblia?
Embu ekezea kwa kina ili tuitathimini mantiki yako.
 
A
Kutokana na Biblia, "Mwz: 1:27 ....... Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba". Kwa maana aliwafinyanga.

Vilevile "Mwz: 2:21, Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito nae akalala, kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahali pake. 22 na ule ubavu alioutoa kwa Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke akamleta kwa Adamu. 23 Adamu akasema SASA huyu ni mifupa katika mifupa yangu na nyama katika nyama yangu basi ataitwa mwanamke kwasababu ametwaliwa katika mwanamume".

Hapa inaonekana wazi kuwa uumbaji wa wanawake hawa 2 ulikuwa tofauti. Wakwanza ambaye anajulika kwa jina la Lilith (kwa mujibu wa waandishi mbalimbali kutoka kwenye Google) huyu aliumbwa kwa kufinyangwa sawa na Adamu.

Hivyo hakumtii Adamu kwakuwa walikuwa sawa hakuona sababu ya kuwa chini ya Adamu.

Usawa unaodaiwa na wanawake siku hizi ulianzia hapo. Baada ya kuto kuelewana Lilith liondoka na kumuacha Adamu. Alikwenda kuolewa na Malaika Mkuu aliyeasi Mbinguni na kutupwa Duniani. Hivyo walizaa watoto (uzao wa uasi) Majitu.

Kipindi hicho Adamu alibaki peke yake Bustanini. Ndipo Mungu hakuona vyema akamtengenezea mwanamke kutoka katika ubavu wake.

Pia tunaona neno alilolitamka Adamu baada ya kupewa mwanamke "SASA" linaonyesha wazi kuwa kulikuwa na mwanamke wakwanza ambaye hakuridhika nae ila huyu wa SASA ndiye aliridhika nae.

Baadae ndipo walipo danganywa na Ibilisi (Nyoka) wakafukuzwa Bustanini. Wakaenda kuanzisha familia ambapo walimzaa Kaini na Abili na wengine Kaini alimuua Abili baada sadaka yake kukataliwa na Bwana Mungu. Nae Mungu alimlaani akatoka katika familia ya Adamu.

Ndiyo baadae alienda kuoa. Alimuoa binti kutoka kwa mwanamke Lilith na Ibilisi, Uzao wao ni wa uasi maana wao walimuasi Mungu. Uzao huu ni mwingi na umembatana na Mambo kama mauaji, ngono, wizi, choyo, ubinafsi kutawaliwa na fedha badala ya kuitawala fedha, dhuluma, uonevu n.k uzao huu ni zao wa laana, ambao ni wengi hata sasa.

Na uzao wa Adamu na Hawa ni uzao wenye Baraka za Mungu. Umejaa upendo, kuheshimiana, uvumilivu, kuchukuliana, staha yaani mambo yote mema yaliambatana na uzo huu wa Adamu na Hawa, ambao ni wachache hata sasa.

Sasa hebu tujingalie sisi tupo kwenye uzao gani wa Lilith na Ibilisi au Adamu na Hawa? Maana DNA zao tunzo na zitaendelea vizazi kwa vizazi.
AIsee
 
Nilivyoelewa mm uumbaji wa kwanza ulikuwa spiritually Yani nafsi..
Uumbaji wa pili ndio huu wa kimwli Mana Mungu hakurudi Tena mavumbini kumuumba mtu mke.
Katika roho mtu mke na mtu mume Ni sawa ila kimwili Ni tofauti rejea aliposema kwa mfano wake( Mungu anaongelewa spiritually ).
 
Kutokana na Biblia, "Mwz: 1:27 ....... Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba". Kwa maana aliwafinyanga.

Vilevile "Mwz: 2:21, Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito nae akalala, kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahali pake. 22 na ule ubavu alioutoa kwa Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke akamleta kwa Adamu. 23 Adamu akasema SASA huyu ni mifupa katika mifupa yangu na nyama katika nyama yangu basi ataitwa mwanamke kwasababu ametwaliwa katika mwanamume".

Hapa inaonekana wazi kuwa uumbaji wa wanawake hawa 2 ulikuwa tofauti. Wakwanza ambaye anajulika kwa jina la Lilith (kwa mujibu wa waandishi mbalimbali kutoka kwenye Google) huyu aliumbwa kwa kufinyangwa sawa na Adamu.

Hivyo hakumtii Adamu kwakuwa walikuwa sawa hakuona sababu ya kuwa chini ya Adamu.

Usawa unaodaiwa na wanawake siku hizi ulianzia hapo. Baada ya kuto kuelewana Lilith liondoka na kumuacha Adamu. Alikwenda kuolewa na Malaika Mkuu aliyeasi Mbinguni na kutupwa Duniani. Hivyo walizaa watoto (uzao wa uasi) Majitu.

Kipindi hicho Adamu alibaki peke yake Bustanini. Ndipo Mungu hakuona vyema akamtengenezea mwanamke kutoka katika ubavu wake.

Pia tunaona neno alilolitamka Adamu baada ya kupewa mwanamke "SASA" linaonyesha wazi kuwa kulikuwa na mwanamke wakwanza ambaye hakuridhika nae ila huyu wa SASA ndiye aliridhika nae.

Baadae ndipo walipo danganywa na Ibilisi (Nyoka) wakafukuzwa Bustanini. Wakaenda kuanzisha familia ambapo walimzaa Kaini na Abili na wengine Kaini alimuua Abili baada sadaka yake kukataliwa na Bwana Mungu. Nae Mungu alimlaani akatoka katika familia ya Adamu.

Ndiyo baadae alienda kuoa. Alimuoa binti kutoka kwa mwanamke Lilith na Ibilisi, Uzao wao ni wa uasi maana wao walimuasi Mungu. Uzao huu ni mwingi na umembatana na Mambo kama mauaji, ngono, wizi, choyo, ubinafsi kutawaliwa na fedha badala ya kuitawala fedha, dhuluma, uonevu n.k uzao huu ni zao wa laana, ambao ni wengi hata sasa.

Na uzao wa Adamu na Hawa ni uzao wenye Baraka za Mungu. Umejaa upendo, kuheshimiana, uvumilivu, kuchukuliana, staha yaani mambo yote mema yaliambatana na uzo huu wa Adamu na Hawa, ambao ni wachache hata sasa.

Sasa hebu tujingalie sisi tupo kwenye uzao gani wa Lilith na Ibilisi au Adamu na Hawa? Maana DNA zao tunzo na zitaendelea vizazi kwa vizazi.
Unaelezea kitu kama ulikuwepo vile, siku vinatokea.
 
Ngoja nikutoe ujinga.

Mungu hakuumba wanawake wawili, ni mmoja tu.

unachotakiwa kujua ni kwamba Katika mwanzo sura ya Kwanza Uumbaji aliofanya Mungu ni kuumba Roho peke yake, Kisha Sura ya Pili ndipo mwili ulifinyangwa.

soma biblia vizuri nakwa utulivu zaidi.
Siku Mungu anaufinyanga mwili uliona?
 
Mungu hakuumba wanawake wawili tofauti.
Soma biblia yako vzr,with the help of Holy spirit!

Kilichoumbwa kwanza ni Cha kiroho
Then kikaja Cha kimwili!

Note; Kila kitu ni Cha kiroho kwanza kabla hakijawa cha kimwili!
Mungu aliyeumba binadamu ya kiroho na vitu vya kiroho. Na Mungu aliyeumba visivyo vya kiroho. Ni tofauti
 
Kutokana na Biblia, "Mwz: 1:27 ....... Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba". Kwa maana aliwafinyanga.

Vilevile "Mwz: 2:21, Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito nae akalala, kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahali pake. 22 na ule ubavu alioutoa kwa Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke akamleta kwa Adamu. 23 Adamu akasema SASA huyu ni mifupa katika mifupa yangu na nyama katika nyama yangu basi ataitwa mwanamke kwasababu ametwaliwa katika mwanamume".

Hapa inaonekana wazi kuwa uumbaji wa wanawake hawa 2 ulikuwa tofauti. Wakwanza ambaye anajulika kwa jina la Lilith (kwa mujibu wa waandishi mbalimbali kutoka kwenye Google) huyu aliumbwa kwa kufinyangwa sawa na Adamu.

Hivyo hakumtii Adamu kwakuwa walikuwa sawa hakuona sababu ya kuwa chini ya Adamu.

Usawa unaodaiwa na wanawake siku hizi ulianzia hapo. Baada ya kuto kuelewana Lilith liondoka na kumuacha Adamu. Alikwenda kuolewa na Malaika Mkuu aliyeasi Mbinguni na kutupwa Duniani. Hivyo walizaa watoto (uzao wa uasi) Majitu.

Kipindi hicho Adamu alibaki peke yake Bustanini. Ndipo Mungu hakuona vyema akamtengenezea mwanamke kutoka katika ubavu wake.

Pia tunaona neno alilolitamka Adamu baada ya kupewa mwanamke "SASA" linaonyesha wazi kuwa kulikuwa na mwanamke wakwanza ambaye hakuridhika nae ila huyu wa SASA ndiye aliridhika nae.

Baadae ndipo walipo danganywa na Ibilisi (Nyoka) wakafukuzwa Bustanini. Wakaenda kuanzisha familia ambapo walimzaa Kaini na Abili na wengine Kaini alimuua Abili baada sadaka yake kukataliwa na Bwana Mungu. Nae Mungu alimlaani akatoka katika familia ya Adamu.

Ndiyo baadae alienda kuoa. Alimuoa binti kutoka kwa mwanamke Lilith na Ibilisi, Uzao wao ni wa uasi maana wao walimuasi Mungu. Uzao huu ni mwingi na umembatana na Mambo kama mauaji, ngono, wizi, choyo, ubinafsi kutawaliwa na fedha badala ya kuitawala fedha, dhuluma, uonevu n.k uzao huu ni zao wa laana, ambao ni wengi hata sasa.

Na uzao wa Adamu na Hawa ni uzao wenye Baraka za Mungu. Umejaa upendo, kuheshimiana, uvumilivu, kuchukuliana, staha yaani mambo yote mema yaliambatana na uzo huu wa Adamu na Hawa, ambao ni wachache hata sasa.

Sasa hebu tujingalie sisi tupo kwenye uzao gani wa Lilith na Ibilisi au Adamu na Hawa? Maana DNA zao tunzo na zitaendelea vizazi kwa vizazi.

Ni kweli kutokana na maandiko ya wagiriki ambapo sehemu kubwa ya Biblia imetolewa huko, mwanamke wa kwanza kuumbwa alikuwa anaitwa Lilith na alikuwa na misuli sawa na Adam (maana waliumbwa sawa). Lilith hakumtii Adam wala kutaka kuwa chini yake. Kwa sababu hiyo alifukuzwa Eden na kuwa demonised. Baada ya Adam kukaa muda mrefu peke yake kwenye bustani ndipo Mungu aliamua kumuumbia mwanamke mwingine “Si vizuri kwa mtu huyu kuwa peke yake, nitamfanyia msaidizi…” Hawa au Eva aliumbwa toka kwenye sehemu ya Adam na sio kufinyangwa kama Lilith. Neno la mnakuwa mwili mmoja linalosemwa na mitume linasemekana kutokea hapa. Uumbwaji wake toka kwenye ubavu ulimaanisha udhaifu na kuwa sehemu ya kiungo cha Adam.

Wanawake wengi wanaopigania usawa kati ya mwanaume na mwanamke wanamtumia sana Lilith kama role model…. Wanajiita Ferminist.
 
Nafikiri sikusoma uzi wako wote, tunauelewa sawa
 
Wewe ulikuwepo?..mbona mbishi sana..hii nadharia ya mleta uzi insonekana iko sawa kabisa...fungua akili.

Shida wafia dini akili zenu zimefungwa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Swali likurudie: wewe ulikuwepo? Unaona hoja yako inavyokuwa ya kijinga mara!? Ni vema ukajadili mada kwa logic kuliko kubwabwaja tu kana kwamba wewe ndio authority ya mwisho. Hicho chanzo chenu kiitwacho google kina umri gani?
 
Kutokana na Biblia, "Mwz: 1:27 ....... Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba". Kwa maana aliwafinyanga.

Vilevile "Mwz: 2:21, Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito nae akalala, kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahali pake. 22 na ule ubavu alioutoa kwa Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke akamleta kwa Adamu. 23 Adamu akasema SASA huyu ni mifupa katika mifupa yangu na nyama katika nyama yangu basi ataitwa mwanamke kwasababu ametwaliwa katika mwanamume".

Hapa inaonekana wazi kuwa uumbaji wa wanawake hawa 2 ulikuwa tofauti. Wakwanza ambaye anajulika kwa jina la Lilith (kwa mujibu wa waandishi mbalimbali kutoka kwenye Google) huyu aliumbwa kwa kufinyangwa sawa na Adamu.

Amani kwako mkuu. Kwanza nianze kwa kusikitika kufuatia ujengaji wako wa logic. Inachukua maandiko ya Kikristo kisha unaunganisha na utunzi wa Google ili kutengeneza picha unayoikusudia. Hili si sawa na aina hii ya uchambuzi ni hila potofu zilizokusudiwa kujenga taswira ovu dhidi ya imani.

Umeanza kwa kunukuu kutoka kitabu cha Mwanzo:

Mwanzo 1 (Genesis 1)

26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.

26 Then God said, "Let Us make man in Our image, according to Our likeness; let them have dominion over the fish of the sea, over the birds of the air, and over the cattle, over all the earth and over every creeping thing that creeps on the earth."

27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

27 So God created man in His own image; in the image of God He created him; male and female He created them.

Hapa Mungu alikuwa akihitimisha uumbaji aliouanzisha kwa kumuumba mwanadamu ambapo aliwaumba mtu mume na mtu mke. Hakuna mahali imeandikwa alimuumba LILITH isipokuwa pale unapotumia ujanja ujanja kutaka kupenyeza maandishi ya Google na kuyapa authority ya scriptures. Hii ni mbinu ya shetani kujaribu kupotosha maandiko. Acha Biblia ijifafanue yenyewe kwani inayo mambo yote kwa kadiri ya mahitaji ya wanadamu.

Ukweli na upi? Nimekuwekea nukuu ya Kiingereza kwa sababu Kiswahili kina maneno mengi ya jumla yasiyotoa maana halisi, hata wanasheria wanatambua hili:

27 So God created man in His own image; in the image of God He created him;

Hapo iko wazi kwa wanaoelewa lugha, Mungu alimuumba mtu MUME kwa sura yake. Huo ni uumbaji wa kwanza kabisa, mtu mume. Halafu sehemu ya pili ya sentensi inaendelea:

27 .......male and female He created them.

Akawafanya mtu mume na mtu mke. Hii ina maana ndogo tu, kwamba aliumba mtu mume, kisha katika huyu mtu akawafanya mtu mume na mke, ndio kutoka ubavuni. Hilo liko wazi kabisa kama unasoma maandiko kwa kutafakari na sio kwa hila.

Hapo elewa hivi, mwanamume ndiye aliyeumbwa kwa sura ya Mungu, kisha kutoka huyo akatenganisha mwanamume na mwanamke.

Hivyo hakumtii Adamu kwakuwa walikuwa sawa hakuona sababu ya kuwa chini ya Adamu.

Usawa unaodaiwa na wanawake siku hizi ulianzia hapo. Baada ya kuto kuelewana Lilith liondoka na kumuacha Adamu. Alikwenda kuolewa na Malaika Mkuu aliyeasi Mbinguni na kutupwa Duniani. Hivyo walizaa watoto (uzao wa uasi) Majitu.

Hii ni ngano nzuri masikioni lakini haina msingi katika Biblia. Tuiachie Google kuthibitisha haya, sisi tujikite na hoja zenye mashiko

Habari ya giants au majitu haina uhusiano na huo utunzi wako, ni habari iliyo kamili katika maandiko.

Kipindi hicho Adamu alibaki peke yake Bustanini. Ndipo Mungu hakuona vyema akamtengenezea mwanamke kutoka katika ubavu wake.

Pia tunaona neno alilolitamka Adamu baada ya kupewa mwanamke "SASA" linaonyesha wazi kuwa kulikuwa na mwanamke wakwanza ambaye hakuridhika nae ila huyu wa SASA ndiye aliridhika nae.

Hebu tutazame sura ya pili ya kitabu cha Mwanzo:

Mwanzo 2

1 Basi mbingu na nchi zikamalizika, na jeshi lake lote.

Hapa Mungu anaanza kwa kutuambia mbingu NA NCHI zilikamikika katika kuumbwa. Swali kwako: mbingu na nchi zipi? Kwa maana kama ni zile za suracya kwanaza basi utapata shida sana kufafanua huyo Lilith wako aliishi mbingu ipi. Hebu tazama msitari wa nne hapa:

4 Hivyo ndivyo vizazi vya mbingu na nchi zilipoumbwa. Siku ile Bwana Mungu alipoziumba mbingu na nchi

5 hapakuwa na mche wa kondeni bado, wala mboga ya kondeni haijachipuka bado, kwa maana Bwana Mungu hajainyeshea nchi mvua, wala hapana mtu wa kuilima ardhi;

Siku ile Mungu alipoziumba mbingu na nchi, hii ni rejea ya sura ya kwanza ambako tumeona aliumba mtu mume na mtu mke. Sasa hapa anatoa ufafanuzi wa VIZAZI vya mbingu na nchi alivyoumba.

Tatizo ni mstari wa tano anaposema hapakuwa na chochote bado!! Si mwanadamu tu, hata mimea haikuwapo kondeni. Huyo Lilith aliishi dunia ipi? Kwa wasomaji wa maandiko wanajua kwamba sura ya kwanza ni roadmap, yaani Mungu alikuwa akivitazama viumbe vyake katika roho kisha anaona ni vema sana, vimejaa vizuri kabisa. Ndio maana ukifikiri kidogo tu utagundua katika sura ya kwanza mtu mume na mtu mke WALIUMBWA MWISHONI. Mungu huuweka MWISHO kabla ya mwanzo, ndivyo asemavyo Yeye:

Isaya 46:
Isaiah

9 kumbukeni mambo ya zamani kale; maana mimi ni Mungu, wala hapana mwingine; mimi ni Mungu, wala hapana aliye kama mimi;

9 Remember the former things of old, For I am God, and there is no other; I am God, and there is none like Me,

10 nitangazaye mwisho tangu mwanzo, na tangu zamani za kale mambo yasiyotendeka bado; nikisema, Shauri langu litasimama, nami nitatenda mapenzi yangu yote.

10 Declaring the end from the beginning, And from ancient times things that are not yet done, Saying, 'My counsel shall stand, And I will do all My pleasure,'

Mungu kabla ya kuumba hutazama njia ya hicho kiumbe mpaka mwisho, ndipo huumba. Sasa hapa alimtazama ulimwengu na kila alichokiumba katika roho akaliona kuwa ni cheuma sana, mpaka alipohitimosha kwa mwanadamu, kwamba alimuumba mwanamume, halafu kutoka huyo akawafanya mume na mke.

Ndipo katika sura ya pili anasema hapakuwa na kitu bado kwani hakuna mtu wa kuilima bustani. Tazama sasa Mungu anaanza kuvidhihirisha viumbe vyake katika mwili, kwa kuanza na Adam kwanza (wa mwisho) . Kumbuka katika roho hakupewa jina, ila katika mwili sasa anamwita Adam, kwa sababu katika roho ile ilikuwa ni roadmap tu.

Kama kweli angekuwepo Lilith wako, basi ingebidi Mungu awe aliangamiza kwanza dunia kisha kuiumba upya, kwani mimea na wanyama wote wanaonekana kuumbwa upya kabisa. Hapakuwa ni kitu chochote ingawa jeshi la mbinguni na nchi vilikamilika!! Yaani alipomuumba Adam akaendelea kuumba tena bustani, wanyama, nk.

Adam anaumbwa

Mwanzo 2 (Genesis)

7 Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.

7 And the Lord God formed man of the dust of the ground, and breathed into his nostrils the breath of life; and man became a living being.

Huu ndio utimilifu wa uumbaji wa mwanamume kwa sura ya Mungu:

27 So God created man in His own image; in the image of God He created him;

Hapo hakuna Lilith wala Eva, ni Adam peke yake na Eva akiwa katika ubavu wake, hajafinyangwa bado kuwa mwanamke.

Mwanzo 2

20 Adamu akawapa majina yao kila mnyama wa kufugwa, na ndege wa angani, na kila mnyama wa mwituni; lakini hakuonekana wa kumsaidia Adamu aliyefanana naye.

Kwa nini asionekane wa kufanana naye? Yu wapi Lilith aliyefinyangwa kama Adam? Hii inaonyesha wazi Adam alikuwa peke yake katika ya viumbe vingine.

Mwanzo 2

22 na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.

23 Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.

Adam alikuwa katika ya viumbe tofauti, kuja kwa Eva ndiko kulimfanya asema SASA HUYU, maana yake ni mwanadamu kama mimi, halafu ametwaliwa ubavuni mwangu. Huyu ni tofauti na viumbe vingine vyote, huyu ni kopi yangu. Maandiko yako wazi tu juu ya hili hata kufuta uzushi wote wa kuzimu:

1 Wakorintho 11 (1 Corinthians)

7 Kwa maana kweli haimpasi mwanamume kufunikwa kichwa, kwa sababu yeye ni mfano na utukufu wa Mungu. Lakini mwanamke ni utukufu wa mwanamume.

7 For a man indeed ought not to cover his head, since he is the image and glory of God; but woman is the glory of man.

Unaona? Mwanamume ni SURA na utukufu wa Mungu, lakini mwanamke ni UTUKUFU WA MWANAMUME, ndio maana Adam alijitukuza kwa Eva, huyu ni nyama katika....

Baadae ndipo walipo danganywa na Ibilisi (Nyoka) wakafukuzwa Bustanini. Wakaenda kuanzisha familia ambapo walimzaa Kaini na Abili na wengine Kaini alimuua Abili baada sadaka yake kukataliwa na Bwana Mungu. Nae Mungu alimlaani akatoka katika familia ya Adamu.

Ndiyo baadae alienda kuoa. Alimuoa binti kutoka kwa mwanamke Lilith na Ibilisi, Uzao wao ni wa uasi maana wao walimuasi Mungu. Uzao huu ni mwingi na umembatana na Mambo kama mauaji, ngono, wizi, choyo, ubinafsi kutawaliwa na fedha badala ya kuitawala fedha, dhuluma, uonevu n.k uzao huu ni zao wa laana, ambao ni wengi hata sasa.

Na uzao wa Adamu na Hawa ni uzao wenye Baraka za Mungu. Umejaa upendo, kuheshimiana, uvumilivu, kuchukuliana, staha yaani mambo yote mema yaliambatana na uzo huu wa Adamu na Hawa, ambao ni wachache hata sasa.

Sasa hebu tujingalie sisi tupo kwenye uzao gani wa Lilith na Ibilisi au Adamu na Hawa? Maana DNA zao tunzo na zitaendelea vizazi kwa vizazi.

Huu wote umekuwa uzushi usio na maana labda kama utajenga hoja kuutetea.
 
Kutokana na Biblia, "Mwz: 1:27 ....... Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba". Kwa maana aliwafinyanga.

Vilevile "Mwz: 2:21, Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito nae akalala, kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahali pake. 22 na ule ubavu alioutoa kwa Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke akamleta kwa Adamu. 23 Adamu akasema SASA huyu ni mifupa katika mifupa yangu na nyama katika nyama yangu basi ataitwa mwanamke kwasababu ametwaliwa katika mwanamume".

Hapa inaonekana wazi kuwa uumbaji wa wanawake hawa 2 ulikuwa tofauti. Wakwanza ambaye anajulika kwa jina la Lilith (kwa mujibu wa waandishi mbalimbali kutoka kwenye Google) huyu aliumbwa kwa kufinyangwa sawa na Adamu.

Hivyo hakumtii Adamu kwakuwa walikuwa sawa hakuona sababu ya kuwa chini ya Adamu.

Usawa unaodaiwa na wanawake siku hizi ulianzia hapo. Baada ya kuto kuelewana Lilith liondoka na kumuacha Adamu. Alikwenda kuolewa na Malaika Mkuu aliyeasi Mbinguni na kutupwa Duniani. Hivyo walizaa watoto (uzao wa uasi) Majitu.

Kipindi hicho Adamu alibaki peke yake Bustanini. Ndipo Mungu hakuona vyema akamtengenezea mwanamke kutoka katika ubavu wake.

Pia tunaona neno alilolitamka Adamu baada ya kupewa mwanamke "SASA" linaonyesha wazi kuwa kulikuwa na mwanamke wakwanza ambaye hakuridhika nae ila huyu wa SASA ndiye aliridhika nae.

Baadae ndipo walipo danganywa na Ibilisi (Nyoka) wakafukuzwa Bustanini. Wakaenda kuanzisha familia ambapo walimzaa Kaini na Abili na wengine Kaini alimuua Abili baada sadaka yake kukataliwa na Bwana Mungu. Nae Mungu alimlaani akatoka katika familia ya Adamu.

Ndiyo baadae alienda kuoa. Alimuoa binti kutoka kwa mwanamke Lilith na Ibilisi, Uzao wao ni wa uasi maana wao walimuasi Mungu. Uzao huu ni mwingi na umembatana na Mambo kama mauaji, ngono, wizi, choyo, ubinafsi kutawaliwa na fedha badala ya kuitawala fedha, dhuluma, uonevu n.k uzao huu ni zao wa laana, ambao ni wengi hata sasa.

Na uzao wa Adamu na Hawa ni uzao wenye Baraka za Mungu. Umejaa upendo, kuheshimiana, uvumilivu, kuchukuliana, staha yaani mambo yote mema yaliambatana na uzo huu wa Adamu na Hawa, ambao ni wachache hata sasa.

Sasa hebu tujingalie sisi tupo kwenye uzao gani wa Lilith na Ibilisi au Adamu na Hawa? Maana DNA zao tunzo na zitaendelea vizazi kwa vizazi.

Nani aliandika , Mwanzo ?
 
Mwanzo 1 ni summary ya Uumbaji.
Mwanzo 2 mbili ni Detail ya Uumbaji.

USIONGOPE MKUU HAWA ALITOKA KATIKA UBAVU WA ADAMU. NDIYE MWANAMKE PEKEE KUUMBWA NA MUNGU.
 
Mimi ni muumini wa Qur'an katika kitabu hicho hakuna binaadamu anaeitwa Lilith. Na suala la uumbaji analolizungumzia Mungu kuumba sio huyo Lilith bali ni Eva ambaye alitokana na ubavu wa Adam
Kuna sala za masonic ikisema hivi;-

"From today I embrace lilith as a mother of all smiles"

"I accept abadon"

"Forward ever backwards never"!

Inaonekana lilith ni kiumbe cha kiroho na kilo exist!

Hivyo tu!
 
Back
Top Bottom