jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,023
- 4,213
Wakuu kwema..
Sisi wanaume tulivyo umbwa hapo mwanzo tulipewa majukumu na utawala mkuu , Mwenyezi Mungu akaona kazi aliyo mpa adamu katimiza na adamu hana wa kumsaidia akaona siyo vyema akae peke yake akamletea msaidizi ambaye ndiye mwanamke
Nakumbuka sana kabla adamu hakuletewa msaidizi alipewa kazi na kazi zilikua ni juu ya adamu ( mwanamume) .
Kwa kizazi cha sasa hawa wasaidizi wetu wamegeuka kuwa wafanyakazi na wakati mwingine kubeba majukumu makubwa ya kifamilia pale anapo dondokea kwa mwanaume mvivu na marioo..
Fikiria asubuhi unatoka na yeye anatoka kutafuta . Wote mnarudi nyumbani mmechoka
Mwanaume unaangaika na na Tv, mara vijiwe vya kahawa, mara bar, mara sijui kucheza draft, mara ushike katoto ukashangae wapita njia barabarani ili hali ndani umemuacha msaidizi wako ambaye naye kachoka kama wewe na katoka kutafuta
Ume mwacha apike, akufulie, asafishe nyumba ,mara akachote maji tena hapo fikiria maji yanapatikana mbali na huu umeme unavyo sua sua hata hutaki kumsindikiza , una mwacha apite mwenyewe gizani gizani..
Fikiria hapo bado anazamu za usafi na majirani wenzake au kama mmejenga bado afikirie uwani pawe pasafi wewe mwanaume upo tuu unazurura huku na huko alafu ukidinda una mwambia inama unapump pump tuu bila kujali lolote
Msaidizi wako akikuambia ana umwa au amechoka hutaki kusikia unaona kama anakubani kukufunulia mapaja na mwishowe basi unamuwekea michepuko kadha wa kadha.
Je, sisi wanaume tuliambiwa tutakula kwa jasho na ikumbukwe kabla ya kuletewa msaidizi tulipewa kazi na kazi zote zilikua za kwetu wanaume, Mbali zaidi wao walicho ambiwa ni kuzaa kwa uchungu natukaambiwa tuwapene na tuishi nao kwa akili huku wao wa kiamriwa utii sasa kuwafanyisha hizo kazi za ndani ni sahihi ukizingatia na yeye ni mwajiriwa na anafanya kazi na kuingiza kipato kama wewe?
Je, wanawake wakidai malipo au wakitushitaki juu kwa mujibu wa vitabu vya imani zetu wakalia tunawatesa na majukumu mazito tutapona au tutaangamia wanaume?