Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,162
- 9,192
Mpeleke makaburini mwambie amelala hapa muonyeshe kaburi lolote
Duuuh...What an optional thinking that is!!!
Mpeleke makaburini mwambie amelala hapa muonyeshe kaburi lolote
mijanaume bwana yaani inatetea janaume lenzao kutokulea mtoto..........
Mleta mada, zungumza nna mtoto mwambie daddy hawezi kuwa nanyi kwa sasa kwa sababu moja, mbili, tatu (digest in such a way usimuumize mtoto kihisia)
Sikatai ila omba tu mungu usikutane na kimeo...sio wote wanatelekeza watoto wamependa....inafikia hatua mtu anasema muache akikua atanitafuta...
Umenikumbusha mke wa kitombi Beckam,baba ya wanaye akiandikwa kuhusu umalaya wake kwenye magazeti basi Vicky anawakalisha kitako wanae na kuwaambia yote anayosemwa baba yao ni uongo.Anamwagia masifa David he is a good daddy to them.
Mkuu wakati mwingi huwa ni sisi na akili zetu za mbayu wayu, binafsi naamani naweza kimbia vingine lakini sio DAMU yangu mkuu, It means a lot to Me and to God. hata kama mmeshindwana na mama yake, mtoto ana kosa gani yeye, hata kumjulia hali ushindwe??????
Nimekulia malezi ya mzazi mmoja from 3 yrs (mine alifariki), najua nini mtoto anakosa mzazi mmoja anapokosekana kwa vyovyote vile, nadhani inauma zaidi kama yupo hai alafu amekutelekeza, pains a lot.
Mie ningemuambia alisha RIP! Mambo mengine magumu jamani, kha!
Mpeleke makaburini mwambie amelala hapa muonyeshe kaburi lolote
Mimi hapana; nitajitahidi kuweka image nzuri ya baba yake hata kama ni kichomi. Hasira zangu nazificha na kutunga story ambayo atapata image nzuri; sipendi kumuexpose mtoto kwenye evil.
Mwanangu anauwezo wa kuishi popote na akajichanganya kwani anaamini kila mtu anampenda. Sikuwa nasema mabaya ya watu infront of him; na hiyo imemfanya awe a happy boy.
Mpeleke makaburini mwambie amelala hapa muonyeshe kaburi lolote
Yaani unaweza kufanya hivi kwa mtoto wako mwenyewe,? Ican't imagine.Mpeleke makaburini mwambie amelala hapa muonyeshe kaburi lolote
Jamani sasa mtoto akikua na kujakujua kuwa baba yake yupo hai si ataumia sana? Kumbukeni kuwa watu hujirudi baadae. Baba anaweza kujirudi na kutaka kuwa karibu na mwanae. Mie nadhani asimdanganye kuwa kafa ila amdanganye kuwa amesafiri kaenda mbali sana na atachelewa sana kurudi. Awe anasema hivyo kila akiulizwa mpaka hapo mtoto atakapopata akili ya kuelewa kwanini baba hayupo pamoja nao.
Btw, mwanaume anayekana au kutelekeza mtoto anaudhi na kuumiza kuliko chochote!
Yaani unaweza kufanya hivi kwa mtoto wako mwenyewe,? Ican't imagine.
Inanitia hasira kweli hivi vitu. Nikifikiria what a great dad i had when growing up he aint great anymore manake haoni kama na mie nimekuwa mbibi sasa, tunaishia kugombana), ati mwanangu asiwe na baba kwa sababu we are freaking not!
rafiki yangu bintiye wa 5 yrs hivi anakaa na bibi na babu. Out of nowhere alianza kudema babangu alikufa zamani. Wakimumboa baba yupo anasema msinilazimishie. And the sun of a gun yuko mjini anatembeza kengele tu, hajui wanae wanakula nini wala kuvaa nini mwaka wa nne huu. Mie mbona ningemuonyesha na kaburi lisilo na jina kabisa.
Asante mkuu, nimekupata. Tuzidi kuomba Mungu kwa kweli.
Mwisho wa mwaka mwema Mkuu. Uambar'e Necha.
ki ukweli wanaume mnakosea kwa hilo,hata kama hakuna mapenzi na wazazi wenzenu,jaribuni kujenga urafiki ili msiwaumize watoto wenu.u never know in life hao hao watoto wanaweza wakawasaidia wakati wewe mzazi unakuwa huna mbele wala nyuma