"mummy,where is daddy?"

"mummy,where is daddy?"

wewe kweli ni bazazi ndio maana hauna huruma wala ustaarabu hata kidogo
Mimi.!
Tafadhali usinitukane;
Naitwa Bazazi na sio bazazi;

Unataka niwe na huruma qa mtu analiyeyahitaji matatizo?
Nitamuambia uqeli wake ili asirudie makosa kama atashindwa kuyarekebisha ya sasa.

Bazazi!
​
 
Last edited by a moderator:
noella!
Ntasema qeli daima;
sina haja ya kujali hisia za mtu awaye yote.
Uzembe wako uulipie gharama peke yako.
Ulipanua mapaja peke yako;
Lea mtoto peke yako.
Mwambie uqeli kuwa Baba yako simtaki;
Qa kuwa ana dhakari kubwa siwezi kuhimili.

Furahia mwaka 2013 qa maumivu ya kushindwa kutoa "package" kamili qa mweza.
​

Bazazi!

Mkuu hivi ukiwa na mwenza mkapata watoto hamuwezi kuachana?

Hivi mtu hata kama alifanya kosa mwanzo kufanya kwake kosa hawezi kujurudi wala hastaili ushauri?

Hivi hakuna watu wanaotelekeza familia zao na kukataa watoto wao?

Hivi haiwezekani mzazi (baba au mama) akawa abusive kwa mtoto wake hivyo ukaribu na mtoto wake ikawa ni hatari kwa mtoto..

Nadhani kabla hatuja-assume causes ni bora tukatoa ushauri wa nini cha kufanya iwapo kwa sababu yoyote ile hali kama hii inatokea.

By the way hivi unaona hizi lawama na shutuma zinamsaidia vipi muhusika ?

wachina wana msemo even a flap of a butterfly can cause a hurricane... (butterfly effect) kejeli zako zinaweza kumuharibia mtu siku yake in so doing na yeye hasira zake akamuharibia mwingine before knowing JF watu wanaanza kuharibiana siku (knock on effect)
 
Last edited by a moderator:
madhara ya mtoto kuishi bila baba (father figure) ni makubwa sana fanya mpango umkutanishe na baba yake ikshindikana mwambie ukweli na umtafutie mtu wa kuwa baba yake it will help the kid psychologically
 
kejeli zako zinaweza kumuharibia mtu siku yake in so doing na yeye hasira zake akamuharibia mwingine before knowing JF watu wanaanza kuharibiana siku (knock on effect)
sun wun!
Kabla ya kuja juqaani ni lazima ujiridhishe kuwa maswali yote umeyajibu!
Usipokuwa umeyajibu, tupo watu tutakao kulazimisha ujibu.​

Usinilaumu kuwa namkejeli;
Mwambie aeleze udhaifu wake wote halafu uone nitamshauri nini?
Lakini qa nini niwaze na kuua neuron zangu qa ujinga wake?

Ndimi Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
madhara ya mtoto kuishi bila baba (father figure) ni makubwa sana fanya mpango umkutanishe na baba yake ikshindikana mwambie ukweli na umtafutie mtu wa kuwa baba yake it will help the kid psychologically

mimi ninafanya kila niwezalo kumconvince baba yake awe karibu na mtoto ila ndo hivyo hataki.sometimes hata akimuulizia napiga simu afu nampa aongee baba yake akisikia sauti ya mtoto anasema "nenda zako sitaki kukusikia"..najitahidi kwa kweli
 
I know Bazazi, he use to irritate mimi pia lkn baada ya kumzoea huwa napata points kwenye 'not so good' posts zake.
Mdada alileta mada iliyoacha kiu ya watu wajue what is the root cause ya them not living as a family (for a child's sake). Sawa she knows kwamba hawawezi kuwa pamoja lkn kawaachia washauri waguess why (which could be avoidable) na IMO case yake sio ya ajabu sana.

Anyway, tuko tofauti in as much as tungependa wengi tuwe waungwana Kama AshaDii l can't see it happening. So we should pick what to take n what to ignore.

BTW happy 2013 sun wu

Happy New Year to you too Kaunga ni kweli wote hatuwezi kuwa na hekima kama kina Kaunga.. lakini unajua kwenye hizi posts zinazogusa mtu na hisia ya mtu hizi negative comments huwa mara nyingine zinasababisha uzi mzima kuwa negative sikatai kupinga au kuwa na opposite opinion ila ku-assume na kumbebesha muhusika makosa ambayo huenda sio yake its going a bit far.. (ukizingatia huu ni ushauri na sio mjadala)

Anyway just want to push the negativity and maybe will bring back the uzi kuwa neutral as well as kutokumuongezea mleta uzi maudhi au majonzi
 
Last edited by a moderator:
sun wun!
Kabla ya kuja juqaani ni lazima ujiridhishe kuwa maswali yote umeyajibu!
Usipokuwa umeyajibu, tupo watu tutakao kulazimisha ujibu.​

Usinilaumu kuwa namkejeli;
Mwambie aeleze udhaifu wake wote halafu uone nitamshauri nini?
Lakini qa nini niwaze na kuua neuron zangu qa ujinga wake?

Ndimi Bazazi!

mkuu kuna vitu mtu unaandika short and to the point hapa akiaanza kuhadithia story zote A to Z atakuwa anaandika gazeti au kitabu ambacho kitachosha hata watu kusoma (after all huu uzi sio kuhusu kwanini sitaki kukaa na baba watoto) kumbuka kwenye majibu haya hatujibu mleta uzi tu bali wote waliopo kwenye shida kama hizi..

Alafu kuhukumu bila facts ni kupotoka ebu niambie ujinga wake ni nini au ni wapi alifanya ujinga..., pia je kufanya ujinga jana does it mean huitaji msamaha au ushauri kesho?
 
Last edited by a moderator:
mimi ninafanya kila niwezalo kumconvince baba yake awe karibu na mtoto ila ndo hivyo hataki.sometimes hata akimuulizia napiga simu afu nampa aongee baba yake akisikia sauti ya mtoto anasema "nenda zako sitaki kukusikia"..najitahidi kwa kweli

Then noella msafirishe mbali baba yake; maana hata kwa kuwalazimisha kuongea unamuharibia mtoto zaidi. Kama baba anamgombeza na kumjibu vibaya mtoto, huoni ataijua hatrage kabla ya umri?
 
Last edited by a moderator:
sun wun!
Kabla ya kuja juqaani ni lazima ujiridhishe kuwa maswali yote umeyajibu!
Usipokuwa umeyajibu, tupo watu tutakao kulazimisha ujibu.​

Usinilaumu kuwa namkejeli;
Mwambie aeleze udhaifu wake wote halafu uone nitamshauri nini?
Lakini qa nini niwaze na kuua neuron zangu qa ujinga wake?

Ndimi Bazazi!

okaay, Bazazi, ngoja nikujibu hivi
nilikuwa na uhusiano na huyu baba mtoto kwa miaka saba,mtoto ana miaka mitatu, ndani ya hiyo miaka saba miaka mitatu ya mwisho ni vipigo, kejeli, matusi, na fumanizi za hapa na pale. sasa hivi baada ya kuchoka na kuamua enough is enough anarudi na kusema kuwa alikuwa mtoto, mtu mwenye miaka 37 now.na akitukana anatukana mpaka mtoto analia anasema mwache mummy. ndani ya miaka hii mitatu ya mwisho tumeachana hata zaidi ya mara kumi na kurudiana nikiwa na matumaini ya kuwa atabadilika. baada ya mimi kuona siwezi tena na kuamua kwamba siwezi tena akaanza kuzunguka kwa wazazi wangu na ndugu akiwahadithia mpaka yale mambo ya kipuuzi aliyokuwa akifanya, kwahiyo hapa wazazi wangu wananihurumia kuwa huyu atakuwa mume wa aina gani.na pia anadiriki kutuma message za ajabu kwa mama yangu na kumwambia"kama ndo hivyo mtoto nawapeni wa bure na akifa mzikeni hata sitaki kujua"..kwanini awahusishe wazazi kenye magomvi yetu?mauinga afanye yeye halafu aforce mahusiano wakati mimi moyo wangu umeshachoka.
halafu anakuja mtu kama Bazazi ananishutumu kuwa mimi ni mjinga na mpumbavu.kwani unadhani mimi nimependa itokee hivi?au navyoulizwa masawali unadhani napenda?au napenda kuishi maisha ya kulia na manyanyaso kila siku?ndani ya siku saba za wiki ninakuwa na furaha masaa kadhaa tu siku zingine zote ni kulia na kulalamika.afu unasema mimi mpumbavu?
wew kama huna au huoni sababu ya kunishauri ni afadhali ukae kimya kuliko kunitolea maneno yanayozidi kuniumiza. kwaheri
 
madhara ya mtoto kuishi bila baba (father figure) ni makubwa sana fanya mpango umkutanishe na baba yake ikshindikana mwambie ukweli na umtafutie mtu wa kuwa baba yake it will help the kid psychologically

mkuu hapo kwenye kutafuta mtu wa kuwa baba yake unaweza ukawa unaleta matatizo juu ya tatizo, mkuu sio kwamba mama au baba hawezi kulea mtoto peke yake na kama atataka apate mwenza isiwe tu ni kwa sababu ya kumtafutia mtoto baba she can be strong for the kid anajotakiwa ni kuwa jasiri kuna kinamama wengi wameweza kulea watoto wao either kwa baba yao kufariki au baba kukataa watoto (just need to be strong)
 
Kwanini hutaki kukaa na mzazi mwenzio?

Mimi nimekumbana na maswali hayo, lkn situation yangu na yako tofauti.

Mine was forbiden love.
Baba anampenda mtoto na wanakuwa pamoja at least twice a year. Na amekuwa aki support malezi ya mtoto kuanzia mimba. So now he is old enough anajua kwanini siwezi kuwa na baba yake ingawa angependa iwe hivyo.
da haya maisha haya kumbe tupo wengi sana oh god forbid.,wanawake tunatabu sana ukataliwe na mimba ,mtoto utunze mwenyewe kwa tabu akuwe mkubwa baba amdai wewe umeolewa kwingine ,mtoto akukimbi aende kwa baba yake lol acheni tu ndio sababu nikiona mwanaume ananyanyaswa nachekaga tu pembeni nasema analipia 10 women wanao sufer
 
Hahaha eti unachekea kimoyomoyo, tatizo ni nini; wanaume wanaotendwa mara nyingi huwa ni good guys. Ila hata mimi nikiona bad guy anapata a dose of his own medicine; ntafurahije! LOL
 
mimi ninafanya kila niwezalo kumconvince baba yake awe karibu na mtoto ila ndo hivyo hataki.sometimes hata akimuulizia napiga simu afu nampa aongee baba yake akisikia sauti ya mtoto anasema "nenda zako sitaki kukusikia"..najitahidi kwa kweli

nanusa harufu mbaya ya usaliti nakusingiziwa mtoto ......... Kaunga soma hiyo statement ya noella hapo juu
 
Last edited by a moderator:
Mimi hapana; nitajitahidi kuweka image nzuri ya baba yake hata kama ni kichomi. Hasira zangu nazificha na kutunga story ambayo atapata image nzuri; sipendi kumuexpose mtoto kwenye evil.

Mwanangu anauwezo wa kuishi popote na akajichanganya kwani anaamini kila mtu anampenda. Sikuwa nasema mabaya ya watu infront of him; na hiyo imemfanya awe a happy boy.

najua wajua kwamba nakupenda, zaid napendezwa ka moyo wako wa umama Kaunga.
mwishishe mtoto katika makuzi ambayo hatajifunza kuona wengine ni watu wabaya na waovu.
i love this.
 
Last edited by a moderator:
najua wajua kwamba nakupenda, zaid napendezwa ka moyo wako wa umama Kaunga.
mwishishe mtoto katika makuzi ambayo hatajifunza kuona wengine ni watu wabaya na waovu.
i love this.

Thanks dear, mtoto is everything to me na nitamlinda with all l have.
 
Last edited by a moderator:
"mummy,daddy wapi?".hili ni swali nimekuwa nikiulizwa na mwanangu wa miaka mitatu for the past two weeks. namdangayadanganya daddy atakuja au daddy kasafiri ila najisikia vibaya sana.

kwa wale wamama wenye uzoefu wa kuishi single nijuzeni mlivyocope na haya maswali mana nahisi anavyozidi kukua ndo anavyozidi kuuliza, na kumtaja baba wake akiwa anacheza na rafiki zake.

Hatukuweza kuwa pamoja na baba yake ingawaje tupo jiji moja lakini amesusa kumuona mwanae na kumuhudumia pia akisema kuwa me na mtoto we come as a package so if he can not be with the mum he can also not be involved with the child.

Nawasilisha

My God, Noella pole sana. Nafikiri huyu mwanaume anatakiwa kupimwa akili yake kama ni nzima au kichaa!!! Kweli duniani kuna mambo. Cha msingi mpe mtoto mapenzi ya karibu sana na si vizuri kumwambia kuwa baba alimkataa maana ni mdogo sana. Kweli haipendezi kudanganya ila ni bora umwambie tu kuwa baba yuko mbali hawezi kuja sasa hivi ila anakusalimia. Cha msingi mtoto akifikisha 18 mpe black and white, hakuna chenga. But mpe na hope kuwa ulimpenda na si lazima awe na mapenzi ya baba kama yule. Siwezi kuamini mwanaume unakataa damu yako. Hizi bangi.
 
okaay, Bazazi, ngoja nikujibu hivi
nilikuwa na uhusiano na huyu baba mtoto kwa miaka saba,mtoto ana miaka mitatu, ndani ya hiyo miaka saba miaka mitatu ya mwisho ni vipigo, kejeli, matusi, na fumanizi za hapa na pale. sasa hivi baada ya kuchoka na kuamua enough is enough anarudi na kusema kuwa alikuwa mtoto, mtu mwenye miaka 37 now.na akitukana anatukana mpaka mtoto analia anasema mwache mummy. ndani ya miaka hii mitatu ya mwisho tumeachana hata zaidi ya mara kumi na kurudiana nikiwa na matumaini ya kuwa atabadilika. baada ya mimi kuona siwezi tena na kuamua kwamba siwezi tena akaanza kuzunguka kwa wazazi wangu na ndugu akiwahadithia mpaka yale mambo ya kipuuzi aliyokuwa akifanya, kwahiyo hapa wazazi wangu wananihurumia kuwa huyu atakuwa mume wa aina gani.na pia anadiriki kutuma message za ajabu kwa mama yangu na kumwambia"kama ndo hivyo mtoto nawapeni wa bure na akifa mzikeni hata sitaki kujua"..kwanini awahusishe wazazi kenye magomvi yetu?mauinga afanye yeye halafu aforce mahusiano wakati mimi moyo wangu umeshachoka.
halafu anakuja mtu kama Bazazi ananishutumu kuwa mimi ni mjinga na mpumbavu.kwani unadhani mimi nimependa itokee hivi?au navyoulizwa masawali unadhani napenda?au napenda kuishi maisha ya kulia na manyanyaso kila siku?ndani ya siku saba za wiki ninakuwa na furaha masaa kadhaa tu siku zingine zote ni kulia na kulalamika.afu unasema mimi mpumbavu?
wew kama huna au huoni sababu ya kunishauri ni afadhali ukae kimya kuliko kunitolea maneno yanayozidi kuniumiza. kwaheri

Asante noela umeweka vizuri sana. Natamani hii ungiweka mwanzoni mwa post ingesaidia watu kuelewa zaidi na wasingeuliza maswali ya kipagwi (wengine) ila wengi tumeelea na tunakupa ya busara. Hata kama ni wagomvi wazazi kaisi gani but mtoto hatakiwi kuwa katika ugomvi, ni malaika hawa!! They neend love and recognition. Sasa huu uadui huhu mwanaume mpuuzi anajenga kwa mtoto itamgharimu sana!!! Imeandikwa "Jiwe walilolikataa waashi litakuwa/limekuwa jiwe kuu la pembeni" hili huhumili nyumba!!! Anajuaje kama mtoto huyu ndiye atakuwa na mafanikio na kumsaidia? Wanaume take a lesson here.
 
Back
Top Bottom