"mummy,daddy wapi?".hili ni swali nimekuwa nikiulizwa na mwanangu wa miaka mitatu for the past two weeks. namdangayadanganya daddy atakuja au daddy kasafiri ila najisikia vibaya sana.
kwa wale wamama wenye uzoefu wa kuishi single nijuzeni mlivyocope na haya maswali mana nahisi anavyozidi kukua ndo anavyozidi kuuliza, na kumtaja baba wake akiwa anacheza na rafiki zake.
Hatukuweza kuwa pamoja na baba yake ingawaje tupo jiji moja lakini amesusa kumuona mwanae na kumuhudumia pia akisema kuwa me na mtoto we come as a package so if he can not be with the mum he can also not be involved with the child.
Nawasilisha