"mummy,where is daddy?"

"mummy,where is daddy?"

jamani kumwambia ukweli mtoto inategemea akili ya huyo baba, ingawa mtoa mada hajatueleza vizuri sababu ya kukataa kumuona mtoto lakini in so me situation ni bora mtoto mdogo asionane na huyo baba yake hadi atakapopata akili za kumvaa
 
It's time now for your kid to know his/her father....usimdanganye tena

ninamdanganya coz she is only three years na anamjua baba yake na until walikuwa wanacheza wote, they talk via phone and all that.tatizo ni kwamba kutokana na sababu nje ya uwezo wangu (mana ni machungu kuyaelezea) siwezi kuwa na baba yake.hatukuwa tumeoana. ila baba hataki tuelewane, hataki kusikia kuhusu mtoto kwa kuwa mimi siwezi kuwa nae. his claim ni kwamba if the package is not complete then he can not love the daughter.
 
Asanteni kwa maoni/ushauri wenu wadau.

tatizo ni kwamba mtoto wa miaka mitatu namwambiaje ukweli unaoumiza?
siwezi kumwambia baba hakutaki kwasababu mumy hawezi kuwa nae,atataka kujua kwanini mummy hataki kuwa na daddy, na hapo ni pagumu because patamuumiza sana na yeye angekuwa mkubwa may be angeelewa. na pia naumia mana akifika kwenye 4 to 5 yrs anaweza kuuliza hizo safari za daddy haziishi au mbona hata hapigi simu?
juzi tulikutana na daddy wake mtoto akamkataa katukatu anasema anamwogopa. nikawa na kazi ya kummwagia masifa daddy kuwa ni mzuri usimwogope namuuliza kwanini unamuogopa anasema anatisha.yote hayo ni kwasababu huwa sometimes anamgombeza na kumfukuza kama mtu mzima. i feel so bad.
 
Noella,

Though mmetengana, Step up as a woman. Explain repeatedly to the daddy the pain in the child. And when you are explaining make it very clear you are discussing this for the sake of the baby na saa hiyo magomvi yenu yawe kando kabisa.
 
kumuona mwanae na kumuhudumia pia akisema kuwa me na mtoto we come as a package so if he can not be with the mum he can also not be involved with the child. Nawasilisha
noella!
Matatizo ya upambafu wako yanatuhusu nini sisi?
Mweleze kuwa yeye ni hana baba qani ulipata mimba qa uwezo wa Muumba.

Hii ndio faida ya kupanua mapaja ili kukidhi mahitaji ya mwili pekee;
Unapokuja kuhitaji ya roho unakuwa umeshapanda cheo "KITAMBI MENEJA".
​

Usituingize katika matatizo yako binafsi yanayosababishwa na ufinyu wa uchambuzi yakinifu.

Bazazi ni Bazazi!
 
Last edited by a moderator:

Bazazi, sidhani kama lugha uliyotumia ni nzuri au inalenga mada niliyoleta.
hupaswi hata siku moja kunihukumu eti nimepanua miguu kwa mahitaji ya mwili, kwa kuwa hujui sababu ya mimi kukataa kuwa na baba mtoto.
kama huna au hukujisikia kushauri ungekaa kimya. Si kila kiandikwacho lazima uchangie.
Kama ulisoma uzi ukakuboa ungepotezea tu kuliko kunitusi na kunihukumu. Asante. nazidi kujifunza.
 
Pole Noella..kwa nini mmetengana?kama wewe ndio haumtaki baba nakushauli weka tofauti zenu umludie kwa ajili ya mtoto,na kama baba ndio amekuacha omba ndugu wawasuluishe kwa ajili ya mtoto
 
Bazazi, sidhani kama lugha uliyotumia ni nzuri au inalenga mada niliyoleta.
hupaswi hata siku moja kunihukumu eti nimepanua miguu kwa mahitaji ya mwili, kwa kuwa hujui sababu ya mimi kukataa kuwa na baba mtoto.
kama huna au hukujisikia kushauri ungekaa kimya. Si kila kiandikwacho lazima uchangie.
Kama ulisoma uzi ukakuboa ungepotezea tu kuliko kunitusi na kunihukumu. Asante. nazidi kujifunza.
noella! Sina haja ya kukutukana bali kuueleza uqeli.
Hayo ni matatizo yako binafsi yaliyosababishwa na tamaa ya mwili huku moyo ukiwa likizo;
Hayo yamesababishwa na akili ya kiharage huku ubongo ukiwa mapumzikoni.
Mweza amedai anahitaji package kamili (mama & mtoto); noella hataki qa sababu ambazo hazitaji (labda alitendwa);
HIyo ni akili ya kisimi wala sio UBONGO;
Bazazi atakudai useme uqeli qanza kabla ya kulalama;
Mtoto anamdai babiye, noella qa akili ya kiharage hataki
Huo ni upopoyo na uenda-kuzimu.​

Ndimi Bazazi nimesema!
 
Last edited by a moderator:
noella! Sina haja ya kukutukana bali kuueleza uqeli.
hayo ni matatizo yako binafsi yaliyosababishwa na tamaa ya mwili huku moyo ukiwa likizo;
hayo yamesababishwa na akili ya kiharage huku ubongo ukiwa mapumzikoni.
Mweza amedai anahitaji package kamili (mama & mtoto); noella hataki qa sababu ambazo hazitaji (labda alitendwa);
hiyo ni akili ya kisimi wala sio ubongo;
bazazi atakudai useme uqeli qanza kabla ya kulalama;
mtoto anamdai babiye, noella qa akili ya kiharage hataki
huo ni upopoyo na uenda-kuzimu.​

ndimi bazazi nimesema!
du wewe ndio baba wa mtoto ,naona unahasira na noella,toa ushauri na sio kutukana.
 
noella! Sina haja ya kukutukana bali kuueleza uqeli.
Hayo ni matatizo yako binafsi yaliyosababishwa na tamaa ya mwili huku moyo ukiwa likizo;
Hayo yamesababishwa na akili ya kiharage huku ubongo ukiwa mapumzikoni.
Mweza amedai anahitaji package kamili (mama & mtoto); noella hataki qa sababu ambazo hazitaji (labda alitendwa);
HIyo ni akili ya kisimi wala sio UBONGO;
Bazazi atakudai useme uqeli qanza kabla ya kulalama;
Mtoto anamdai babiye, noella qa akili ya kiharage hataki
Huo ni upopoyo na uenda-kuzimu.​

Ndimi Bazazi nimesema!

sioni haja ya kujibishana na wewe, furahisha nafsi yako, ndivyo ulivyochagua kuuanza mwaka hakuna atakayekuzuia, na huniharibii siku yangu hata chembe.
 
sioni haja ya kujibishana na wewe, furahisha nafsi yako, ndivyo ulivyochagua kuuanza mwaka hakuna atakayekuzuia, na huniharibii siku yangu hata chembe.
noella!
Ntasema qeli daima;
sina haja ya kujali hisia za mtu awaye yote.
Uzembe wako uulipie gharama peke yako.
Ulipanua mapaja peke yako;
Lea mtoto peke yako.
Mwambie uqeli kuwa Baba yako simtaki;
Qa kuwa ana dhakari kubwa siwezi kuhimili.

Furahia mwaka 2013 qa maumivu ya kushindwa kutoa "package" kamili qa mweza.
​

Bazazi!
 
kwa taarifa yako maumivu niyapatayo kwa kuulizwa maswali na mtoto ni afadhali kuliko kudeal na maumivu ya vipigo matusi na fumanizi.so we endelea kusema ukweli kwa style yako mimi hunisumbui
 
kwa taarifa yako maumivu niyapatayo kwa kuulizwa maswali na mtoto ni afadhali kuliko kudeal na maumivu ya vipigo matusi na fumanizi.so we endelea kusema ukweli kwa style yako mimi hunisumbui

See you know what you want.
Ukileta habari nusu ukitegemea watu wakusaidie ushauri; ushauri nao utakuwa nusu. Bazazi kafanya kazi nzuri hadi umefunguka kidogo.

Shit happens so do whatever you can kuensure una protect innocence ya mtoto.
 
Last edited by a moderator:
sioni haja ya kujibishana na wewe, furahisha nafsi yako, ndivyo ulivyochagua kuuanza mwaka hakuna atakayekuzuia, na huniharibii siku yangu hata chembe.

Naona kujibishana na huyu sio solution bali kujiongezea machungu na kuharibu siku yako..

Watu wanaogeneralize na ku-assume vitu ni vigumu kuongea nao, labda anadhani kuachana na mwenza always ni makosa ya mtu mmoja au kila mtu unayezaa nae basi hamuwezi kukosana au anadhani hakuna watu wanaotelekeza familia zao au kukataa watoto wao..

In short hapa badala ya ushauri utapata mauzi, wewe just take of your kid, huyo baba kama hataki kumjua mwanae wala asimsemee mtoto akikua mwenyewe atajua issue za baba yake ingawa hopefully atakuwa kabadilika by then na kumkubali (most people usually do hususan mtoto akifanikiwa)
 
noella!
Ntasema qeli daima;
sina haja ya kujali hisia za mtu awaye yote.
Uzembe wako uulipie gharama peke yako.
Ulipanua mapaja peke yako;
Lea mtoto peke yako.
Mwambie uqeli kuwa Baba yako simtaki;
Qa kuwa ana dhakari kubwa siwezi kuhimili.

Furahia mwaka 2013 qa maumivu ya kushindwa kutoa "package" kamili qa mweza.
​

Bazazi!

Jina lako na maneno vinalandana,hongera mkuu!!wewe kweli ni bazazi ndio maana hauna huruma wala ustaarabu hata kidogo
 
Last edited by a moderator:
Na David Beckham kweli ni mstaarabu kuliko super stars wengineo.. Amestic kwenye ndoa for more than 10 years na mkewe ana furaha siku zote.. Ndo maana anamtetea..
Kwa hela alizokuwa nazo beckham na heshima ana uwezo wa kufanya chochote lakini kwa heshima ya mkewe anafanya kwa siri sana..

Skendo zote za beckham hazina ushahidi wa kueleweka na hapo ndo victoria anapodata..

Kiukweli duniani siamini kama kuna mwanaume asiye cheat sema kwa heshima ya wake zetu tunatakiwa kuhakikisha hawajui hata kwa kuhisi so that they can be happy forever..

Hata wewe kama una mume nae anacheat sema anakupa heshima yako ndo maana unafuraha siku zote.. But magume gume ndo yanacheat kijinga na kukuletea stress mkewe

umenena vema mkuu..........ungekuwa karibu ningekununulia banzoka!
Sisupport cheating, lkn kwa kuwa ipo na ina madhara hasi basi heshima iwepo ili kuepusha hayo madhara hasi!
 
See you know what you want.
Ukileta habari nusu ukitegemea watu wakusaidie ushauri; ushauri nao utakuwa nusu. Bazazi kafanya kazi nzuri hadi umefunguka kidogo.

Shit happens so do whatever you can kuensure una protect innocence ya mtoto.

mhh sidhani kama kuna excuse ya mtu kutoa majibu kama ya huyu mtu, mtoa hoja ameomba ushauri wa jinsi ya kulea mtoto as single parent ambae anaulizia baba yake (sababu ya kutokuwa pamoja hatujui) wala sidhani kama kuna uwezekano wa kurudiana sababu angeshafanya hivyo.... sasa kuendelea kumwambia kwanini alimuacha au alifanya kosa kumuacha sidhani kama ni solution au tunamsaidia...

Ingawa ni kweli a bad husband is not necessarily a bad father..., kwahio mlengwa nadhani all she can do ni kuacha milango wazi kwa baba kwa mtoto wake (so long as sio abusive) and if the father dont want to know mtoto akikua will know for himself

In short majibu ya huyu jamaa sio ushauri bali ni kejeli na maudhi
 
Last edited by a moderator:
sioni haja ya kujibishana na wewe, furahisha nafsi yako, ndivyo ulivyochagua kuuanza mwaka hakuna atakayekuzuia, na huniharibii siku yangu hata chembe.
noella!
Ntasema qeli daima;
sina haja ya kujali hisia za mtu awaye yote.
Uzembe wako uulipie gharama peke yako.
Ulipanua mapaja peke yako;
Lea mtoto peke yako.
Mwambie uqeli kuwa Baba yako simtaki;
Qa kuwa ana dhakari kubwa siwezi kuhimili.

Furahia mwaka 2013 qa maumivu ya kushindwa kutoa "package" kamili qa mweza.
​

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
I know Bazazi, he use to irritate mimi pia lkn baada ya kumzoea huwa napata points kwenye 'not so good' posts zake.
Mdada alileta mada iliyoacha kiu ya watu wajue what is the root cause ya them not living as a family (for a child's sake). Sawa she knows kwamba hawawezi kuwa pamoja lkn kawaachia washauri waguess why (which could be avoidable) na IMO case yake sio ya ajabu sana.

Anyway, tuko tofauti in as much as tungependa wengi tuwe waungwana Kama AshaDii l can't see it happening. So we should pick what to take n what to ignore.

BTW happy 2013 sun wu

Back
Top Bottom