"mummy,where is daddy?"

"mummy,where is daddy?"

Yaani unamaintain philosophy yako ya kugegeda tu, na sio vingine lol!

ndio iwe fundisho sio mwazaa na kusema kuwa eti naweza kumlea mwenyewe...watoto wanataka baba zao...na wee jishushe mtoto akamuone baba yake ata kama hamtaishi pamoja but mtoto aweze kwenda kwa baba whenever anapotaka
 
Hapana, siyo wanaume wote wako hivyo na siyo wanawake wote ambao huwapenda watoto wao.

Kwa hiyo wanaume hatukosei kwa sababu wote hatufanyi hivyo. Baba yangu hakukosea hata mara moja. Mimi sijakosea hata kidogo. Wanaokosea ni hao mahsusi wanaowafanyia hivyo wana wao.
nimekuelewa lakini vilio vingi ni kwa wanawake
 
nimekuelewa lakini vilio vingi ni kwa wanawake[/QUOTE

Bahati mbaya kina baba mara nyingi hawakimbii watoto. Wanawakimbia mama zao; ama kwa case hii inaonekana mama wa mtoto ndo kamkimbia baba - halafu kakimbia na mtoto.
 
Asante sana. umenigusa sana. ungekua karibu ungepata one for the road. Lol!!!!!

tatizo la hao wanaume mtoto akikua na akiwa na nyadhifa fulani,mara huyo mzazi anajigonga,hawajui jinsi gani wanavyowaumiza watoto wakiwa wadogo.kuna kaka mmoja alivyomtelekeza mzazi mwenzake,huyo dada akaenda nje ya nchi.huyo kaka alikuwea hataki hata kusikia habari ya huyo mtoto.mkaka akaoa,hakupata mtoto maisha, wacha aanze kumtafuta yule aliemtelekeza.huyo mtoto wa kike ana chuki na huyo baba,mwenyewe anasema huyu baba wa kambo ndio baba yangu.amenilea vizuri tu{mama yake baadae aliolewa na m congo}huyo baba amemkubali kama mtoto wake.ki ukweli wanaume mnakosea kwa hilo,hata kama hakuna mapenzi na wazazi wenzenu,jaribuni kujenga urafiki ili msiwaumize watoto wenu.u never know in life hao hao watoto wanaweza wakawasaidia wakati wewe mzazi unakuwa huna mbele wala nyuma
 
Yaani unamaintain philosophy yako ya kugegeda tu, na sio vingine lol!

hii haiusiani na mabo ya mgegedo...this is abt women being unfair to their kids...wewe kilanga chako cha kubeba mimba na kutofautiana na huyo bwana kisiwe kikwazo kwa mtoto kumuona baba yake. hiyo ni haki ya msingi ya mtoto. y shuld the child pay for ur own selfish choices....mpe haki yake na sipendi kabisa wanawake wanao jidai eti oh mie nitalea mtoto mwenye....mtoto analelewa na baba na mama period no excuses unless mmoja wapo kafa
 
I know how u feel. Mycousn passed through that na dogo now anaingia form one.
She used to tell the boy,ur dad is out of Africa ametumwa na Raisi kusimamia kazi za nchi,he is a great papa ever!
So dogo akawa anaoneshwa picha ila kwa simu anaongea na mtu mwingine as a papa..!!
So swali lake likawa 'ni kazi gani za nchi?mydady must be a great n powrful dady eh eti aunt?!' basi unampa moyo asome kwa bidii atakuwa kama dad wake,
wakati kiukweli babake lipo apo zanzibar linakula kuberi na watalii wa kuja na kuondoka,leo lipo hotel hii kesho hii!hana time hata.
Ila dogo ashasahau sahau kuuliza,so jitihada zinafanyika kumkutanisha na huyo mbulula,but kwa jinsi alivojengwa hawezi umia. Maana kumjua dad wake its his right,u cant do anythn. So mjengee mazingira hata kama una bifu na dad wake,atakuja elewa akishaanza hata kazi.
 
Umenikumbusha mke wa kitombi Beckam,baba ya wanaye akiandikwa kuhusu umalaya wake kwenye magazeti basi Vicky anawakalisha kitako wanae na kuwaambia yote anayosemwa baba yao ni uongo.Anamwagia masifa David he is a good daddy to them.

Na David Beckham kweli ni mstaarabu kuliko super stars wengineo.. Amestic kwenye ndoa for more than 10 years na mkewe ana furaha siku zote.. Ndo maana anamtetea..
Kwa hela alizokuwa nazo beckham na heshima ana uwezo wa kufanya chochote lakini kwa heshima ya mkewe anafanya kwa siri sana..

Skendo zote za beckham hazina ushahidi wa kueleweka na hapo ndo victoria anapodata..

Kiukweli duniani siamini kama kuna mwanaume asiye cheat sema kwa heshima ya wake zetu tunatakiwa kuhakikisha hawajui hata kwa kuhisi so that they can be happy forever..

Hata wewe kama una mume nae anacheat sema anakupa heshima yako ndo maana unafuraha siku zote.. But magume gume ndo yanacheat kijinga na kukuletea stress mkewe
 
Huwa nawambia dada zetu kulea mtoto sio pesa, every child needs a father. Siku hizi kinadada wanaona fashion kuwa single mothers, ipo siku you'll have to do some serious explanations.
 
Na David Beckham kweli ni mstaarabu kuliko super stars wengineo.. Amestic kwenye ndoa for more than 10 years na mkewe ana furaha siku zote.. Ndo maana anamtetea..
Kwa hela alizokuwa nazo beckham na heshima ana uwezo wa kufanya chochote lakini kwa heshima ya mkewe anafanya kwa siri sana..

Skendo zote za beckham hazina ushahidi wa kueleweka na hapo ndo victoria anapodata..

Kiukweli duniani siamini kama kuna mwanaume asiye cheat sema kwa heshima ya wake zetu tunatakiwa kuhakikisha hawajui hata kwa kuhisi so that they can be happy forever..

Hata wewe kama una mume nae anacheat sema anakupa heshima yako ndo maana unafuraha siku zote.. But magume gume ndo yanacheat kijinga na kukuletea stress mkewe

Mbona tupo wanaume wengi tu tusiocheat! Kucheat ni uamuzi tu na upo ndani ya uwezo wa mwanaume yeyote rational.
 
Mpeleke kwa mwanasaikolojia ajue namna ya kumwambia ukweli
 
Duh! Very sad. Mimi binafsi miaka mingi iliyopita niliambiwa na mwanamke mmoja kuwa ana mtoto wangu, ingawa sikuwa na taarifa yoyote kuhusu ujauzito hadi alipojifungua. Huyu niliwahi kulamba kama mara tatu hivi kipindi cha nyuma. Sikuonyesha kujali sana kwa sababu nilihisi alikuwa ananibambikia. Kwa kuwa alikuwa anaishi mbali nami alikuwa akimwambia yule mtoto kuwa baba yake yupo Dar. Mtoto alipokua akawa ananipigia simu na kunisalimia kwa furaha akiniita baba. Nilifikiria kufanya DNA lakini baadaye nikapuuza. Lakini kumbe yule mama alikuwa ameshawaambia wanaume wengine wawili kwa nyakati tofauti kwamba yule mtoto ni wao. Mmoja wa wanaume wale akawa anam-treat yule mtoto kama wake. Kuona hivyo, mtoto akataka kujua baba yake hasa ni nani, mama akawa hampi jibu linaloeleweka. Siku moja yule mtoto alikutwa amening'inia kwenye mti akiwa amekufa baada ya kujinyonga huku akiwa ameacha ujumbe uliosomeka: "nimechukua uamuzi huu baada ya mama kushindwa kuniambia babangu ni nani." Ni true story, naomba muitafakari.
 
Mkuu wakati mwingi huwa ni sisi na akili zetu za mbayu wayu, binafsi naamani naweza kimbia vingine lakini sio DAMU yangu mkuu, It means a lot to Me and to God. hata kama mmeshindwana na mama yake, mtoto ana kosa gani yeye, hata kumjulia hali ushindwe??????

Nimekulia malezi ya mzazi mmoja from 3 yrs (mine alifariki), najua nini mtoto anakosa mzazi mmoja anapokosekana kwa vyovyote vile, nadhani inauma zaidi kama yupo hai alafu amekutelekeza, pains a lot.

s'times wadada wanafanya maroroso hadi inakuwia vigumu kuamini kama mtoto ni wako... Mfano wewe unahudumia yeye anabondwa na majamaa mengine...
 
pole sana dada mwambie ukweli wala usimfiche, hii itamsadia hata akapokuwa mkubwa atakuwa anajua kinachoendelea, kuliko kukaa kimya siku akiwa mkubwa akamtafuta yule babake anawezamwambia kuwa wewe ndo uliemfukuzwa mtoto atachukia.
 
Back
Top Bottom