Mumeo akikupiga makofi watakiwa kukimbilia wapi?

Mumeo akikupiga makofi watakiwa kukimbilia wapi?

kimbilia nje tafuta jiwe mrushie halafu sepa hadi machungu yaishe
 
Mwanaume mwana mtoka pabaya wewe...yaani na korodani zako mbili kama ngoko za tumbili huoni hata haya unajifaragua mbele ya Jeiefu kuwa unataka kumpa kichapo mke wako...

Halafu usivyo na soni kwa uso kukukomaa kama kigoda cha baiskeli wataka sisi tukushauri namna ya kumpata mkeo baada ya kukimbia kichapo chako....

Halafu baada ya kujua kuwa umekosea kuyaweka haya maandishi niliyokukoti ukaediti haraka haraka sredi yako....:angry:

kwikwikwikwi kazi kweli kweli
 
Angalia unavyoendeleza uboya wako...

Uanaume wako bila shaka una walakini la hasha unajitutumua kujiita mwanaume wakti bado wafutwa kamasi na mamayo...

Hii sijui akili ya wapi bila shaka lokesheni yake ni kwenye ule mfereji wa wima ambao hata usafishwe vipi hauachi kutoa uvundo

mkuu unantukana sn bila hata sababu mbna kuna njia njingi tu za kueleza idea zako bila hizi busara unazofanya?imagin kila aliesoma tittle ya huu uzi angekua anaporomosha maneno kama hayo pangekalika humu ndani? Relax tupate maoni ya wadau na kujua watu wanalichukuliaje hili swala
 
Huna haja ya balozi....

Akikupiga makofi wewe mpige na vitofali vya mbavu....

Ila mkigawana majengo ya serikali shauri zenu


Napita mie




Mambo wadau, kichwa cha habari chajieleza lakini si vibaya kujikumbusha historia. Siku za nyuma, naogopa kusema zamani manake watakuja wanaotaka source na picha hapa wakati mi sina ilikua hivi.

Mke akipigwa na mumewe au hawara breki ya kwanza ilikua kukimbilia kwa mjumbe wa nyumba kumi au mzee yeyote mwenye busara hapo mtaani.

Siku hizi hawa watu hawana nguvu tena na wengi wanaishi mtaani hata hawamjui mjumbe wala balozi na hii ni kutokana na hali halisi ya maisha ya utafutaji.

Hebu nambieni ipi ni sehem sahihi kukimbilia.
 
Mi nakimbilia kifuani kwake huku naliaaa
 
inategemea kwanza ni kabila gani mkuu
wengine wa mara ukipigwa ujue ndio upendo unaongezeka kama alikuwa anamwaga viwili anaongeza vitatu
 
Back
Top Bottom