- Thread starter
- #21
Yaani Unataka kumpiga Halafu unafikiri what next?
yeah nafkiri hii ndo busara ili nikijua madhara pengine naweza ghairi kumpiga
Yaani Unataka kumpiga Halafu unafikiri what next?
Kimbilia kwa Gwajima anakupangishia hotel unalipiwa kila kitu kama Flora Mbasha.
Na ni lazima umtie kofi?... Akikufia je..? Acha mambo ya kizaman kama suala limekushinda peleka kwa watu wazima.
Kama sisi wa Mbezi ya Kimara kule Malamba Mawili tunapiga job posta,tunaondoka saa kumi na nusu nyumbani then tunageuza saa 3 usiku nyumbani.Hapo ningumu sana kumjua balozi wa nyumba kumi ama hata mzee wa karibu mwenye busara
Mwanaume mwana mtoka pabaya wewe...yaani na korodani zako mbili kama ngoko za tumbili huoni hata haya unajifaragua mbele ya Jeiefu kuwa unataka kumpa kichapo mke wako...
Halafu usivyo na soni kwa uso kukukomaa kama kigoda cha baiskeli wataka sisi tukushauri namna ya kumpata mkeo baada ya kukimbia kichapo chako....
Halafu baada ya kujua kuwa umekosea kuyaweka haya maandishi niliyokukoti ukaediti haraka haraka sredi yako....:angry:
Sipendi tabia hiyo aisee!!!!
I always associate it with weakness...
kama cjakuelewa vile. Umepanic sana ndo tatzo si afadhali ya mimi kabla hata sijafanya kitu nimefikir. Ningekua mbaya kama ningekuja hapa kueleza baada ya kumuadhibu bt cjafanya ivo na pengne maoni yanaweza kunifanya nisitimize adhma yangu. Duh unasema nime edit thredi wap tena. Umepanic sn lazm unakua kama muumini wa ile dini ya wanaojilipua mabom bana wakat mambo madogo tu haya
Yaani Unataka kumpiga Halafu unafikiri what next?
CHEZEA WANAWAKE WA SIKU HIZI WEWE...HAPIGWI MTU...
![]()
hahahahaha hapo lara1 atasema we ni msomi na umekua weak afu anajudge you cant handle your wife
ah nshakumbuka kama huyu jamaa gwajma yupo bas simpigi tena wife manake nshaona itanicost
kwa nini upigwe?Mambo wadau, kichwa cha habari chajieleza lakini si vibaya kujikumbusha historia. Siku za nyuma, naogopa kusema zamani manake watakuja wanaotaka source na picha hapa wakati mi sina ilikua hivi.
Mke akipigwa na mumewe au hawara breki ya kwanza ilikua kukimbilia kwa mjumbe wa nyumba kumi au mzee yeyote mwenye busara hapo mtaani.
Siku hizi hawa watu hawana nguvu tena na wengi wanaishi mtaani hata hawamjui mjumbe wala balozi na hii ni kutokana na hali halisi ya maisha ya utafutaji.
Hebu nambieni ipi ni sehem sahihi kukimbilia.
CHEZEA WANAWAKE WA SIKU HIZI WEWE...HAPIGWI MTU...
![]()