Mume wangu simwelewi, hataki kabisa nishike simu yake

Mume wangu simwelewi, hataki kabisa nishike simu yake

Halaf wadada wengi waliotoa ushauri hapa ndoa zao zipo kwny mfarakano,ukiona mwanamke anataka kushindana na mumewe ujue ana matatizo sn na ndoa yake haina amani
 
Ikiwa huna shida unahofu ya ni nini? Just relax na utaenjoy maisha. The problem is, ninyi wanawake mnaishi kwa hisia na mihemuko.

Bora ubakie hivyo hivyo bila kujiingiza kwenye udukuzi wa taarifa za mumeo. Afterall unatafuta ili ufanyie ni nini. Vitu vingine vya kijinga sana.
Hofu nnayo mie au yeye anaepekua simu saa zote... we uwe unarudi kazini kila siku nikupekue mifukoni mwako utapenda??? Em wanandoa wapeane uhuru basi... !!!
 
Naombeni ushauri,

Kuhusu hii hali mume wangu hataki kabisa ushike simu yake na simu zake zina password na ukimuomba kukutajia anakwambia kabisa hawezi maana kwenye simu zake kuna mambo ya ofisi ambayo mimi sitakiwi kuyafahamu ila ya kwangu haina password na huwa anaishika kama simuoni anapekua sana tu sasa sijui anachoficha ni nini.
Weka password na wewe ya kwako,akikuuliza mjibu kuna mambo ya vicoba hupaswi kuyajua
 
Hofu nnayo mie au yeye anaepekua simu saa zote... we uwe unarudi kazini kila siku nikupekue mifukoni mwako utapenda??? Em wanandoa wapeane uhuru basi... !!!
Ikiwa nakupenda lazima hofu niwe nayo na niweze kuku-monitor japo mara moja moja.
 
Saa 6 ucku ss hivi umeshika simu unapost jf badala ya kulala umkumbatie mumeo?!..halaf unalalamika humuelewi
Maudhi yakiwa mengi moyoni hata hamu za kukumbatiana hupotea na usingizi hukata
 
Acha ujinga unataka ushike ili iwaje je.kabla hujashika umejiandaaje kisaikolojia?hata hivyo cm ya mkononi ni ya mtu binafsi adhawaz kuwe na mapatano ya kusher cm
 
wanawake wa leo mkijua kuzipotezea simu za waume zenu,mtakua na maisha marefu sana,ya ndoa pia ki umri na afya,yaani unakuta 75% mwanamke mnyongee,anakonda na kusononeka,kisa anahisi mumewe anawasiliana na mademu nje
Muda mwingine ni bora kudhahania kuliko kujihakikishia, kumbuka kunguru mwoga hukimbiza bawa lake
 
Ni kwle smtms tunakua hatujui nn tunataka tuwape space hawa viumbe wkt mwingine...
Ndio mana wanawake wengi tunapata presha kwasababu tunajibebesha mizigo mingi.. Timiza wajibu wako kwake.. Mengine mwachie Mungu akulindie,
Amina....mme wako kapata jembe aisee!!
 
Hahahahahha hana lolote mwizi huyo... anaogopa na yeye kuibiwa
Unapokuwa mwizi lazima mwenzio nae umhisi kuwa ni mwizi.
ila mi ya mke wangu siigusi kabisa, bahati mbaya leo nimejisahau nimeichukua kazini[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Saa 6 ucku ss hivi umeshika simu unapost jf badala ya kulala umkumbatie mumeo?!..halaf unalalamika humuelewi
tena kipindi hiki cha baridi yabisi badala atengeneze ndoa yake anakimbilia JF sijui ndio iliyofunga nae ndoa
 
Unapokuwa mwizi lazima mwenzio nae umhisi kuwa ni mwizi.
ila mi ya mke wangu siigusi kabisa, bahati mbaya leo nimejisahau nimeichukua kazini[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaahahhaahhaha hope ameweka password uteseke... msg zitaingia kusoma husomi
 
Back
Top Bottom