Gobole
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 1,807
- 4,687
Kupanga ni kuchagua...km cm ni muhimu kuliko ndoa yako na amani ya moyo wako hangaika kujua yaliyomo ktk cm ya mumeo ila km jibu ni hapana kaa mbali nayo mbali kabisa...humu kila mtu atakupa ushauri wake wa cha kufanya as of now ila wachache watakwambia what will happen next baada ya kufanya walichokushauri...na hio ndo point ya msingi,u need to anticipate the future before it happens....sio leo uhangaike na password ya mumeo kesho urudi unalalamika umeachika or umekonda kwa mawazo mumeo ana cheat or hujakuta kitu ila mumeo kukupa kichapo...kuna msemo wa kizungu wanasema "The less u know the better"....