Eck fulani
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 458
- 600
Ebu fanya mambo yako wacha kupeleleza mambo ya mume..Mimi mke wangu hanipi shida kama unavyo mpa tabu mumeo mimi nkirud job na weka simu yangu juu ya friji na hata haioni maana mke wangu mfupi hatari..