Kaunga sasa mke wa mtu utongozwe ili ukafanywe nini?
Tena naomba mnitafutie huyo mganga mwenye uwezo wa kumfanya mke wangu akipita kwenye midume yenye uchu aonekane kama Baunsa wa kwenye ukumbi wa disco
Mwanamke kama hatongozwi nayo noma, ana haki ya kulalamika kwanini hatongozwi:biggrin:
Kutongozwa kwani dhambi?
Ku sex nje ya ndo ndio dhambi:A S shade:
Hamtaki Plumber lakini wakati huohuo hana mvuto wa kumpata zaidi ya Plumber.
Si kwamba hatongozwi, ila hajapata wa kumzidi Mr. plumber.
Kama ingekuwa ni kutongozwa tu mbona wanawake wana mitego mingi!
amu ​ee, ni PM basi, usije ukatafuta mchawi kumbe tunaokutamani tupo.Ha ha ha jamani
Waoh, 'Kutongozwa mvuto' Kiranga umeisikia hiyo, so kutotongozwa ni kutokuwa na mvuto.
Hayo ni maneno ya mke kwenye kikao cha usuluhishi kati ya mume na mke walio kwenye ndoa yenye miaka zaidi ya 15.
Kweli huo ndo utetezi unaoweza kuutoa kwenye kikao kinachojaribu kutafuta foot cause ya kumnyima unyumba mwenzio na kuondoka nyumbani kwa miezi 4 bila ruhusa ya mumeo?
Huyo plumber ni muajiriwa wa Serikali, halafu ni charming na natural flirt; kiasi kwamba niliamini kwa 90% kuwa yeye ndio chanzo cha matatizo ya ndoa yake.
Mtu kashaolewa, anataka kutongozwa ili iweje?
Si kwamba mke ana frustration fulani na kwamba hayo maneno yakamtoka bila hiyari?
Sa mimi nilijibu kutokana na swali lako sikujua kama mwanaume kanyimwa unyumba na mke wake mda wa miezi minne, ndo naona sasa hivi kwenye comment yako:biggrin:Kweli huo ndo utetezi unaoweza kuutoa kwenye kikao kinachojaribu kutafuta foot cause ya kumnyima unyumba mwenzio na kuondoka nyumbani kwa miezi 4 bila ruhusa ya mumeo?
Hayo ni maneno ya mke kwenye kikao cha usuluhishi kati ya mume na mke walio kwenye ndoa yenye miaka zaidi ya 15.
Mtu kashaolewa, anataka kutongozwa ili iweje?