bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,705
Naomba niwe mvurugaji wa kitanda chako..! Kuna raha yake..Kuwa single ni raha sana ninvyotandika kitanda kinabaki safi mpaka niingie tena kitandani.
Naomba niwe mvurugaji wa kitanda chako..! Kuna raha yake..Kuwa single ni raha sana ninvyotandika kitanda kinabaki safi mpaka niingie tena kitandani.
Mkuu kama uko single kweli tunatakiwa tufanye kitu hapaKuwa single ni raha sana ninvyotandika kitanda kinabaki safi mpaka niingie tena kitandani.
Hii kutandika kitanda ni wajibu wako!Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
Ndio maana watoto wa kitanga wanapiga baoJamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
Mpewe [HASHTAG]#mkewe[/HASHTAG]Inabidi wanawake na wasichana mkewe jukwaa lenu mfundishane maadili, adabu, majukumu n.k kuhusu maisha ya ndoa.
Sijajaliwa ajabu wengi wenu hamna fikra pevu
Mkuu mimi ni spinster.Mkuu kama uko single kweli tunatakiwa tufanye kitu hapa
Wanawake wa humu wanavyojifanya ni wa Tanzania na Dunia Tofauti na hii waliyozaliwamooo.. Kweli Kuwa Uyaone..Mitandao inawafanya wanawake waonekane wastaarabu sana majumbani kwao kumbe.... Mungu anawaona
We huwa unatandika alafu unamponza mwenzio!!unawahi kuamka sawa.
je unaendaga wapi ?
kwani nani anaingiaga huko chumbani kwenu mpaka uhofie huo uvululuvululu ??
sio huyu anayekuja kumuanika mme wake hatandiki kitanda.Muhimu sana kukumbushana,muda mwingine huwa tunateleza kidogo Mimi naamini wanawake wote ni wake Wema kwa waume zao
kama hatuteteani tunapoongopa tutateteana kwa lipi baby ??We huwa unatandika alafu unamponza mwenzio!!
Mmmmh!!!kama hatuteteani tunapoongopa tutateteana kwa lipi baby ??