Wanawake wa siku hizi wanatoa siri za ndani!Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
....vipi anakibamia? Kitambi hasara?mgegedo anaumudu?Tukusaidie nini labdaJamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
Tell her simba jike, atafanya tu coz hamna namna nyingine.Kitanda utatandika, boxer, vest na sox utafua utake usitake

ahaha mjinga gani??Maskini! Pole sana nimeumia sana baada ya kujua huyo mume wako hatandiki kitanda. Nimeshikwa na huruma sana jamani. Kama unaweza Nitafute siku akisafiri mimi nitakutandikia tukishaamka asubuhi. Pole sana ikute mume wako hana fimbo ya kumtandika nayo huyo mjinga
Kama nitakuwa wrong.Nisamehe...Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
Mjinga Kitandaahaha mjinga gani??
Na asije baadae sema nimewakuta beki 3 na mumewe hapaMpe jukumu hilo dada wa kazi hapo nyumbani. Ukishaenda kwenye mishe zako, yeye atakusaidia kumtandikia mzee akiamka.
Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!