Kama nitakuwa wrong.Nisamehe...
Binafsi siwezi kukuamini au kukukatalia kwa hilo usemalo.Ila naona kwa jambo hili humu sio sehemu sahihi kulisema...
Kwa nilivyokuelewa ww umekuja kumuumbua mumeo huku jf.hii inatokana na hizo sentensi zako sijaona km ulidhamiria kuomba ushauri..Nina wasiwasi na hekma zako ww km mke .huenda hata huko ulikolelewe hizi tabia za kusema habari za ndani zipo sana...
Haya tumejua tyr mumeo hatandiki kitanda.si what next?.Huku sio Facebook kwamba kila upumbavu utapost..na kabla ya kupost huu upuuzi wako ulishajaribu kutembelea threads mbalimbali ambazo wanajf walikuwa wanaomba ushauri juu ya ndoa zao?..sina shaka km ulizisoma lazima km una good reasoning usingeandika huo ujinga...Km unashindwa Kuhandle issue km hii ambapo naamini mumeo anakupenda na maisha yenu ya ndoa yanaamani basi kwa mkao wa kula ujiandae na mengine yakianza na utakuja sema hapa hadi styles mnazo tumia..kuwa makini na tabia yako ya kuropoka internal affairs za mumeo utakuja juta....Samahani lkn