Mume wangu huwa hatandiki kitanda

Mume wangu huwa hatandiki kitanda

Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!

Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!

Ananiudhi!!
Kwani we kazi yako nini
 
Mi hata nilale masaa 10 sitatandika kitanda
Ni kazi yako
Ila we mwanamke nae ni mjinga sana hujui majukumu yako
 
Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!

Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!

Ananiudhi!!
Ha haa! 90% ya wanaume huwa hawatandiki kitanda... Poleee, vumilia tu ivo ivo... ndio tulivyoumbwa...

kabla ya kuja kuandika huku ungeongea na mamaako akushauri
JF ndio mama na ndio baba!
 
kwa hiyo unataka tukusaidie kufkisha ujumbe,wakati uko naye hapo?
 
Hapo ndipo utajua mwanamke hana siri. Kwa mfano mumewe nae yumo humu akikiona hicho kitanda atamwabia nini?

Aisee hii jamii kuishi nayo inahitaji akili ya ziada, post yake ilikua imekaa vizuri tu sasa wamemclick aweke na picha nae ameingia nkingin mzimamzima.
 
Mlivyokuwa mnadate ulikuwa unamtembelea kwake? Binadamu anatofautiana na mnyama kwa mazingira anayoishi, sasa binadamu asiyetandika kitanda si anaishi kama mnyama? Samahani.
Wanaume si kazi yetu hiyo mi mwenyewe leo sijatandika
 
Si ameisha kutandika! Labda uniambie kama hataki kutandika Mara mbili
 
Je ueolewa na Marioo?? Nijuavyo Mimi mwanamke huamka mapema kisha huiandalia familia breakfast na kuhakikisha Nguo kuanzia za watoto mpaka za mume zipo tayari kuvaliwa siku hiyo,kisha tunaandaa maji kwa ajili ya kuoga wewe na kisha mumeo,huku watoto nao wakijiandaa kwa muda wao, sasa huo muda mumeo anakua bafuni kuoga wewe ulipaswa ubadirishe shuka + folonya za mito na kutandika upyaa, ili hata kama mumeo atarudi tena kulala (ikiwa ni marioo) basi hatokitimua kama mlivyo kitimua usiku uliopita
Wanawake hebu tuacheni kulalamikia vitu ambavyo vipo ndani ya majukumu yetu, wanaume ni watoto zetu wakubwa na ni jukumu letu kuwatengenezea utaratibu na kuwasimamia kama tuwasimamiavyo vijana wetu


At least Umeonyesha kuwa Wewe ni Mwanamke Bora na siyo Bora Mwanamke. Yaani Unautendea haki Uanauke wako katika yale Mambo ya kawaida na Majukumu ya Kawaida ambayo Jinsi ya Kike hufanya hata ikiwa haipo kwenye Mahusiano.

Wee umeonyesha kuwa Umekuwa kiakili na You Deserve to be Called Wife Material. Mungu Akubariki.

JF Moderator katika Comment ambazo wanawake wa Jamvi la JF hakuna Comment ilishawahi kuizidi hii.. Naomba Mumpongeze..
 
Huna heshima na mme wako inaonaonekana hat siri za ndan nying tu huwa unazitoa kwa majirani kwel baadh ya wanawake hawajielew ikiwemo ww.
 
105d5c4b4ba904ccde6dc064fa4d1f85.jpg
Haujielew ww
 
Huna heshima na mme wako inaonaonekana hat siri za ndan nying tu huwa unazitoa kwa majirani kwel baadh ya wanawake hawajielew ikiwemo ww.


Mkuu hawa ndio hawa wanawake asilimia kubwa wa Mitandaoni , Yaani hapo Hajui kuwa Amefanya udhalilishaji najaribu kufuatilia toka alivyoupload hiyo Picha Comment za Wadada wa Humu ziinavyosema, Hakuna hata Mmoja aliyemshauri aitoe hiyo Picha yake Chumbani .. Wanawake Hawapendani nilishasemaga watakuwa huko PM wanamsema huyo mwenzao Tu..

50% kwa 50% Ndani ya Uongozi wa JPM wataiona kwenye Makaratasi tu.
 
Back
Top Bottom