Shukrani sana, tuzidi kuombeana na kukumbushanaAt least Umeonyesha kuwa Wewe ni Mwanamke Bora na siyo Bora Mwanamke. Yaani Unautendea haki Uanauke wako katika yale Mambo ya kawaida na Majukumu ya Kawaida ambayo Jinsi ya Kike hufanya hata ikiwa haipo kwenye Mahusiano.
Wee umeonyesha kuwa Umekuwa kiakili na You Deserve to be Called Wife Material. Mungu Akubariki.
JF Moderator katika Comment ambazo wanawake wa Jamvi la JF hakuna Comment ilishawahi kuizidi hii.. Naomba Mumpongeze..
Ungeandika mmeo anatandikaga kitanda, ningeshangaa sana aiseee...Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
Unajidhalilisha
Leo utarudi kwenu,kwan haya ndo ulifindishwa kwenye kitchen party??Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
Naomba nikuowe[emoji4]Je ueolewa na Marioo?? Nijuavyo Mimi mwanamke huamka mapema kisha huiandalia familia breakfast na kuhakikisha Nguo kuanzia za watoto mpaka za mume zipo tayari kuvaliwa siku hiyo,kisha tunaandaa maji kwa ajili ya kuoga wewe na kisha mumeo,huku watoto nao wakijiandaa kwa muda wao, sasa huo muda mumeo anakua bafuni kuoga wewe ulipaswa ubadirishe shuka + folonya za mito na kutandika upyaa, ili hata kama mumeo atarudi tena kulala (ikiwa ni marioo) basi hatokitimua kama mlivyo kitimua usiku uliopita
Wanawake hebu tuacheni kulalamikia vitu ambavyo vipo ndani ya majukumu yetu, wanaume ni watoto zetu wakubwa na ni jukumu letu kuwatengenezea utaratibu na kuwasimamia kama tuwasimamiavyo vijana wetu
Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
Hahaha...!Nilijua sitandiki mm tu kumbe tupo wengi hivi?
InshaAllah utampata wa kufanana naweNaomba nikuowe[emoji4]
Vitu vingine sio vya kuleta huku jf mnamaliza wenyewe au hujafundwa dadaJamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
No no no usiseme ivo...InshaAllah utampata wa kufanana nawe
Acha kutusema wewe!mimi toka nioe hata shuka sinunui bibie ndio ananunua na ipi itandikwe tena kwa theme ipi anajua yeye yaani yeye ndio mkuu wa jukwaa la chumbani na anajua kuset right ambiance na akisafiri hiyo aliyoacha ataikuta hiyo hiyo hata miezu miwili sibadilishi!Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
Nini kutandika huyo demu hajui kuwa wanaume tukiulizwa tuna mashuka mangapi na rangi zake hata kuzitaja hatuwezi maana huwa hatufikirii kabisa habari ya kitanda baada ya kuoa !binafsi sizijui shuka zetu za my one favourite amabyo cotton moja nyepeeesi!zilibakia sina idea!Nilijua sitandiki mm tu kumbe tupo wengi hivi?
Acha kutusema wewe!mimi toka nioe hata shuka sinunui bibie ndio ananunua na ipi itandikwe tena kwa theme ipi anajua yeye yaani yeye ndio mkuu wa jukwaa la chumbani na anajua kuset right ambiance na akisafiri hiyo aliyoacha ataikuta hiyo hiyo hata miezu miwili sibadilishi!