Mgaya William
Member
- Mar 17, 2017
- 10
- 1
Kwani we kazi yako niniJamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
Ha haa! 90% ya wanaume huwa hawatandiki kitanda... Poleee, vumilia tu ivo ivo... ndio tulivyoumbwa...Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
JF ndio mama na ndio baba!kabla ya kuja kuandika huku ungeongea na mamaako akushauri
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]ameshaona..badae utajuta kwa kumdhalilisha JF
Hapo ndipo utajua mwanamke hana siri. Kwa mfano mumewe nae yumo humu akikiona hicho kitanda atamwabia nini?ameshaona..badae utajuta kwa kumdhalilisha JF
Nako kulala umekumbatiwa kuna raha yake.Kuwa single ni raha sana ninvyotandika kitanda kinabaki safi mpaka niingie tena kitandani.
Hapo ndipo utajua mwanamke hana siri. Kwa mfano mumewe nae yumo humu akikiona hicho kitanda atamwabia nini?
Wanaume si kazi yetu hiyo mi mwenyewe leo sijatandikaMlivyokuwa mnadate ulikuwa unamtembelea kwake? Binadamu anatofautiana na mnyama kwa mazingira anayoishi, sasa binadamu asiyetandika kitanda si anaishi kama mnyama? Samahani.
Je ueolewa na Marioo?? Nijuavyo Mimi mwanamke huamka mapema kisha huiandalia familia breakfast na kuhakikisha Nguo kuanzia za watoto mpaka za mume zipo tayari kuvaliwa siku hiyo,kisha tunaandaa maji kwa ajili ya kuoga wewe na kisha mumeo,huku watoto nao wakijiandaa kwa muda wao, sasa huo muda mumeo anakua bafuni kuoga wewe ulipaswa ubadirishe shuka + folonya za mito na kutandika upyaa, ili hata kama mumeo atarudi tena kulala (ikiwa ni marioo) basi hatokitimua kama mlivyo kitimua usiku uliopita
Wanawake hebu tuacheni kulalamikia vitu ambavyo vipo ndani ya majukumu yetu, wanaume ni watoto zetu wakubwa na ni jukumu letu kuwatengenezea utaratibu na kuwasimamia kama tuwasimamiavyo vijana wetu
Haujielew ww
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Akili zao nizakuvukia barabaraAisee hii jamii kuishi nayo inahitaji akili ya ziada, post yake ilikua imekaa vizuri tu sasa wamemclick aweke na picha nae ameingia nkingin mzimamzima.
Huna heshima na mme wako inaonaonekana hat siri za ndan nying tu huwa unazitoa kwa majirani kwel baadh ya wanawake hawajielew ikiwemo ww.