Mume wangu huwa hatandiki kitanda

Sisi tunajadili namna ya kulipwa Makinikia yetu we unatuletea UJINGA apa. Wew unafanya nin adi mmeo atandke kitanda? Play ur part tandka Kitanda
 
Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!

Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!

Ananiudhi!!
Ohoo siri za familia
 
Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!

Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!

Ananiudhi!!

Wanaume wa Dar ndivyo walivyo ndiyo maana wanaongoza kushikishwa kuta na wenzao.
 
sio lazma kutandika kitanda lakini kwa mwanaume aliyeoa ukisafir hata ukae mwez utakikuta hivyo hivyo
 
Aaaaah masuala ya kitanda tenda. Mi sijui mara ya mwisho kutandika ilikuw mwaka gani nimesahau. Nikiamka tu ni bize na Vitu vngine vinavyoingiza pesa. Nikioa wife atakuwa anatandika
 
Mlivyokuwa mnadate ulikuwa unamtembelea kwake? Binadamu anatofautiana na mnyama kwa mazingira anayoishi, sasa binadamu asiyetandika kitanda si anaishi kama mnyama? Samahani.

kiukweli mimi ni miongoni mwa wavivu wa kutandika kitanda
 
Mlivyokuwa mnadate ulikuwa unamtembelea kwake? Binadamu anatofautiana na mnyama kwa mazingira anayoishi, sasa binadamu asiyetandika kitanda si anaishi kama mnyama? Samahani.
wacha hiyo wengi hatutandiki vitanda sababu kuu ni wewe upo na unatakiwa utandike kitanda usipokuwepo naacha hvy hvy maana jioni nakuwa nimechoka full kujitupa,ila wasiliana na Hg wenu awe anasaidia kama hilo linakukera vinginevyo unda kamati au tume kuchunguza
 
Unavyofanya si tatizo wala ushamba, ukitaka mpangilio mzuri wa vitu vyako 100% sio kumwachia mwanaume, wapo mbao wako vizuri kwenye hilo eneo lakini wengine hugusa tu.
Mimi hua binafsi sipendi he is a man,wacha afanye kazi za kiume,ikiwa naumwa kiyasi kwamba siwezi kufanya mwenyewe yes anaweza ku take over mpaka pale mdogo wangu au Dadangu atakapo kuja..
 
Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!

Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!

Ananiudhi!!

mwambie awe anatandika
 
hata mimi hua sitandiki mpaka pale mke mtarajiwa atakaponiambia anakuja

Cc Jovitha
 
mwanaume unatandika kitanda ili iweje......we tandika tuu... unapungua wapi ukitandika?
 
Mfyuuuu ukute una laki mbili bank unajifanya mwanaume mfyuuu
 
Upuuzi huo kwanza Huna mume ndo maana unasema hvo. Wanawake wenye waume huwa hawaongei ovyo dhidi ya waume zao km ufanyavyo ww ni kiruka njia tu Huna mume
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…