Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

Huo umeshasema ni mchepuko na unajua lengo la mchepuko si kuoana tofautisha ndoa na mchepuko,Mimi ndio nataka kuacha na si kuachwa,michepuko ipo mingi tu ila ni suala la unafiki ndio sitaki siwezi kuendelea na ndoa kinafiki kuwafurahisha ndugu na jamaa Wakati naujua ukweli na Mungu anajua nachofanya na wala siachiki kwa kutegemea huo mchepuko ni kwa sababu ya matatizo ambayo hayavumiliki kwani hujaona ndoa zinavunjika? Sasa hofu ya nn kama sio unafiki tu
Nakubaliana na wewe kuwa kama hupo happy sio lazima kungangania hapohapo. Nilichojaribu kukufunua macho hapo juu ya kutoka na mchepuko wakati ukiwa wewe mke wa mtu kuna maradhi mengi. Jee wewe na huyo mchepuko mlipima maradhi kambla ya kufanya hilo tendo? Sasa jamaa ana tatizo kwanini hujakaa nae na kumuelezea kama hufurahishwi na muda wa dozi yake? Ndoa ina maisha magumu na matamu lakini mtatuzi wa ndoa ni mume na mke wawe wenye mawasilino. Muelezee pia tatizo la ubahili wake na jukumu lake ajue nini chanzo cha tatizo, mshauri kwenda kwa wataalamu wa mambo ya kiafya kama wataweza kumsaidia. Nyumba ina milango,madirisha na mapazia ndio maana waswahili husema kuna siri nyingi ndani ya nyumba hakuna asiekuwa na matatizo kwenye ndoa ila kuna kuzidiana tu. Ushauri wangu jaribu kuongea nae kama ukishindwa uamuzi utaujua mwenyewe, nakutakia mafanikio mema.
 
Inawezekana hata wewe humtoshelezi kimwili wala kimahitaji, jilinganishe kwanza wewe na wanawake wengine
 
Tatizo la kuolewa bikra.....bora utafute size yako uku nje kabla haujaingia ndani.....

Fanya utaratibu wa kuomba talaka.......
 
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).

Akutendaye mtende, mche asiyekutenda.
 
Hilo kweli goigoi......tupa kule......tafuta faraja ya moyo wako.......raha ya ndoa undimbwilike kisawasawa........
Sikutegemea ungempa ushauri huu.
Kwani haiwezekani akabadilika? Hata wewe with that beautiful username unaweza kufanya hivyo?
 
Vumilia. Ndiyo ndoa zilivyo. Usione wenzio wako kimya. Nao wana yao. Bora huyo wa kwako anaweza hata kuingiza mashine. Wengine hata kusimamisha tu ni ndoto.

Pole sana.
 
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).

Tafuta suluhisho la tatizo kwa mumeo kwa kumuweka kitako umueleze wazi kua ashughulikie hlo tatizo bila aibu,tatizo lingine ni la kisaikolojia tu,tafuta suluhu pamoja nae,ukisema umkimbie amini usiamini utaenda kukutana na jaribu kubwa kuliko hlo,trust me
 
Ushauri wangu ufanyie kazi, baki na mumeo, muheshimu na kumuhudumia, soma vitabu mbalimbali kuhusu HIV, baada ya hapo chepuka na mtu mmoja mwaminifu na mtiumie kondomu, ndani ya miezi 3 mfanye mara moja. Kwa mwaka mara 4. Be smart usikamatwe.

N.b. Kuchepuka sio vibaya labda ukikamatwa.
 
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Umeshafanya maamuz ndo unasaka ushaur,
 
Wanaume hawapendi kina mama walioachika kwa hiyo jitahidi uwamudu wote kwa pamoja na jaribu na wanaume wengine watatu afu utapata raha zote duniani. Ukiachika tu na huyo anayekufikisha atakuacha
Hapo kwenye bold akumbuke jaribu jaribu za nje na ukimwi ndiyo anausogelea karibu.
 
Huyo anayekufikisha atakumwaga siku hiyo hiyo utakapoachana na mume wako believe me.
Above all mwombe Mungu akusamehe na akusaidie kushinda hilo jaribu .
 
Kabla cjamaliza kusoma Uzi wako,.hamkujuana wakati wa uchumba!??au ndo nyie ndoa ilikuja baada ya babako kukuambia...."nenda kalale hukohuko ulikotoka"....au uliolewa bk!???....anyway poyeeee
Jamani si amesema ameolewa bikra? Hukumaliza kusoma uzi wake ndiyo tatizo.
 
Back
Top Bottom