Nadhani hujanielewa huo muda wa kubadili style unatoka wapi Wakati yeye anamaliza ndani ya sekunde chache,tunafanya foreplay kama kawaida na nakuwa nipo tayari kabisa na nimeshatoa ute lakini anatumia sekunde chache tu anakojoa Wakati Mimi ndio kwanza sijafikiria nabaki na nyege zangu naumia hadi baada kama ya lisaa limoja hivi ndio narudi kuwa normal.Zingatia foreplay iwe ya kutosha ili wote muweze kufurahia tendo. Hakikisha amekuandaa vya kutosha na pia kwa kuwa umeshaishi nae muda mrefu hivyo utakuwa wamjua vema weakness zake hususani anapokaribia kunanilihi..., jaribu kama ku - withdraw fulani ili aanze upya. Kitu kingine yafaa uwe mbunifu mama...., sio style moja tu hiyooo weeee... hadi anamaliza anakuacha unagugumia na hamu ya kupewa utamu. Kila baada ya sekunde 20 embu badili style, mfano kiubavuubavu, kuna nazi, kimgongomgongo nk. Lakini hakikisha unamweleza mapema kwe foreplay yenu kuwa wewe unapenda kuguswa wapi ili ahangaikie hapo kwanza na hivyo kumtoa concentration kubwa ya tendo lenyewe na badala yake afikirie jinsi ya kukukuna wewe vizuri. Katika style au mikao yako ya tendo kama ulivyofundwa ama kuelezwa na gal friend wenzako kuwa nini na nini zile za school si unajuaga. Hiyo mikao hakikisha ni ile ambayo dusheleee anakukuna pahala unapenda. Tena ondoa hiyo akilini kuwa eti kila mkikutana hakuridhishi..., wakati huu kuwa dereva wewe. Dogstyle na mende style si nzuri sana kwa wanaume wanaomaliza mapema hivyo kuwa makini kutokaa sana hapo asije akakuacha. Kwa machache hayo watakuja wengine wakupe undani wote. Bila kusahau lakini kuwa mpe chakula bora mfano ugali dagaa kwa sana, matunda nini, karanga mbichi. Sio kutwa kushindia vyepe utaishia kulia lia hovyo. Kuwa na hofu ya Mungu, kuanza kuzini nje ni dhambi kumbuka. Haya inatosha kwa sasa....
Huo umeshasema ni mchepuko na unajua lengo la mchepuko si kuoana tofautisha ndoa na mchepuko,Mimi ndio nataka kuacha na si kuachwa,michepuko ipo mingi tu ila ni suala la unafiki ndio sitaki siwezi kuendelea na ndoa kinafiki kuwafurahisha ndugu na jamaa Wakati naujua ukweli na Mungu anajua nachofanya na wala siachiki kwa kutegemea huo mchepuko ni kwa sababu ya matatizo ambayo hayavumiliki kwani hujaona ndoa zinavunjika? Sasa hofu ya nn kama sio unafiki tuHapo kwenye wekundu ushaweka uamuzi wako sasa unataka ushauri gani? Manake hata kuliwa ushaliwa na mchepuko mwenzio. Usisahau siku utakayoachwa wewe na huyo mchepuko mwenzio kureta mrejesho tu.
Sina lengo la kuwafundisha chochote ambao hamjaingia kwenye ndoa ila kila ndoa ina changamoto zake, wewe ingia tu utakutana na za kwako hizi ni za kwangu na si lazima zifanane na za mtu mwingine yeyeoteDuh!hivi wewe dada uliopo kwenye ndoa unatufundisha nini sisi ambao hatujaolewa.Ni aibu kubwa mwanamke kusema mumewe hamtoshelezi.Kwanza tubu kwa dhambi ya uzinzi uliyoifanya nje ya ndoa.Kinachokutesa ni hiyo test uliyopata huko nje.
Mtu ameshakuwa mumeo kuhusu kuhudumia familia ina maana tatizo halikuanza jana,mwambie ukweli unazidiwa na majukum gani yeye kama mume atakuelewa.
Mpikie mumeo vyakula vya kuongeza nguvu.Na ujiandae fresh acha kumfikiria huyo mchepuko wako.
Mwisho,usimwambie direct suala la yeye kutokukufikisa utampunguzia nguvu zaidi.Huyo ndo mumeo huwezi achika ukapata mwingine.Kwanza wanaume hawapendi wanawake walioachika hata kama mume alieachwa ndo ana makosa.
wanafumua bikra wakishatoboa tu .. wanaanza kusaka ladha za njeWanaume si mnataka bikra, haya sasa mabikra ndo hao mkishawaoa wanaanza ligi za kata
anunue dido tu ili anedelee kujichuaJiongeze mrembo maana kilele ndo mpango mzima
Mpaka naandika hivi nimeshajaribu kila njia naona hajali, I have already given up, Katika hali ya kawaida siwezi kumwambia nimejaribu nje,nilichokuwa nakifanya ni kumsaidia aweze kuwa normal ila naona yeye anaona yupo sawa tu wala hahangaiki,sasa inakuwa shida kweli kumhangaikia mtu ambaye haoni tatizo na hajishughulishi kutafuta suluhu Wakati anaona navyohangaikaKaa chini na mmeo, mueleze kinaga ubaga kuwa hutosheki anapowahi sana, na anakutesa...
Tafuta siku nzuri tulivu mueleze hayo.
Akiwa mbishi mwambie ukweli umeonjeshwa tamu huko nje na umeipenda, atakuacha mwenyewe wala hutatumia nguvu...
Ila jua kuna wanaume wanapenda waliolewa, ukiachwa na mmeo huyo uliyenaye atakuacha tu, maana hapo anakurubuni tu kisa kapata serereko.
Je mna watoto wangapi na mmeo?
Serikali3
Habari wana MMU,
Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa Nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.
Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda Mimi ndio Nina tatizo, na yeye mwenyewe Wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa Mimi ndio Nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; Mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.
Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka Wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila Idara.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Preta! Preta! Preta!Hilo kweli goigoi......tupa kule......tafuta faraja ya moyo wako.......raha ya ndoa undimbwilike kisawasawa........
Naona sijui tandale moja hiyo,akili yako ndogo sana unafikiri wanawake wote ni kula kulala,kwamba akiachika atakosa mahitaji,Mimi najitosheleza kwa kipato na huo mchepuko sina malengo naye ya kuoana halo ni sex tu basi mambo mengine kila mtu anajua anaishije nami sikutoka nje kutafuta pesa,nyumbani kwetu wanajitosheleza kimahitaji niliolewa ili kusatisfy sex,ningeweza kuishi nyumbani tu sasa kama siwezi kusatisfy hiyo basic need( sex) ,kuna haja gani kuendelea na ndoa wakati hakuna tendo la ndoa,think twice before you write your commrntAisee wee nani kakwambia hao wa nje wanakupenda kama huyo mume unayejishauwa eeti namchukia? kwa taarifa yako wanakutamani tuu maana wanajua zigo la watu na alikeshi subri umwambie sasa yule bwana mii nshaachana naye sasa tupo huru uonee kifwatacho itv! Wizi wa kutoka nje si mpya coz hakuna kipy chini ya jua hata wazaziwetu waalifanya ila kwa ustaharabu na wanakwambia kula na futa mdomo unyamazee wee nini unakuja kutuimbia hapa nyimbo zako zisizo na vina wala mizani wadhani kuna mnunuaji hapa zaidi watapeli? Hivi unavyoona kilaa nyumba wadhani wanawake woote na wanaume woote hawana akili ya kutambua uliyoyatambua wewe na wanatulia tuliii???? sasa nikwambie shoogaangu mume muache sawaa nenda na wanao kama waona wajiweza na waweza kuwapatia baba atakayewapenda kama baba yao na piaa mwaka huu wanawake wenye watoto shoga hamtakiwii watu wamwshiii~tukaaa hawalei wana wa watu otherwise lbd kama unakamzizi hivi hiviii mamaaa yangu mwanamkee utakuja tu hapa kutoa mrejesho. Eti unalalama mume akufkishi wee unamfikishaa??? jitihada gani umefanya?mazingira ya usafi wa mnapoishi matandiko na wewe upoje?uvaaji wako huko ndani upoje?jikoni kwako vp?umeolewa bkr udaiyoo umejuaje kuwa kuna kufka kileleni nani kakufundishaaa? MWANAMKE MPUMBAVU UBOMOA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE. EENYI WANAUME ISHINI NA WAKE ZENU KWA AKILI.