Hahahahah, nimecheka,thanks for making my day...tuishie hapa banaTeh teh.. 1hr..Acha utani bana..Au unaongelea na foreplay
achana nae na huyo unapoenda akichoka utatafuta mwingine utawamaliza kabla hujawamaliza utakipata unachokitafutaHabari wana MMU,
Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa Nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.
Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda Mimi ndio Nina tatizo, na yeye mwenyewe Wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa Mimi ndio Nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; Mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.
Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka Wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila Idara.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Daah!!! Bora tuishie hapa bana..Mana ulishaanza kunifanya nijisikie vibayaHahahahah, nimecheka,thanks for making my day...tuishie hapa bana
Unahitahi Maombi Serikali3!!
Unaombaje ushauri wa Kumuacha Mtu?? Unahitaji uelezwe ni Njia gani/Ipi utumie kumwacha Mmeo??
Mimi Nadhani ulipaswa kuja humu kuomba ushauri wa jinsi gani utaweza kumfanya Mmeo akidhi hitaji lako katika Ndoa na siyo vinginevyo,Kaa chini na Mmeo na hili litaisha.
Mfanye mmeo kuwa bora kuliko Mwingine,Ufanye toba kwa Kumsaliti Mmeo pasipo kufahamu! Ungesalitiwa wewe ingekuwaje??
Why are we Easy to judge Mistake of others rather to recorgnize our own Mistakes?? THINK BIG.
We acha tu mpaka naona aibu kusema nitakuja lini,kila siku mipango inabadilikaUmepotea sana......kuja Yaeda huji.....mpaka nimeuza Amarok........
Raha ya ndoa Ni kuto. Mbwa bana sasa hamu zitaishaje,angekua anahudumia familia vyema ungemvumilia ,achana nalo uishi upendavyo huoni wazungu hawang'ang'anii ndoa
Nje patamu bwana. Huyo uliyempa usidhani atakuwa hivo hivo mkiwa nae pamoja kama mme na mke.
We ni me au ke?Huyo mwanume lazima atakuwa mchaga.
Nashukuru umeelewa nacho maanisha nimekuwa muda mwingi najitahidi kumwambia hanitoshelezi lakini hata yeye anaona tunafanya foreplay mpaka nakuwa vizuri tu lakini wakiingia tu anamaliza ndani ya sekunde chache,sasa kama unavyojua wanawake tunachelewa lazima kuwe na movement kidogo za up and down ili tufike kileleni sasa icho kitu hakuna,nilijitahidi kusoma majarida mbalimbali ya mapenzi nampelekea lakini ana ignore anasema yeye hana tatizo anasema Mimi ndio Nina tatizo mbona yeye anamaliza,angekuwa mwelewa angejitahidi na yeye kutafuta jinsi gani achelewe na Mimi niweze kufurahia tendo lakini hafanyi hivyo,matokeo yake nateseka naamua kuendelea kuchepuka japo sipendi na ndio maana nimekuwa na mchepuko mmoja tu for almost 6years na wala sijawahi kumwambia tatizo la mume wangu.Communication is the solution to every problem. Tatizo wanandoa hawaongei wanalaumiana tu. Ilitakiwa mkae chini umwambie ukweli kwamba hakutii vizuri. Inabidi awe anafanya fore play, nyonya sana hiyo K, katerelo, denda, yani akija kuingiza mnakojoa kwa pamoja. Atembelee website za ngono ajifunze maujanja. Afanye mazoezi kuongeza stamina. I wish ningekuwa bongo ningekuomba unikutanishe nae nimpr techniques. Mwanamke lazima umtie vizuri bwana kwanini uguse guse. Wanaume wa kibongo sie sometimes hatupendi kuambiwa ukweli. Mkeo akisema umtii vizuri unakuwa mkali. Ndio mwisho wake wananyosolewa nje sasa. Mademu weupe anakupa ukweli tu , ebwanae eee una underperform
Mficha maradhi kifo humuumbua, unakalia mambo ya ndani huku yanakuumiza huo ni unafiki na ndio maana wenzetu wazungu wametuacha mbali, mambo ya ndani kama ni mazuri yakishakuwa mabaya si ya ndani tena tuna muda mfupi sana duniani na ndoa maana yake tendo,kama tendo halipo ni ugonjwa hakuna ndoa hapo.Kwanini mambo binafsi mnayatoa hadharani?
Kiungwana huwa ni kuongea na mhusika na uone jinsi gani utamsaidia au utasaidika....