Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

Serikali3

Senior Member
Jun 8, 2014
110
74
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
 
Habari wana MMU,mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga,yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa Nina hamu,tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda Mimi ndio Nina tatizo,na yeye mwenyewe Wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa Mimi ndio Nina tatizo kwa nini kila siku sifiki kileleni Mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje,lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi, sasa toka Wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na ninampango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia,kiufupi ni mvivu kila Idara.

Hiyo USERNAME yako said it all dada. Endelea tu na yako dada.
 
Weka picha tuone anavyowahi kumwaga :p
 
Pole sana kwa hilo, kuachana naona si suruhu, kaa nae na umueleze. Kuna njia nyingi za kufurahia tendo. Kwanza muandaane vya kutosha then ndo muingie kwa gemu. Pili umpe matumaini na kumsisitiza ajitahidi, ukimkalipia au kumuona hawezi na kumnunia ndo unampoteza. Mapenzi ni hisia so mkiwa mnaingia na kila mmoja hana amani au anamawazo hamtafikishana. Ni maoni tu, ila naamini wataalamu wa mambo ya mahusiano na saikolojia watasaidia hili.
 
Unahitahi Maombi Serikali3!!

Unaombaje ushauri wa Kumuacha Mtu?? Unahitaji uelezwe ni Njia gani/Ipi utumie kumwacha Mmeo??
Mimi Nadhani ulipaswa kuja humu kuomba ushauri wa jinsi gani utaweza kumfanya Mmeo akidhi hitaji lako katika Ndoa na siyo vinginevyo,Kaa chini na Mmeo na hili litaisha.

Mfanye mmeo kuwa bora kuliko Mwingine,Ufanye toba kwa Kumsaliti Mmeo pasipo kufahamu! Ungesalitiwa wewe ingekuwaje??

Why are we Easy to judge Mistake of others rather to recorgnize our own Mistakes?? THINK BIG.
 
Habari wana MMU,mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga,yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa Nina hamu,tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda Mimi ndio Nina tatizo,na yeye mwenyewe Wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa Mimi ndio Nina tatizo kwa nini kila siku sifiki kileleni Mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje,lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi, sasa toka Wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na ninampango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia,kiufupi ni mvivu kila Idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Naona maamuzi yako yalishajitosheleza we timiza haja ya moyo wako ila usisahau methali isemayo "tamaa mbele ..........."
 
Serikali tatu. Ndio kwanza unayo moja nayp ina mogogoro ya Muungano. Bado mbili hapo. We komaa uzipate.
 
Back
Top Bottom