Binti wewendo maana mnaambiwaga shake well before use..ungekula bakora tofauti kabila ya kuingia kwenye ndoa ungepata good choice..haya ona unatusumbua huku..!achika basi ukaenjoy ulivyovikosa!
acha kumdhalilisha mumeo ,kwani wakati munaowana ulitutaharifu?si umuwache kimya kimya .we unavitabia vya kimalaya sema basi tuHabari wana MMU,
Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.
Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.
Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Hujui ufanyaje ili uachane nae??
wewe achana na mpango wakuachana na mmeo Mungu anachukia kuachana ongea nae taraatibu anaweza kubadilika, mwambie asiwe anawahi kukojoa mapema abane p...mbu anywe maji mengi kabla ya kujamiianaHebu niPM... Ila usije kusema tu nakukomoa....
Tatizo lenu watu aina yenu ni kujiangalia mwenyewe tuu. Ushauri wangu ni kuomba talaka ili uachane na dhambi hiyo hata hivyo sijui ile ahadi ya siku ile muhimu kwenye ndoa yenu ambapo wote mliitoa na kwamba ninyi ni mwili mmoja utamwambia nini sir god????Habari wana MMU,