Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

Ingekuwa ni Mwanaume kapost kuwa hapewi kisha akaenda kutafuta mchepuko, comments zingekuwa tofauti kabisa.

Mwanamke atajibiwa kwa maneno ya kejeli.

Mwanamke anaitwa kicheche. Mwanaume ataambiwa hawezi kuishi bila tendo.

Mwanamke ataambiwa ahangaike kumsaidia mumewe. Hutoona mwanaume akiambiwa ahangaike kumtayarisha mkewe.

Mfume dume at work.
 
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.
Mpendwa FEAR GODV !!! Muogope Mungu....Ukimpoteza Bwana wako (mume) huyo... utasota sana !! You will regret!
Take my words.
Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
 
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
kumbe maamuzi unayo fanya hivyohivyo ulivyoamua
 
Huna hata aibu huna haya hata vibaya hujuwi ukisikia kutoa siri za ndani ndio huko nae pia kuna vingi unomboa lakini anakuvumilia na hajadiliki hata siku moja kusema mapungufu yako hadharani isitoshe mchepuko sio dili na ni dhambi kwa mungu iweje wewe ujinanadi hadharani kuwa wewe ni mzinifu? Naomba kwa yule alieumba mbingu na nchi akushushie maradhi makubwa na madogo ili iwe fundisho kwa watu wenye tabia kama ya kwako
Hivi na wewe ni great thinker kweli I doubt
 
Unaxheza wewe sana hujui kumweka sawa shauri yako kuna mafundi mjini wakimpata wanamtengeneza huyoo ataungwa kama pilau utamkosa mazimaaa sasa wewe bidada baada ya dkk mbili wewe umefanya nini zaidi ya kumpa mgongo!! Jitume kuna baada ya dakika mbili wengi bao la pili mtakesha huwa haliji kirahisi utakojoa mara mbili changamka na si kulala utaibiwa
Nikimkosa atakuwa amenisaidia kweli manake atakuwa amejileftisha mwenyewe.
 
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
 
It's very ridiculous that many have given you good advice but you are still being adamant and arrogant of what you have just decided and implemented. Okay, suit yourself. Yaani, wewe utoke huko ulikotoka na kuja kuomba ushauri wakati ushafanya uamuzi. Baki hivyo hivyo acha malumbano yasiyo na mashiko.
 
umeanza kulalamika hakufikishi kileleni mwisho umeishia kuwa hakutimizii mahitaji yako inaonyesha kuna kasoro katika maelezo yako unataka kuhalalisha tu sababu ya kuachana naye inawezekana hukupata mafunzo ya namna ya kuishi na mme wako
 
Wewe unapenda kupinduliwa kwa wastani muda gani,pili mahitaji unayoyataka ni ya aina gani..nauliza hivi coz unaweza kutamani kutembelea vogi uwezo wako was baiskeli.
 
Kuna faida ya shakewell before use,mambo gani sasa hayo, dakika mbili kama kuku kweli?
Hiyo shakewell before use mnaishadadia tu wadada lakini inawalostisha sana tu hamjui. Inawapotezea bikra zenu bure, inawaongezea mileage bure, inasabisha muitwe used bure, inasababisha muitwe malaya bure, kifupi inawachafulia file
Mapenzi ni kufundishana fullstop, hakuna aliyezaliwa anajua mambo ya 6 kwa 6, hayo ya shakewell before use ni justification ya umalaya na kukosa hofu ya Mungu hakuna jingine

cc Heaven Sent ,atoto ,miss chagga
 
waliosema "asieijua chungu , tamu hajairamba" hswakukosea. hebu achika halafu utayajua ya mtaani yalivyo! wenzio wanamtamani hata huyo "mvivu".
 
Hiyo shakewell before use mnaishadadia tu wadada lakini inawalostisha sana tu hamjui. Inawapotezea bikra zenu bure, inawaongezea mileage bure, inasabisha muitwe used bure, inasababisha muitwe malaya bure, kifupi inawachafulia file
Mapenzi ni kufundishana fullstop, hakuna aliyezaliwa anajua mambo ya 6 kwa 6, hayo ya shakewell before use ni justification ya umalaya na kukosa hofu ya Mungu hakuna jingine

cc Heaven Sent ,atoto ,miss chagga
You must be confused...let us agree to disagree...mtazamo wako sio lazima kila mtu auone kama unavyoona wewe
Seems kuna sehemu umecrem maana umeweka mpaka full stop,umalaya hauna specifications tunaona kabisa huyu Dada aliolewa akiwa bikra lakini bado kachepuka....
Maybe hao uliowatag inawachafulia file but binafsi sina tatizo na maamuzi yangu ya nyuma na mimi sio wa kwanza,uhusiano wangu na Mungu naujua mwenyewe, kila mtu ahangaike na yake.....
 
Back
Top Bottom