Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

Duuuuu cjakushauri umuache,kuna mtu aliwahi kusema dawa ya mtu ambae hakufikishi mkishaingia kwenye uwanja wa fundi seremala,anza kumsemesha maneno mengi ya kukera unachanganya na ya mahaba kidgo mwshowe utafika na yy atafika
 
Tabia mbaya..sh....typu ulukuwa unatafuta uhalali wakupitisha hoja yako yakizanduki....MWILI NI ZAIDI YA SEX (MAPENZI)kicheche kabisa ewe..
Wewe wasema, mapenzi ni zaidi ya sex,lakini bila sex hakuna mapenzi, ndoa ni tendo, mapenzi hata kwa wazazi na ndugu unayapata ila huwezi kupata sex,think twice.
 
Ila tukirudi nyuma na kufikiri kiukweli kuna hoja ya msingi hapa..humridhishi mkeo..huudumii familia..upo upo tu sa kuna haja gani yakuitwa kichwa cha familia..kwasababu haupo kote kote..kwenye ubaba haupo wala sifa ya kuitwa mume haipo..MSULUBISHE TU HUYO HAKUBA NAMNA TENA.
 
Asante sana kwa kuwa mwelewa,ndoa sio kifungo cha kufanya mwenzio ateseke nimejaribu kukaa mbali naye ili ajifunze kidogo ila naona hali inazidi kuwa mbaya,hajitumi Katika lolote,bora angekuwa anafanya walau moja ningesema mwanaume suruali,sasa huduma za kijamii hakuna na za kimwili pia hakuna,mwanaume wa nn sasa.

Kwan Ana uwezo wa kifedha halaf hahudumii matumizi ya nyumbani?
 
Kwan Ana uwezo wa kifedha halaf hahudumii matumizi ya nyumbani?
Uwezo anao ila hajitumi kuhudumia familia Mzigo wote anauacha kwangu hata kabla sijawa na uwezo ila kutokana na majukumu mazito niliamua kufanya kazi kwa bidii kuinua kipato,yeye yuko busy kufanya mambo mengine tu,ukimwambia anasema unatengeneza future ya watoto,lakini huwezi kutengeneza future bila msingi mzuri pesa yake yote anapeleka kuanzisha miradi tu huku haisaidii chochote kwenye familia.
 
Serikali3 hiyo yako imeshakuwa ndoano. Watu wengi wanachepuka tendo lisipofanyika vizuri au manyanyaso yakizidi. Zama za kukalia bora nikae kwenye ndoa kisa majirani na watu watasemaje zimepitwa na wakati. Mna wa watoto? Kama mna watoto hapo naweza kukushauri ukae kwenye ndoa for stake of kids. Yule mchepuko wako kaa nae hopefully mmeo atakuja kuelewa na ku improve siku moja. Watu wengi bongo wanachepuka na ndio maana DNA zaidi ya 40% inaonyesha watu wengi watoto sio wao. Mtu hachepuki bila sababu always kuna sababu inayopelekea mtu atafute huduma nje. Kama mtu ni dume lazima uwe na tabia ya kumuuliza mwezio. Baby did u cum? Hakisema haja cum lazima uchacharike. Kuna jamaa yangu mpakistani anatumia vidawa fulani, unapaka kwenye kichwa cha mboo unachelewa ku cum. Alianza kutumia hiyo baada ya kuwa anakojoa haraka. Sijui kama bongo zinapatikana. Yeye anazipata hapa UK. Ntamuuliza zinaitwaje ili uone kama unaweza pata bongo. Au kama vipi tukuagizie ili mradi awe tayari kutumia huwenda hali ika improve
 
Mpaka naandika hivi nimeshajaribu kila njia naona hajali, I have already given up, Katika hali ya kawaida siwezi kumwambia nimejaribu nje,nilichokuwa nakifanya ni kumsaidia aweze kuwa normal ila naona yeye anaona yupo sawa tu wala hahangaiki,sasa inakuwa shida kweli kumhangaikia mtu ambaye haoni tatizo na hajishughulishi kutafuta suluhu Wakati anaona navyohangaika
Kwa hiyo umeona suluhisho nibkuvunja ndoa ukasake tamu nje?
 
Kwa hiyo umeona suluhisho nibkuvunja ndoa ukasake tamu nje?
Si lazma akasake nje..hata kupunzisha akili kisaikolojia yani kukaa bench ni dawa tosha kwa bibie..niseme tu hakuna sehemu yeyote imeandikwa mtu aifie ndoa...na ukiichunguza ndoa vizuri utagundua ni mambo ya mwilini %100...na wakati mwingine huwa nacheka mno pale mtu anapojilisha upepo nakutafsiri lile andiko la"ALICHOKIUNGANISHA MUNGU MWANADAMU ASIKITENGANISHE"kumbe tafsiri yake halisi ni ya pale Bustanini alipomuumba Eva kwaajili ya Adam..

(ALICHOKIUNGANISHA MUNGU MWANADAMU A........)Ukiifuatilia kwa makini haya maneno utagundua hata makanisa ya waabudu kuzimu wanayatamka haya maneno wakati wa kufungisha ndoa..

Na ndio maana Hata tukiamua kuihalalisha hili andiko jinsi tunavyowaza....je ni kweli ndoa zote zinaunganishwa na Mungu?
 
ndo maana mnaambiwaga shake well before use..ungekula bakora tofauti kabila ya kuingia kwenye ndoa ungepata good choice..haya ona unatusumbua huku..!achika basi ukaenjoy ulivyovikosa!
 
Kama ni kuwahi kufika kileleni dawa ipo. hilo la utafutaji ni suala la kuvumiliana anacho kupa ridhika nacho. Nitafute nitakuelekeza dawa
 
Wanaume hawapendi kina mama walioachika kwa hiyo jitahidi uwamudu wote kwa pamoja na jaribu na wanaume wengine watatu afu utapata raha zote duniani. Ukiachika tu na huyo anayekufikisha atakuacha
Kweli kabsa yaan hiyo ndo suluhisho, usithubutu kumuacha. Wanaume akili zao ni fupi sana
 
Ile kauli ya kwamba mtaishi kwa shida na raha vipi. Imesahaulika ama
 
Umefanya jitihada gan kuhakikisha unatatua matatizo yaliyopo
 
Si lazma akasake nje..hata kupunzisha akili kisaikolojia yani kukaa bench ni dawa tosha kwa bibie..niseme tu hakuna sehemu yeyote imeandikwa mtu aifie ndoa...na ukiichunguza ndoa vizuri utagundua ni mambo ya mwilini %100...na wakati mwingine huwa nacheka mno pale mtu anapojilisha upepo nakutafsiri lile andiko la"ALICHOKIUNGANISHA MUNGU MWANADAMU ASIKITENGANISHE"kumbe tafsiri yake halisi ni ya pale Bustanini alipomuumba Eva kwaajili ya Adam..

(ALICHOKIUNGANISHA MUNGU MWANADAMU A........)Ukiifuatilia kwa makini haya maneno utagundua hata makanisa ya waabudu kuzimu wanayatamka haya maneno wakati wa kufungisha ndoa..

Na ndio maana Hata tukiamua kuihalalisha hili andiko jinsi tunavyowaza....je ni kweli ndoa zote zinaunganishwa na Mungu?
Yeye kasema kapata mchepuko wa kumsuuza nafsi ila hajui mchepuko upo active kwa kuwa unajua ni mke wa mtu sasa mwambie aachike afuate mchepuko.... Mchepuko haugeuzwi mme kirahisi akiacha mme mchepuko unasepa..
 
Serikali3 hiyo yako imeshakuwa ndoano. Watu wengi wanachepuka tendo lisipofanyika vizuri au manyanyaso yakizidi. Zama za kukalia bora nikae kwenye ndoa kisa majirani na watu watasemaje zimepitwa na wakati. Mna wa watoto? Kama mna watoto hapo naweza kukushauri ukae kwenye ndoa for stake of kids. Yule mchepuko wako kaa nae hopefully mmeo atakuja kuelewa na ku improve siku moja. Watu wengi bongo wanachepuka na ndio maana DNA zaidi ya 40% inaonyesha watu wengi watoto sio wao. Mtu hachepuki bila sababu always kuna sababu inayopelekea mtu atafute huduma nje. Kama mtu ni dume lazima uwe na tabia ya kumuuliza mwezio. Baby did u cum? Hakisema haja cum lazima uchacharike. Kuna jamaa yangu mpakistani anatumia vidawa fulani, unapaka kwenye kichwa cha mboo unachelewa ku cum. Alianza kutumia hiyo baada ya kuwa anakojoa haraka. Sijui kama bongo zinapatikana. Yeye anazipata hapa UK. Ntamuuliza zinaitwaje ili uone kama unaweza pata bongo. Au kama vipi tukuagizie ili mradi awe tayari kutumia huwenda hali ika improve

Hizo zipo bongo za asili...zipo za kutoka Congo wacheza Mpira wanazo sana ...unamix na mafuta unapaka kwa kichwa ....baada ya DKK kama 20-30 ...inapigwa Bonge LA gem
 
Back
Top Bottom