Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

Hujui hufanye nini ili uweze kuachana naye???... Kwani huyo ni ndugu yako wa damu ???
 
Kabla cjamaliza kusoma Uzi wako,.hamkujuana wakati wa uchumba!??au ndo nyie ndoa ilikuja baada ya babako kukuambia...."nenda kalale hukohuko ulikotoka"....au uliolewa bk!???....anyway poyeeee
 
Kuwa makini utaishia kuwa ma. LA.ya. maana kama utaachana na mume wako kwa sababu ya kuwa hakufikishi, badala ya kuongea nae mtatue tatizo umeamua kuongeza tatizo kwa kutafuta nje. Tendo LA ndoa ni kama shimo lisilo na mwisho kama hujaumbwa kuridhika. yawezekana na yeye alikuwa bikra kama wewe.

Mrudie mume wako muombe msamaha mvumiliane muelekezane taratibu tatizo litaisha tu.
Vinginevyo itakuwa umechagua uamuzi Wa ovyo sana maishani mwako.
 
Kabla cjamaliza kusoma Uzi wako,.hamkujuana wakati wa uchumba!??au ndo nyie ndoa ilikuja baada ya babako kukuambia...."nenda kalale hukohuko ulikotoka"....au uliolewa bk!???....anyway poyeeee
...wewe si ulishaaga?...wauliza maswali ya kiusingizi ujue!
..vaa pampers ulale!
 
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa Nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda Mimi ndio Nina tatizo, na yeye mwenyewe Wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa Mimi ndio Nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; Mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka Wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila Idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Imeshakua tabia then unaomba ushauri? Unajua na kufanya mambo huku ukiwa uchi kabisa bila uoga unashindwa vipi kufanya jambo ukiwa na nguo zako?
 
bibie jihifadhie kamchepuko kako siku zikizidi unakwenda kupunguza huko, ukirudi amani tu
kwenye pesa ongeza njia za kuingiza kipato.
wala hamtakua na ugomvi ilaKUWA MAKINI USIKAMATWE.
 
Back
Top Bottom