Ukafikiria ukaona bora utest kama nje ni patamu au vp... Kicheeechee
Kibana kuku
Mkuu Hiyo Avator yako ni shida.. Ukipata zigo Kama Hilo unahangaika nalo mpaka basi.. Muda wote unacheka Cheka tu hata njaa husikii..Mara umeligeuzia huku Mara huku mradi ulifikishe tu..Yawezkana una bwawa na maji mengi so anashindwa kuogelea.
. Anakosa ham na wewe anatafuta utamu kwingine.
Huyo mtu sio hohehahe kama unavyosema ana pesa zake nami pia Nina zangu tatizo hajali familia na pia kitandani hawezi,ila Mimi Nina uwezo wa kujitunza na pia kusomesha watoto,kiufupi tatizo halipo kwenye pesa.Tatizo lenu watu aina yenu ni kujiangalia mwenyewe tuu. Ushauri wangu ni kuomba talaka ili uachane na dhambi hiyo hata hivyo sijui ile ahadi ya siku ile muhimu kwenye ndoa yenu ambapo wote mliitoa na kwamba ninyi ni mwili mmoja utamwambia nini sir god????
Jee hivi sasa huyo ndugu yangu ni hohehahe na ndiyo maana hayo madhaifu unayaona lakini jee ikimuangukia zari ikamfanya naye awe mtu kati ya watu hautojikomba kwake kwa kudai shetani aliingilia ndoa yenu?????
Simtegemei kwa matunzo cc tunachepuka tu coz na yeye ana ya kwake kwenye ndoa yake na tumekuwa kwa muda mrefu abt 5yrs na hatuna mpango wa kuoana,lengo letu ni kupeana raha tu kila mtu ana kazi yake plus other business and deals na huwa tunakutana just for sex tunatafuta hotel moja tunajifungia huko siku nzima jioni kila mtu anarudi kwake.Huyo anayekufikisha atakumwaga siku hiyo hiyo utakapoachana na mume wako believe me.
Above all mwombe Mungu akusamehe na akusaidie kushinda hilo jaribu .
Lengo sio kutest nyingi nia ni kupata satisfaction sasa nilivgoipata niliendelea naye huyo huyo huku nikijitahidi kurekebisha hali ya ndani ambayo naona imeshindikana na siku zinavyozidi kwenda ndio hali inazidi kuwa mbaya,business as usual na anaona kama nimeshakubaliana na hali yake, ila nilichogundua ni mbinafsi,mbona huu mchepuko siku akiwahi kumaliza namuona anavyohangaika ili nami nifike second round,lakini mwenzangu na Mimi kwanza anataka kila siku akipiga sekunde zake anakoroma hadi asubuhi wala hajali mwenzake amemuacha Katika hali gani,nachoshukuru tu nimekuwa na huyo wa nje kwa takribani miaka 5 ila hajawahi kushtukia.Wewe ku taste Mara moja tu nje tayari umenogewa ungeendelea na curious angalau kwa watu watano ndo uchague mmoja wa anaeweza kukusugua vizuri.
Kha! Kha! Kha! eti ligi za kataWanaume si mnataka bikra, haya sasa mabikra ndo hao mkishawaoa wanaanza ligi za kata