Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

hapo sio issue hakuridhisha...
tatizo hakuna maelewano baina yenu... anzia hapo kwanza..


KWA TAARIFA YAKO...
utafiti unaonyesha kwamba MWANAUME kamili anapenda TENDO LA NGONO, kwa kiwango ambacho MWANAMKE anapenda KUSIKILIZWA na mtu anaempenda.

2. Mwanaume akiisoma hii ajue umuhimu wa kumsikiliza mwanamke, kisaikolojia mwanamke anapenda sana kusikilizwa.
3. njia ya kuingia moyoni mwa mwanamke ni kwa kumsikiliza ... na umuonyeshe kuwa unamsikiliza. ( wanaume wengi au wote, hatuwezagi kusikiliza na kuonyesha kuwa tupo makini kusikiliza. hapa tunafeli wengi )

4. wanawake ( wasichana ) mjue kwa kiasi ambacho mnapenda msikilizwa ndio namna hiyo mwanaume anapenda ngono.
mwanaume anavyoprnda ngono ajue ndio ivyo mwanamke anavyopenda kusikilizwa.

5. Rafiki yangu amecomment kwenye post ya Dr Levy, kuwa WANAWAKE wa kiafrika hata akiingia kwenye chumba bado anataka abembelezwe kwa maneno...
UKWELI NI HUO. MWANAMKE NGONO KWAKE HAINA UMUHIMU, ila kusikilizwa na kusikia kwake ndio muhimu.

tatizo hapo ni mawasiliano tuu na mumeo..
 
Dada maisha ya ndoa yana maengi sana unaweza ukaona wewe unateseka na mapenzi lakini kuna mwingine ukiyajua matatizo yake utashangaa na kuona matatizo yako ni madogo.vuta subra na endelea kumuomba mungu.sababu ukichepuka ndio utaongeza matatizo badala ya kupunguza, maana anaemaliza au kulipiza ndio anaeonekana mkosaji be careful
 
Mkuu wanawake wengi hasa hawa wetu wa mke mmoja huwa wanajitahidi sana hasa wanapokuwa na watoto wanasahau mapenzi kwa mume ukizingatia mwanaume network inapanda na inatakiwa kushushwa visingizio kibao Dada wajiulize mapenzi yalipungua wapi kwa sababu huko nje tunapokelewa kwa shangwe dozi 12 in 1 Hakuna kulala unafikiria nitamrudisha mawazo nyumbani ikiwa nje nakula na kushiba

Na sisi tukimaliza kulea hamu inakuwa juu wakati huo nyinyi ndo nguvu zinaelekea mwisho, kimoja tu shida..sijui na sisi tuchepuke na viserengeti visimamia kuchaa.
 
Kwa hiyo unataka upige kelele kama jirani yako,ngoja nije Mimi mkurya
 
Na sisi tukimaliza kulea hamu inakuwa juu wakati huo nyinyi ndo nguvu zinaelekea mwisho, kimoja tu shida..sijui na sisi tuchepuke na viserengeti visimamia kuchaa.



hahahaaaahhah! yaan hawa wanahuis hatuna hisia za kugegedwa🙂
 
Fanya maombi ya kutosha make michepko inaloga ile mbaya
Theni jitathimini vizur kama unafanya usafi wa kutosha wa kukuwezesha kumvutia ,usafi sio kusuka ,kujipiga pafume kali na kujipodoa .bali ni kuoga vizur ukahakikisha umetakata na fanya mazingira ya kumuonyesha wewe ni ke,unavaa kama wasuni wakati unatandika kitanda unadhani matokeo yake nini?
Kitu cha mwisho jiandae wewe mwenyewe kwa ajil ya shughuli bila shaka kwa sekunde tu unapiga gol.
Tatizo wanawake mnategemea wanaume ndo wamalize kila kitu hiyo ni tatizo kuna kipindi mwanaume anakuwa anasumbuliwa na mambo tofauti yofauti na kama huna njia mbadala mambo yanaharibika.
Ni wanaume wachache wanauwezo wa kuwaelezea wenza wao tatizo walionalo kwa sabb waume hawataki kuonyesha udhoofu,
Hivyo wewe mwenyewe unayo nafasi ya kumaliza matatizo hapo kwako kwa sabab kama una nia na umejiandaa ipasavyo kufanya ngono lazima utafika unapo kwenda .lakini ukisha weka kichwani kwamba huyu jamaa hanifikishi manake hata iweje hutafika,
 
Wakisikia ndoa uvumilivu wanajua mwanamke ndo anapaswa kuvumilia. Sisi tukinyonyesha tukinuka Maziwa wao wachepuke tuvumilie, wao wakiota vitambi na kuzeeka network haisomi vizuri sisi tufe na hamu zetu tuwavumiliee...nyoooo!

When I grow up I wanna be like Zariiii.
Kuacha sex sababu unanyonyesha ni tatizo binafsi.
kuchepuka ni sababu ya shetani. Ipo siku kina mama watamkamata na kumshughulikia.
 
Back
Top Bottom