Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

Pole sana , kama unauwezo hawo watoto wapeleke bodini au wakipata likizo wapeleke kwa bibi yao
Kisha ebu onesha Uhuru wa kujiachia kimahaba naye
Hapo mapishi , mavazi hata vile vimichezo vya kimubashara
Network ikipanda msiogope kuishusha hapo hapo

KIUKWELI WENGI WANACHIPUKA AU TUNACHIPUKA KWA KUFUATA VITU VIDOGO NA VYA KUTOZANIA KAMA KWELI TUNGEVIKOSA KAMA TUKISHAULIANA

POLE SHEMEJI YANGU [emoji36]
Mzima kaka yangu? Nakukumbuka sana sana sana
 
Nijikute tu!!!
Kwani niliolewa na maji ya moto!!!

hahahahahahha yaan kuna comments unashundwa ht kumeza msosi! unaona wimbi la wanaume wanavyoshauri eti ohh jichunguze ulipopotoka jichunguze madhaifu yako! hehhhehehehe asante MUNGU kuniumba hv aic! najichunguza nn sasa kansa ya kizaz au😡😡😡😡😡! mnayaweza kwakwel yaan eti mie nikalie kwa wazaz kuwa siridhishiw na mume wangu aic ntalia alone rum hata men hutajua after tht nafanya yangu! utanikumbuka mie hu!ko nilishatoka zamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!aseeeeeeeeeeeeeeeeeeee(in nyakyusa voice)
shubaaaamiiit zao
 
0d85674b306cd3ca0444d4ae1a1905ee.jpg

Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.

Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.

Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!

Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Humu utapata ushauri mwingi,lkn km ndoa yako ni ya kidini jaribu kuchambua ushauri epuka ushauri unaokuelekeza ktk visasi ama na ww kuchepuka,lkn km siyo ndoa ya kidini angalia namna ya kuwa na ndoa halali ili kuleta baraka,
Lkn la zaidi epuka sana kuwaza hitajila ngono maana kwa kufanya hivyo unaweza jikuta unazini na mtu ambae baada ya kumaliza haja yako ukapata majuto makubwa sana na yamkini aibu kubwa ama mtego mkubwa zaidi ya shida yako,tafuta jambo lingine la kufanya,kuwa bize na malezi ya familia na uchumi,lakini zaidi kuwa karibu na Mungu
 
mimi kama mwanandoa mwenzako nakushauri jipende wewe kwanza! usimghasi hata kushirikisha wazee maana mambo mengne had aibu tu! mie sishauri uwashirikishe wazee wala wazaz wala waliokusimamia harus yenu nao wana yao huenda makubwa zaidi!
unajua hawa wanaume wanatuonaga sie hatuna hisia kbs wanajijal wao tu ,sasa ww jikubal ulivyo na amin huna nkasoro tafuta hobby yyt ! ila pia jishughulishe utafte hela zako! maana utapauka weeee utalia weeeee kwanza accha kulia km unahis hisia zimezid lia akiwa ameondoka lia weeee rum kwako had uchungu utoke! jipe mitoko wknd ,jispoil ,vaa vzr kiheshima as modern woman! nakuambia huyo atajirud sasa hv! cc [HASHTAG]#eddy[/HASHTAG] love
Ushauri mzuri.Ukikaa unawaza waza hayo mahisia utaishia tu kuchepuka.Awe busy na mambo yake inatosha kujisaajlisha hisia.Hivi hisia zinaeza mnyima mtu usingizi?nauliza tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mm sijui mnanionaje lakini nimeongea wanaume wabinafsi sana

wala hatukuona una shida na mwanaujme akijua unalia kwajili yakeeeee uwiiii utakoma nakuambia atazidisha mbwembwe balaa acha kbs kulia mbele yake
 
Ushauri mzuri.Ukikaa unawaza waza hayo mahisia utaishia tu kuchepuka.Awe busy na mambo yake inatosha kujisaajlisha hisia.Hivi hisia zinaeza mnyima mtu usingizi?nauliza tu.

nini usngiz hata km upo kazin unashindwa fanya kazi kwa weledi kwasabab hisia zimekuzidia msihisi sie mambuzi aic
 
Shida yako sio kuridhishwa bali kukosekana kwa ndoa yenye uaminifu......
Tatizo ni shemeji kutokutunza kiapo cha ndoa, ukishughulikia hilo hayo ya kuridhishwa yatakuja.
 
Huyo mwanaume hajui wajibu wake kwa mkewe, mii nashangaa mwanaume kumwacha mke alalamike haridhishwi, vitu vidogo sana hivyo kuvifanya vikue hadi kushusha heshima ya ndoa yake,
Wengine tunatoka kula kwa mchepuko ukifika home mke nae anataka unampa haki yake tena kwa kiwango kisichompa shaka
 
Pole sana , kama unauwezo hawo watoto wapeleke bodini au wakipata likizo wapeleke kwa bibi yao
Kisha ebu onesha Uhuru wa kujiachia kimahaba naye
Hapo mapishi , mavazi hata vile vimichezo vya kimubashara
Network ikipanda msiogope kuishusha hapo hapo

KIUKWELI WENGI WANACHIPUKA AU TUNACHIPUKA KWA KUFUATA VITU VIDOGO NA VYA KUTOZANIA KAMA KWELI TUNGEVIKOSA KAMA TUKISHAULIANA

POLE SHEMEJI YANGU [emoji36]
Mkuu wanawake wengi hasa hawa wetu wa mke mmoja huwa wanajitahidi sana hasa wanapokuwa na watoto wanasahau mapenzi kwa mume ukizingatia mwanaume network inapanda na inatakiwa kushushwa visingizio kibao Dada wajiulize mapenzi yalipungua wapi kwa sababu huko nje tunapokelewa kwa shangwe dozi 12 in 1 Hakuna kulala unafikiria nitamrudisha mawazo nyumbani ikiwa nje nakula na kushiba
 
Huyo mwanaume hajui wajibu wake kwa mkewe, mii nashangaa mwanaume kumwacha mke alalamike haridhishwi, vitu vidogo sana hivyo kuvifanya vikue hadi kushusha heshima ya ndoa yake,
Wengine tunatoka kula kwa mchepuko ukifika home mke nae anataka unampa haki yake tena kwa kiwango kisichompa shaka
Msilalamikie mumewe mmesikiliza upande mmoja tu
 
Back
Top Bottom