Kuwachukiza ktk jambo gani? Maana hata my ex niliyemwacha yy ndio alinifanyia mm unyama mkubwa sana, pia sijamuibia mtu mume nilikutana nae tukiwa wote huru.Unaweza kua navyo hivyo vyote kumbe ulimkoseaga huko nyuma kitu kidogo tu jamaa amekasirika kimoyo moyo
Inabidi utambue binadamu tunafautiana.Kunawatu ukiwachukiza hawasamehi kamwe milele na milele.Utakua nae kimwili tu ila kiakili hayupo na wewe mile na milele
Lazima uwajue binadamu
Du kina chako kirefu sio bure maana unapenda mipiniEeh baba
Halafu anunue tangoZoea tu bidada. Hawa viumbe hata umlambe "goti" wapo hivyo hivyo. Kuwa busy lea watoto basi.
[emoji23][emoji23][emoji23] ww B40, kha kujiumiza kote kwa nn!Halafu anunue tango
Una akili sana bibie...ushauri wakipuuzi kama huo utaishia kuwafanya mshindane kutafuta maradhi mwisho wa siku muondoke muwaache watoto yatima.Nahisi ananifundisha hivyo na mm sioni km ni vyema
Bora anunue tango au atafute "girlfriend", au mchepuko wa maana. Stress za nini?Halafu anunue tango
Hapo juu si umeambiwa ulee watoto!!sasa sijui wadudu wakinyevuanyevua vipi[emoji23][emoji23][emoji23] ww B40, kha kujiumiza kote kwa nn!
Mwanamune mchepukaji mzoefu huwa anazidisha mahaba kwa mke kiasi hata ukipewa umbeya uone ni husuda na utamchukia mleta umbeya![]()
Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.
Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.
Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!
Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Yeye girl atafute girlfriend??Bora anunue tango au atafute "girlfriend", au mchepuko wa maana. Stress za nini?
NdioYeye girl atafute girlfriend??
Girl ana hogo?!Ndio
Hogo si lazima.Girl ana hogo?!
Teh teh mezea basiiiteh tehh demi huyo
Umeongea point kakaMwanamune mchepukaji mzoefu huwa anazidisha mahaba kwa mke kiasi hata ukipewa umbeya uone ni husuda na utamchukia mleta umbeya
Huyooo anayejisahau anahitaji kufundwa
Sasa handaki litakunwa kunwa vip!Hogo si lazima.
Ivo ndio vyema ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga...! Njoo kwangu tumuumize roho ila uwe tayari kumfilisi... Mtotowamamanjungu sijawaikumuacha mtu salamaNahisi ananifundisha hivyo na mm sioni km ni vyema