Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

Silence is the best treatment!
Mkalie kimya kuhusu hilo tatizo kama mwezi iviii... Yaani tafuta hobby itakayokuletea amani na furaha, ila njia rahisi ni kujiingisa mwili, roho na nafsi kwenye dini.
Wala usimbugudhi kutaka tendo na wala usiongelee, muhudumie mambo mengine yote kama mke anavyopaswa fanya, muheshimu tu! ROHO ITAKUJA MSUTA NA ATAJIRUDI.
Wanawake tulivyoumbwa tunaweza kaa miaka na miaka bila sex... Usihubutu kuchepuka mamy!
 
Sole kwa kutumia neno hilo ila wanawake wengi mkiisha zaa huwa mnasahau kuwa mmeolewa

Hata mwanaume akichepuka mwingine humaliza hata mwaka bila kumgundua kwa sababu ya kutojali kwake

Inaweza kuwa uliweka mwenyewe mlango na sasa unakutesa,

Jambo kubwa dada yangu usishughulike bila kujua mmeo kwa nn anatoka nje ya ndoa

Kama kuna wakati hukuwa nae kimapenzi au ulikuwa unamnyima au unalea kwa kumnyima mmeo mkae muongee hadharani mwambie ABC yake

Shida mi nashangaa mahwala wanaweza kuambiana mi unaniboa hapa wakafundishana lakini kwenye ndoa cjui kuna mapepo gani watu hawawi wawazii kwa wenzi wako

Najaribu kufikiria mwanaume kuwa na hawala mpaka mkeo mfikie kiasi hicho ni kazi kweli

La mwisho mdadisi mmeo ujue ABC ndo ujue uanzie wapi,ongea nae maneno mazuri ya mahaba onesha kuwa unmjali

Maongezi yako kwa Mme kwanza usiingize point ya kuwa anawapenzi nje no ongelea focus yake kwa Watoto familia yake baadae na wewe jiweke mwisho ili ujue huyo jamaa anawaza nn moyoni mwaka juu yako na familia

Hapo ndo utajua uanzie wapi ,inaweza kuvunja kiuno kumbe moyoni mwake limo jambo linaloondoa hamu ndani yake

Thanx mamiie mapenzi yakiwa murua urudi na zawadi basi tufurahi wote

Km kweli umeolewa, unajua mapito ya ndoa hebu kaa soma nayoyaandika alafu waulize waliodumu ktk ndoa wengine tofauti na mimi watakwambia tena yangu madogo. Alafu nina miaka minne, km hujaolewa usiache kuolewa sababu ya haya olewa. Ila siku labda utaongea haya leo nayoongea.

Kuna wengine wameamua kukaaga kimya kutembea nje, wengine kuwa walevi hakuna mwamba wa ndoa mtie moyo mwanamke mwenzio ndoa inauma.

Najua hapa si sehemu sahihi kwa kupata kile mtu unachoitaji ila najaribu kuona mawazo ya wengi watashauri nn maana kila mtu na mtazamo wake lakini wapo wanajua nachoongea.

Huwa nacheka sana mtu mwingine anasema hakuna wanawake wa kuoa lakini hawajui wanawake ni mm na ww mwanzo huwa swali lakini ndoa ya leo imeingiliwa sana na ina matatizo makubwa, unakuta mwanamke anakaa sababu ya watoto wake. Pia ndoa ina msingi wake lazima tukumbushane.

Kweli ipo siku nitakuja na Habari njema tu.
 
Sole kwa kutumia neno hilo ila wanawake wengi mkiisha zaa huwa mnasahau kuwa mmeolewa

Hata mwanaume akichepuka mwingine humaliza hata mwaka bila kumgundua kwa sababu ya kutojali kwake

Inaweza kuwa uliweka mwenyewe mlango na sasa unakutesa,

Jambo kubwa dada yangu usishughulike bila kujua mmeo kwa nn anatoka nje ya ndoa

Kama kuna wakati hukuwa nae kimapenzi au ulikuwa unamnyima au unalea kwa kumnyima mmeo mkae muongee hadharani mwambie ABC yake

Shida mi nashangaa mahwala wanaweza kuambiana mi unaniboa hapa wakafundishana lakini kwenye ndoa cjui kuna mapepo gani watu hawawi wawazii kwa wenzi wako

Najaribu kufikiria mwanaume kuwa na hawala mpaka mkeo mfikie kiasi hicho ni kazi kweli

La mwisho mdadisi mmeo ujue ABC ndo ujue uanzie wapi,ongea nae maneno mazuri ya mahaba onesha kuwa unmjali

Maongezi yako kwa Mme kwanza usiingize point ya kuwa anawapenzi nje no ongelea focus yake kwa Watoto familia yake baadae na wewe jiweke mwisho ili ujue huyo jamaa anawaza nn moyoni mwaka juu yako na familia

Hapo ndo utajua uanzie wapi ,inaweza kuvunja kiuno kumbe moyoni mwake limo jambo linaloondoa hamu ndani yake

Thanx mamiie mapenzi yakiwa murua urudi na zawadi basi tufurahi wote

Uh!!!!!!!
 
0d85674b306cd3ca0444d4ae1a1905ee.jpg

Habari zenu wadau wa humu tena, ninalileta hili ili tu nipate ushauri, nijifunze si nia mbaya hasa kwa wale ambao mko ktk ndoa mke/mme naomba ushauri wako si kejeli, ukinitukana sidhani km utakuwa umenisaidia kwa kweli maana ni bora mm ninaitaji kujua kuliko wale waliokaa na kulalama mitaani.

Mm niko ktk ndoa kwa miaka minne tuna watoto wawili, nimegundua mume wangu anachepuka kwa siri kiasi kutojali hisia zangu kabisa, pamoja na mapito mengi na kuamua kusamehe na kusimama km mke hiki kitu mm kinanikwaza sana na naumia sanasana maana najiuliza nn nimeshindwa kumfanyia, mm ni mwanamke ambae si mpofu kitandani najitaidi kumpa kadri niwezavyo ila nashangaa mwenzangu anashindwa kujali na kuheshimu ndoa yake. Naweza kukaa miezi miwili tunalala mtu akitoka job kwa malaya, mara kichwa kule tunalala mzungu wa nne! Visa jamani, ni tabia ambazo akishaanza kuchepuka amebadirika. Siku akiamua kukushika akishamaliza yy ww huku bado hajali nabaki na hamu naumia sana moyoni.

Mm sidhani km mwanaume akitembea nje km anaweza kumridhisha mkwe, jamani mm ni mwanamke naejiheshimu na nina hisia zangu, nifanyaje? Maana namwambia lakini anakataa na hata umwitie yoyote huwa hakubali!

Najiuliza hivi mtu unawezaje kuishi na mwanamke mkeo ukajisahau kiasi unamletea dharau ukishaonja nje ndoa una maana gani, maana huwa nasikiliza jirani akipiga kelele najiuliza nimelala na mwanaume kweli! Naomba ushauri wako.
Pole sana , kama unauwezo hawo watoto wapeleke bodini au wakipata likizo wapeleke kwa bibi yao
Kisha ebu onesha Uhuru wa kujiachia kimahaba naye
Hapo mapishi , mavazi hata vile vimichezo vya kimubashara
Network ikipanda msiogope kuishusha hapo hapo

KIUKWELI WENGI WANACHIPUKA AU TUNACHIPUKA KWA KUFUATA VITU VIDOGO NA VYA KUTOZANIA KAMA KWELI TUNGEVIKOSA KAMA TUKISHAULIANA

POLE SHEMEJI YANGU
 
Ndoa huwa ina phrase 3..phase ya kwanza ni ya upendo motomoto na pretending..kila mtu anaficha madhaifu yake na kuvaa uhusika usio wake kumridhisha mpz/mke wake

Phase 2; uhalisia..hapa kuna kuzoeana na kuoneshana uhalisia na tabia..hapa huwa ni pagumu na ndoa nyingi zinateteleka hapa na panahitaji sana maombi na commitment

Phase 3: hapa ni pale couple wanakuwa wameshatambuana na wameshasettle na kuweza kuchukuliana..kuna ambao wanaamua kuvumiana tu kulea watoto..kuna ambao wanaamua kubadilika na kupendana zaidi kuliko mwanzo na kuna ambao wanaamua kutengana mazima....

Ndoa yako iko phase 2..hivyo kama mwanamke simama imara kwa mikono yako kujenga ndoa yako..akinuna vaa tabasamu...fanya majukumu yako ...piga magoti omba...jipende..jipe furaha...pafanye nyumbani pawe mahali pa furaha..epuka kununa ovyo...usije hata kujaribu kumwambia au kumtishia kuachana coz grasses are greener outside....akiamka asubuhi kama atakubali mpe kadozi..mkimaliza ombeni pamoja then mpe kiss moja matata sana na mwambie unavyompenda..fanya hivyo bila kuchoka hata kama atakataa kukupa kidozi...hug him na mwambie unavyompenda...kama una kazi mnunulie vizawadi hata vidogo tu....mpikie chakula anachokipenda...endelea kuwa mama mwema kwa watoto wake.....epuka kumchunguza uraumia zaidi...be a positive thinker...

ALL THE BEST
 
mimi kama mwanandoa mwenzako nakushauri jipende wewe kwanza! usimghasi hata kushirikisha wazee maana mambo mengne had aibu tu! mie sishauri uwashirikishe wazee wala wazaz wala waliokusimamia harus yenu nao wana yao huenda makubwa zaidi!
unajua hawa wanaume wanatuonaga sie hatuna hisia kbs wanajijal wao tu ,sasa ww jikubal ulivyo na amin huna nkasoro tafuta hobby yyt ! ila pia jishughulishe utafte hela zako! maana utapauka weeee utalia weeeee kwanza accha kulia km unahis hisia zimezid lia akiwa ameondoka lia weeee rum kwako had uchungu utoke! jipe mitoko wknd ,jispoil ,vaa vzr kiheshima as modern woman! nakuambia huyo atajirud sasa hv! cc [HASHTAG]#eddy[/HASHTAG] love
 
Pole sana , kama unauwezo hawo watoto wapeleke bodini au wakipata likizo wapeleke kwa bibi yao
Kisha ebu onesha Uhuru wa kujiachia kimahaba naye
Hapo mapishi , mavazi hata vile vimichezo vya kimubashara
Network ikipanda msiogope kuishusha hapo hapo

KIUKWELI WENGI WANACHIPUKA AU TUNACHIPUKA KWA KUFUATA VITU VIDOGO NA VYA KUTOZANIA KAMA KWELI TUNGEVIKOSA KAMA TUKISHAULIANA

POLE SHEMEJI YANGU
Yaani watoto waumie kwasababu ya mtu mzima mmoja aliyeshindwa kutumia akili kuishi na mkewe!!!!!
 
Ila UWIIIIII utakua una tatizo kubwa na mumeo kuna thread ulisema umeoleawa na mwanaume ambaye hakupendi kama sikosei so unafikiria huyo mwanaume ambaye toka mwanzo ulimuona hakupendi ataanzaje kukuridhisha kwa mfano uwiiiiiii. Pole sana my dear Mungu afungue Neema zake kwenu. Uwiiiiiiii wanaume naoo
 
Back
Top Bottom