Mume wangu anatafuta kazi

Mume wangu anatafuta kazi

Kama mkitafakari kwa makini alichosema Utingo, mtajifunza kitu muhimu sana katika maisha yenu.
 
Last edited by a moderator:
Amesoma postgraduate ya kozi gani kama ni business cha msingi kama ni business unaweza ukanipm nikupe good business nazani unaweza ukawa umewah kusikia forever living its good business ambayo mume tunaweza kufanya
 
Amesoma postgraduate ya kozi gani kama ni business cha msingi kama ni business unaweza ukanipm nikupe good business nazani unaweza ukawa umewah kusikia forever living its good business ambayo mume wakotunaweza kufanya nawe its simple business to everyone mkaribishe tufanye business unaweza kunipm nikupe contact zangu au unitumie za mumeo tufanye business ambayo even you can do to the future
 
Kuna mwenzangu kwa sasa yupo kwenye managerial level forever living alisoma hiyo2 procurement nazani kuhusu mumeo dada hiyo business ya forever imtafaa na maisha yenu yatabadilika sana even you you will do and enjoy if your interested utanipm
 
Kuna mwenzangu kwa sasa yupo kwenye managerial level forever living alisoma hiyo2 procurement nazani kuhusu mumeo dada hiyo business ya forever imtafaa na maisha yenu yatabadilika sana even you you will do and enjoy if your interested utanipm au unaweza kunitafuta through my number ilinikuunganishe kufanya hii potential business my phonen 0717115421
 
Namkaribisha mume wako kwenye business ya forever living ambayo in potential kubwa ambayo mume wako hatashindwa if uko interested unaweza kuncheki my numer 0717115421
 
angekuwa MCHAGGA angeshaanza kuuza mkaa na vitunguu/nyanya.....2 year to come anahamia Kkooo kula madil na masaweee/kimaro/etc
 
Amesoma postgraduate ya kozi gani kama ni business cha msingi kama ni business unaweza ukanipm nikupe good business nazani unaweza ukawa umewah kusikia forever living its good business ambayo mume tunaweza kufanya

Acha kumtia uchizi jamaa,,,,!!!
 
Huwa anajaribu Kilimo na huwa havuni kitu cha maana Kama vitunguu,mahindi etc amesoma post ya procurement

kumbe post graduate ya procurement.. nilifikiri ya finance hapo ningejiongeza kuwa ni bro wangu daaah
 
Morning glory usithubutu kumkaribisha mumeo kwenye huo upu...z hapo juu

Hehehe, Forever Living, GNLD etc....zote hizo ni Pyramid Schemes na wala usipoteze muda. Heri aendele na Kilimo. But chamsingi ni kwamba your husband awe persistent na anacho Kifanya. Kuna watu wengi ambao wamefanikiwa sana but wali-feli several times before they finally succeeded. Kama he believes in being employed, basi atume maombi ya kazi several times on anything that he believes he can do. Kama ni kilimo au self employment yeyote ile, ajaribu kuangalia where and what he did wrong, then arekebishe! That way, naamini atafanikiwa kwa sana tu. Sio mambo ya wazee sjui kunywa supu ya mbuzi nini na nini.
 
Mungu ni mwema atampatia kazi soon..muhimu awe anajiandaa vyema kwa interview maana wengi tunakwama kwenye interview kwa mambo mengi..
1. Kukosa kujiamini baada ya kufanya sana interview bila mafanikio...
2. Kuwa na matarajio yaliyopitiliza...
3. Kukosa referee wazuri...

All in all asikate tamaa bado mapema...apeleke C.V sehemu mbalimbali kwa mkono maana email zinazngua muda mwingine....
 
Hehehe, Forever Living, GNLD etc....zote hizo ni Pyramid Schemes na wala usipoteze muda. Heri aendele na Kilimo. But chamsingi ni kwamba your husband awe persistent na anacho Kifanya. Kuna watu wengi ambao wamefanikiwa sana but wali-feli several times before they finally succeeded. Kama he believes in being employed, basi atume maombi ya kazi several times on anything that he believes he can do. Kama ni kilimo au self employment yeyote ile, ajaribu kuangalia where and what he did wrong, then arekebishe! That way, naamini atafanikiwa kwa sana tu. Sio mambo ya wazee sjui kunywa supu ya mbuzi nini na nini.

Asante nafikiri kumshauri afanye GNLD tuone itakavyokuwa
 
Thanks Major ushauri wako is of essence,we will act upon it,tunaongea Mengi he listens a lot na he's humble,coz meseji yoyote yangu humfikia haraka
i really promise you kama yuko humble mtakuwa na mafanikio mbeleni wanaume tupo wabishi na wababe hasa katika kusikiliza ushauri wenu. mimi nina uhakika there must be something somewhere ambapo anaenda wrong(hafuati principles za mafanikio kwa kitu anachokifanya) kumbuka unaweza kuwa unalima ila jiulize unalima kwa uhakika au ndo kutegemea majaaliwa ya Mungu waafrika tunamfanya Mungu kuwa busy ili hali yeye katupa uwezo wa kutawala vyote viijazavyo dunia vyote ni vyetu. ila inahitaji akili na mbinu ili na vyenyewe vikukubali wewe uwe bosi wao. WE HOLD OUR DESTINY IN OUR HANDS. huwezi panda mchicha ukavuna mpunga maisha ni uhalisia sio kuigiza. fateni principle msifanye ilimradi watu wengi wanafanya hivyo wengi wameiga ila wameshindwa kwasababu hawakujua au hawakufuata principle ili wafanikiwe jambo hili ndilo lina tutofautisha maskini, Middle class economy, na matajiri. na ndio maana matajiri ni wachache sana mimi nina matumaini makubwa coz ninamuona mke mwema na mume mwema hakuna litakalo halibika ni suala la wakati tu.
 
Lol thanks inspirational to my familia
 
Back
Top Bottom