Mume wangu anatafuta kazi

Mume wangu anatafuta kazi

Ok ok ni kama vile kuondoa mikosi eh au laana? Labda aende Tanga au swanga

Sent from Nokla using Jf app
Kabisa maana kuna laana za kifamilia

Ila vifungo haviondolewi kwa waganga maana huko unaweza ukaenda kuongezea vifungo vingine

Ninavyoamini mimi vifungo huondolewa na Mungu pekee no shortcut
 
Kabisa maana kuna laana za kifamilia

Ila vifungo haviondolewi kwa waganga maana huko unaweza ukaenda kuongezea vifungo vingine

Ninavyoamini mimi vifungo huondolewa na Mungu pekee no shortcut

Mkuu labda umpe na uelekeo kbs, maana siku hizi kuna tofauti ndogo sana kati ya waganga na hao wengine.

Wote wanatumia nguvu zisizoonekana, wote lazima wataje pepo/jini, msisitizo wa kubarikiwa kwa kupanda mbegu (kutoa hela).

Sent from Nokla using Jf app
 
Rich Woman unaeza usinielewe lkn uku Mwanza 2012 kidogo ngumi zitokee kati ya Mpemba wa Kwa neema Fm 98mGH na Nabii B. G Malisa kisa huyu mpemba alileta mtu alokuwa mganga na ana ushahidi kumpa nguvu za uchawi Malisa(wote wa Mwanza, Malisa Michungwani na Mpemba Kiloleli).

Ilikuwa hatari sana, huyu mchawi alookoka aliomba aletwe Malisa waongee live radioni lkn Malisa aligoma. Na huyu Malisa ni km Tb Joshua kwa mwanza, anatoa "deleverance" genuine alifufua mtu Geita.

Sasa hii mix ndio sisi watu wa kawaida tunahoji, which is which!

Asante

Sent from Nokla using Jf app
 
Last edited by a moderator:
Nilidhani mie mwenye ka certificate cha course ndio nakula njaa kumbe hata wa dizaini hii, dont loose hope sister things will be fine soon
 
kuna kozi zingine kupata kazi ni ngumu sana ila kikubwa azidi kumuomba Mungu .
 
Huyo mume wako ni janga la wanaume wengi wa kiafrika. Nachukizwa na watu wanao tetea watu wavivu na wajinga wa namna hiyo. Mwanaume mwerevu ni yule mwenye kuhakikisha anakuwa ni sehemu ya mchango wa maendeleo ya familia yake. Mwanaume ndiye provider wa mahitaji ndani ya nyumba. Hivi wewe mleta mada Mungu siyo asumani umefukuzwa kazi itakuwaje? Hivi elimu ya mume wako aliyo nayo inamsaidia nini? Nilitegemea elimu aliyo nayo itamsaidia kuanza hata na biashara ya mtaji wa lakimoja. Biashara ambazo zinaonekana za kipumbafu ndizo zenye faida nzuri. Usimdekeze mume wako, mkomalie afanye kazi aache umarioo.
 
Duh! Binadamu kweli tunajua kutafuta sababu za kufariji nafsi pale tunapokosa majibu ya matatizo yetu.Sasa mizimu imefanya nini? Kaifanya nini mpaka imuathiri yeye?

Hapo dada yangu hakuna mchawi wala mizimu zaidi ya nyie wawili,wewe na mume wako.Mtu anafanya kilimo halafu hakuna mafanikio,mmeshawahi kujiuliza kwanini hapati mafanikio? Mmeshaenda kujifunza kwa wakulima wazoefu? Tatizo ndio lipo hapo.Mimi nashauri aendelee na kilimo aachane na habari za ajira,tafakari wapi anakosea ili arekebishe kilimo kimlipe,mbona wengine kinawalipa iweje yeye ashindwe kama yupo dedicated
 
Atapata kazi kabla mwaka huu 2014 haujaisha. Bonge la kazi....wala hutaamini.

Mtakua na mahela sana....mtajenga nyumba nne na magari ya kifahari mawili mazuri sana. Mtapata mtoto wa kiume. Na mtamwita Yeremia.

Trust me!!!

Kama Morning glory ana imani kidogo tu kama chembe ya haradali, akiamini haya uliyomwambia, Mwenyezi Mungu atasikia kilio chake na Amin Amin namuambia kilio chake kitageuka kicheko.

Wote tuseme Amina.
 
Last edited by a moderator:
usikate tamaa haraka watu wengine tulisota tangu mwaka 2006 mpaka kupata kazi mwaka 2012 wewe mume wako juzi tu 2011 unaanza kusikitika, tulia msitake maendeleo ya haraka na asikae home tu azunguke kutafuta job na connection zingine. bado saaana akomaee na wewe wala usimlaumu wala kuona muda unakwenda wengine yalitukuta makubwa zaidi ya hayo baba hana kazi mama hana kazi na wote wana madegree na postgraduate za maana mwisho Mungu alijibu. kusali ni jambo la muhimu pia
 
Unaloliongea ni sahihi kabisa
 
Huyo mume wako ni janga la wanaume wengi wa kiafrika. Nachukizwa na watu wanao tetea watu wavivu na wajinga wa namna hiyo. Mwanaume mwerevu ni yule mwenye kuhakikisha anakuwa ni sehemu ya mchango wa maendeleo ya familia yake. Mwanaume ndiye provider wa mahitaji ndani ya nyumba. Hivi wewe mleta mada Mungu siyo asumani umefukuzwa kazi itakuwaje? Hivi elimu ya mume wako aliyo nayo inamsaidia nini? Nilitegemea elimu aliyo nayo itamsaidia kuanza hata na biashara ya mtaji wa lakimoja. Biashara ambazo zinaonekana za kipumbafu ndizo zenye faida nzuri. Usimdekeze mume wako, mkomalie afanye kazi aache umarioo.

wazo lako linafanana na la utingo which is very good katika kutafuta maisha usharobaro tupa kule.
 
Maombi gani ya kula mbuzi kunywa pombe na mizimu !!!!!

Amua kufanya maombi au ambatana na shetani na mizimu yake, lakini cha moto utakiona.
Asante! plz nielewe maombi yanahitajika! akakae na wazee wake baba zake mama zake wa kiumeni na kikeni ale nao anywe nao wampe baraka zao,Wazazi wetu ni MUNGU WETU WA PILI PLZ ELEWA,SI KWAMWE AENDE KWA SANGOMA
 
Last edited by a moderator:
Wana JF please please nawaomba sana mnisaidie mume wangu amesoma mpaka post degree na Hana ajira nifanyeje? Yaani mi ndo nalisha nyumba na kulipia mahitaji yote, sasa inaniumiza! Binafsi sijamtenga ila namwonea huruma sana hajawahi kuajiriwa since 2011 na kila miradi anao anzisha unaishia njiani, sasa yupo tu home-nimewaza sana kuweka thread hii jamvini coz siko sure sana Kama yuko humu.

Nimependa jina lako Morning glory
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom