Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,470
- 9,011
Watu tumeolewa na watu wenye mapungufu kibao ya kimaumbile ila katu haitatokea nikaanika mapungufu ya mwenza wangu ya ndani hata kwa kutumia fake account au avatar maana kwa kuandika tu mapungufu yake ambayo ni siri yenu na mnatakiwa kukaa na kuya solve wawili tayari inakua ni sawa na kumuanika hadharani,moyo na nafsi yangu havita muheshimu tena
Heshima kwako mrembo LadyAJ. You are talking wise sense. You are the woman. Unaonesha ukomavu jinsi ya 'kuplay' na ndoa. Unamheshimu mumeo.
Blessed !
-Kaveli-