Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

unajua kuna jambo moja ambalo nilishawah kulisema hapa jukwaani.
kila kosa unalofanyiwa jitizame je wewe umesababisha vipi kosa hilo?
ukikaa ukata watu wakuambie kuwa ni kosa na suluhisho ni hivi aisee utapotea sana.

jambo moja katika maisha ni hivi inatakiwa mtu ujue kosa linapokuwa kubwa sana utalistahimili vipi. uzuri ni kukaa kimya jipe muda wa ktuosha kabisa ili utakapoamua usiamue ukiwa na hasira ma kinyongo.

mie mdogo wa shoga yangu alizaa na mume wa dada yake, chini ya dari moja, kiukweli moyo wa yule mama niliusifu. alipojua hali ile alimwambia wazi mumewake, kosa mlilofanya litakudhalilisha maisha yako yote ila mimi nataka nikusaidie kwasabbu wewe ni mume wangu na nakupenda. huyu dogo atakaa hapa adi ajifungue nitamhudumia akipata nguvu ataniachia mtoto, yeye ataenda kuanza maisha yake upya ila wewe utalazimika kumpa mtaji wa kuanzia maisha nikiona na mahusiano yenu yakomee hapo. akamwambia the same statement mdogo wake tena akamwambia asiyaseme hayo kwa watu. ilibidi mdogo mtu akubali na mume akubali as am writing here mtoto ana miaka 4, amekuwa mmoja wa watoto wa huyu dada mkubwa anamwita mziwanda.

Kusamehe ni jambo kubwa sana na ukweli humfanya mkosaji akajifunza zaid kuliko usiposamehe na ukaonyesha ubabe.
This is Great. Bravo@gfsonwin
 
Suala hili ni gumu, lina social psychology impacts kwa dada and mdogo mtu, jamii iwazungukayo na familia zote mbili ya mume na mke. Kwa kuwa huyo dada hajazaa mtoto katika hii familia, ni bora akafunga ukurasa wa hii ndoa akaondoka. Maana akizaa na huyo mume na watoto itakuwa shida ya kudumu baadae. Bora wigo wa tatizo uishie hapo ulipofikia. rahisi kusahau haya baada ya muda. chukulia tu as a broken relationship tu na songa Mbele.
Husisahau kuangalia na mapungufu yako binafsi yaliyopelelea haya kutokea ili utakapopata familia yasije kukupata haya tena.
mkuu umetoa ushauri mujarabu na wa kiu-uzima. ushauri kama huu ndio unaofaa. eti watu wanamtabiria bidada mabaya kwamba anaweza kuachika akaja kuolewa na mwanaume mbaya kuliko huyu mzinzi! watu wengine bhana! mimi nasema WHATEVER THE CASE...huyo mzinzi havumiliki na kosa alilotenda ni kubwa na lisilosameheka. mtu hawezi kuzaa na shemejiye halafu watu bado wakashauri apewe nafasi tena! impossible!
 
Hapo sepa tu Dada. huyo hana mapenzi ya dhati. kama kadiriki kutembea na mdogo wako wa damu. huko nje katembea na wangapi? hata ukimsamehe bado atakutenda tu. huyo mdogo wako namuonea huruma maskini anaenda kuwa single mom. kuna kipind tunapind kutumia akili na sio hisia. watu wanachezea ndoa nyie achen ila mwisho wa siku majuto ni mjukuu. watu wanalia wapate mume mwema au mke mwema wengine wanachezea. roho huwa inaniuma sana ila bac. tamaa mbele mauti nyuma. ktk mapenz hakuna kosa lisilo vumilika kama usaliti. msaliti ni sawa na muuaji, atakuletea ukimwi. hata uko akiambiwa muue mkeo au mmeo anakuua tu. sijui laana au??
 
AISEE INAUMA SANA, POLE MWAYA NAONA USHAURI UMEPATA HAMNA NDOA HAPO, KAA PEMBENI UTAPATA WAKO TU MWAYA
 
Ndio maana wazazi wake aamemzaa, kumsomesha na yeye kufikia alipo. Wamevumilia sana walipokoseana. Ila kama wewe unadhani unaakili na busara kuliko wazazi wako endelea kuamini hivyo.
nimekuuliza swali dogo bado hujanijibu. je wewe ungekuwa ni mtoto wa wale wazazi wanaowataka watoto wao waandike makorokocho kwenye mitihani ya taifa ili wasiende sekondari ungetii agizo hilo au ungechanganya na za kwako?
 
funny enough, kuna watu humu ndani wanaona siye tunaosema samehe hatujaona ukubwa wa kosa alofanyiwa.
haiko hivyo ila tunaangalia hatma ya uamuzi atakao chukua.

nakupa mfano mdogo sana a sister of mine alikuwaga na mchumba, siku moja akamkuta mdogo wake tuko na huyo mchumba wake chumban kwa huyo mchumba wake wanapiga story. sister akakasirika sana akaona mdogo wake kamchukulia mchumba alicall off ule uchumba akasema nitapata mwingine wewe sio mwaminifu.

mama yangu mzazi alimwambia dada samehe usiachane na mchumba wako kwasabb kama hiyo, tena huyu dada alipakaza ukoo mzima mdogo wake kamchukulia bwana. huyu dada hakusikia ushauri wa mtu na alijua ukiachana na huyu utapata yule. miaka ikaenda yule bwana akatafuta mwanamke mwingine akaoa, mdogo mtu akaolewa na yeye yaani sister hadi leo hajaolewa. vilipomshinda akaamua kuzaa na mwanaume kwa ahadi ya kufunga ndoa baadae. miaka imepita mtoto sasa ni ten years hakuna ndoa mtu miaka ishafika 45. sasa mie huwaga najiuli pengine yule alomtolea mahari ndo alikuwa mume halisi wa sister. leo hii kamaliza makanisa dar yote akaiomba aoane na baba wa huyu mtoto na bado Mungu hajaruhusu. kuna mengi sana nyuma ya hili la leah2.

nataka kumwambia akiona Mungu kampa jaribu kama hili ajue anataka kumpromote kwenye daraja la juu kabisa inabidi yeye akae aangalie kusudi la Mungu katika hili na sio makusudi ya kibinaadamu. sisi sote tutakuwa wafariji wataabishaji kwake ila amtazame Mungu neema yake bado ipo na inamwita. naamini kipo Mungu alichomuandalia huyu dada ila ibilisi hataki lile kusudi litimie ndani yake.

HITIMISHO

Nimefuatilia mjadala huu tangu mwanzo hadi sasa nimegundua kwamba humu kuna washauri wa aina mbili: Kwanza, ni kundi la washauri WAZINZI ambao wanamtetea mzinzi mwenzao kwa gharama yoyote ile na kujaribu kuDOGOsha tatizo hili ili lionekane dogo kama mbegu ya haradari na kumtaka bi dada amsamehe mzinzi mwenzao aendelee kumchepukia bi Leah 2 kama kawaida yake. Hili kundi la washauri ni la hatari sana. Sitaki kuamini kwamba hawa washauri hawaoni UKUBWA wa tatizo hili ila wanafanya hivyo kwa makusudi kwa kuwa wao wamezoea kujihusisha kwenye matukio ya ajabu kama hayo, hivyo wao wanaona ni la kawaida tu. Aidha, wamefikia hatua ya KUMTISHA bi dada kwamba akiachana na huyo MZINZI anaweza apate mume mbaya zaidi au akumbane na matatizo makubwa kwenye mahusiano yake mapya. Huu ni utabiri wa waganga wa kienyeji ambao siku zote huwatisha wateja wao wawapelekee kuku mwenye rangi ya zambarau na ikiwa watashindwa wapeleke fedha. Hivi ni vitisho vya KIJINGA kabisa na vinapaswa kupuuzwa. Ikiwa mwamtabiria bi dada kupata mume mbaya zaidi ya huyu mzinzi na kumshauri asimuache je, huyu MZINZI nyie mwamuona malaika? Je, siku akija kumletea magonjwa ya UKIMWI mtamtibu? Yakhe hamna khaya!

Pili, kuna kundi la washauri waadilifu na wenye akili za kiutu (nami nikiwamo) wanaomshauri bi dada aachane na huo msalaba na kutafuta maisha mapya. Huu ndio ushauri mjarabu na endelevu unaopaswa kufanyiwa kazi na bi dada. Ikiwa huyo mzinzi kadiriki kulala na mdogo wake bi dada hadi kumuambukiza mimba inaoenekana kwamba hana utamaduni wa kuvaa kondomu pindi achepukapo. Na kwa kuwa mzinzi haachi asili yake, kuna hatari bi dada akaja kuambukizwa magonjwa mabaya na huyo mwanahizaya mpaka akajutia maisha yake yote. Njia mwafaka ni kuachana na huyo mzinzi na kuchukua 50 zake. Huyo sio mume wa kuishi naye…ameishajishushia heshima pakubwa sana. Huu ushauri ni muhimu sana kwa bi dada Leah 2 ikiwa kweli anataka mstakabali mwema wa maisha yake. Kwanini uhangaike na mzinzi wakati wanaume bora wapo wa kumwaga hapa duniani?

Ikiwa Mungu aliruhusu watu kutengana kwa sababu za KIUZINZI, je wew ni nani hadi upinge hilo na kumtaka bi dada endelee kutumbukia kwenye matatiz?

For those who don’t know what God says about divorce on grounds of sexual immorality, please read the following verses:

Matthew 19:9

And I say to you: whoever divorces his wife, except for sexual immorality, and marries another, commits adultery.”

Matthew 5:32
But I say to you that everyone who divorces his wife, except on the ground of sexual immorality, makes her commit adultery, and whoever marries a divorced woman commits adultery.

Matthew 5:31-32
“It was also said, ‘Whoever divorces his wife, let him give her a certificate of divorce.’ But I say to you that everyone who divorces his wife, except on the ground of sexual immorality, makes her commit adultery, and whoever marries a divorced woman commits adultery.

KWA HIYO, WALE WOTE MNAOMTISHA BI DADA KWAMBA ATAPATA MAJANGA IKIWA ATAACHANA NA HUYO MZINZI MWENZENU, HAMJUI MLISEMALO…KAENI KIMYA!
 
Sikiliza yoote,mbwe mbwe zoote.Ila usiachane na mumeo. Mr Perfect hajazaliwa bado na hayupo.Cool down, fukuza huyo dogo,mtoto atakuja mwenyewe baadaye tena ni damu yenu. Timiza wajibu wako wa ndoa wa kupata mtoto immediately. Uliolewa kwa hilo kwanza. Amua shule ama ndoa. Mtendee mema sana, mwombee sana,mwonee na huruma. Huyo huyo atakuwa the best friend,your shelter,your shield, your shoulder to lean on .Trust my words
 
acha ulaghai wako wewe. unawezaje kutoa ushauri wa KISHETANI kama huu kwa mwenzako huku ukijua kuwa unampotosha?
 
Fata moyo wKo na akil yako.. Lkn kwa hili sikulaumu kuachana na mume0 uk0 sawa kwa upande wng.
 
Pole Sana kwa mkasa uliokupata dada,
Uamzi wa kuchukua hapo ni kuachana na huyo Mwanaume kwa vile hujawa na mtoto naye, mwachie mdogo wako ingawa inauma maana mapenzi ndani ya miezi minne hao inaonyesha walikuwa wamezamilia kufanya jambo la kukuumiza, na huyo mdogo wako hajiheshimu pia hata ww hakuheshimu
Mwachie anzisha maisha yako.
 
HITIMISHO

Nimefuatilia mjadala huu tangu mwanzo hadi sasa nimegundua kwamba humu kuna washauri wa aina mbili: Kwanza, ni kundi la washauri WAZINZI ambao wanamtetea mzinzi mwenzao kwa gharama yoyote ile na kujaribu kuDOGOsha tatizo hili ili lionekane dogo kama mbegu ya haradari na kumtaka bi dada amsamehe mzinzi mwenzao aendelee kumchepukia bi Leah 2 kama kawaida yake. Hili kundi la washauri ni la hatari sana. Sitaki kuamini kwamba hawa washauri hawaoni UKUBWA wa tatizo hili ila wanafanya hivyo kwa makusudi kwa kuwa wao wamezoea kujihusisha kwenye matukio ya ajabu kama hayo, hivyo wao wanaona ni la kawaida tu. Aidha, wamefikia hatua ya KUMTISHA bi dada kwamba akiachana na huyo MZINZI anaweza apate mume mbaya zaidi au akumbane na matatizo makubwa kwenye mahusiano yake mapya. Huu ni utabiri wa waganga wa kienyeji ambao siku zote huwatisha wateja wao wawapelekee kuku mwenye rangi ya zambarau na ikiwa watashindwa wapeleke fedha. Hivi ni vitisho vya KIJINGA kabisa na vinapaswa kupuuzwa. Ikiwa mwamtabiria bi dada kupata mume mbaya zaidi ya huyu mzinzi na kumshauri asimuache je, huyu MZINZI nyie mwamuona malaika? Je, siku akija kumletea magonjwa ya UKIMWI mtamtibu? Yakhe hamna khaya!

Pili, kuna kundi la washauri waadilifu na wenye akili za kiutu (nami nikiwamo) wanaomshauri bi dada aachane na huo msalaba na kutafuta maisha mapya. Huu ndio ushauri mjarabu na endelevu unaopaswa kufanyiwa kazi na bi dada. Ikiwa huyo mzinzi kadiriki kulala na mdogo wake bi dada hadi kumuambukiza mimba inaoenekana kwamba hana utamaduni wa kuvaa kondomu pindi achepukapo. Na kwa kuwa mzinzi haachi asili yake, kuna hatari bi dada akaja kuambukizwa magonjwa mabaya na huyo mwanahizaya mpaka akajutia maisha yake yote. Njia mwafaka ni kuachana na huyo mzinzi na kuchukua 50 zake. Huyo sio mume wa kuishi naye…ameishajishushia heshima pakubwa sana. Huu ushauri ni muhimu sana kwa bi dada Leah 2 ikiwa kweli anataka mstakabali mwema wa maisha yake. Kwanini uhangaike na mzinzi wakati wanaume bora wapo wa kumwaga hapa duniani?

Ikiwa Mungu aliruhusu watu kutengana kwa sababu za KIUZINZI, je wew ni nani hadi upinge hilo na kumtaka bi dada endelee kutumbukia kwenye matatiz?

For those who don’t know what God says about divorce on grounds of sexual immorality, please read the following verses:

Matthew 19:9

And I say to you: whoever divorces his wife, except for sexual immorality, and marries another, commits adultery.”

Matthew 5:32
But I say to you that everyone who divorces his wife, except on the ground of sexual immorality, makes her commit adultery, and whoever marries a divorced woman commits adultery.

Matthew 5:31-32
“It was also said, ‘Whoever divorces his wife, let him give her a certificate of divorce.’ But I say to you that everyone who divorces his wife, except on the ground of sexual immorality, makes her commit adultery, and whoever marries a divorced woman commits adultery.

KWA HIYO, WALE WOTE MNAOMTISHA BI DADA KWAMBA ATAPATA MAJANGA IKIWA ATAACHANA NA HUYO MZINZI MWENZENU, HAMJUI MLISEMALO…KAENI KIMYA!
well umegundua vyema kabisa.
wewe ni muadilifu tena sanaa, siye wazinzi tumeshauri kiuzinzi.
 
Asante kwa ufafanuzi wa kibiblia
 
Kumwucha huyo bwana haina maana kua asisamehe, awasamehe mme Na mdogo mtu then asonge mbele.
Laiti Leah angekua Na watoto kwa huyu mme hata mie ningemshauri ajikaze aendelee kuishi kwa ajili ya watoto sasa hakuna bora amwachie mdogo wake
Wao waendele kulea mtoto Na kujenga familia yao.
Gfsonwin pia bora mmewe hii Hali angekua anaijutia pia nakuona kua kafanya Jambo sio Lakini bwana huyu kakauka kauuu hata neno samahani/ nisamehe Mke wangu hakuna
Sasa unajiuliza hata ukimsamehe mtu kama huyu Na kuendelea nae si majanga??
Hata Yesu huwasamehe watu watubuo kwa kumanisha Na kunyenyekea kwake sio mtu hana time yupo yupo tu anasamehewa.
Huyu bwana hajaonyesha jitihada zozote kwa maelezo ya Leah ili kuokoa ndoa yake yeye anaona poa tu hapo ndo nauona ugumu wakuendelea Na mtu wanamna hii.
Umenisaidi kuwaelewesha nao, lkn ninachokiona hapa wengi wanatabia zinazofanana na mume wangu ndiyo maana hawaoni kosa lake pamoja na maelezo niliyotoa bado wananiita et ninadharau wakatk nimeshaeleza mambo tena kwa uwazi.
Kama wanataka maelezo ya mtuhumiwa ninaamini wangeshayapata toka kwake mwenyewe kwa sababu ni mpenzi sawa wa JF najua uzi ameshauona Ila Hana cha kujibu kwa sabbu yeye ni shahidi jinsi nilivyoishi naye nikimtii na kumuhudumia kama mke anayejua thamani ya mume. Nina uhakika hawezi kueleza chchte kupinga nilichoandika mimi kwani ndiyo ukweli wenyewe, wasinilazimishe kuonekana mimi ndiye mkosa.
 
Back
Top Bottom