Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Namim sikupost humu ili kufurahishwa wala kuhurumiwa na wewe na pia sikuandika ili wewe upotoshe, sema unachokijua, kueleza yale usiyajua ndiyo kimenifanya nikujibu, kama unataka kujua upande pili ataeleza nini, basi ungeendelea kungoja mpaka atakapo kuwa tayari kueleza ndipo ujibu maana ninahakika kuwa Hana ujanja wa kukaa zaidi ya siku moja hajaingia jf, inamaana thread imeisoma kukaa kwake kimyaa kunaonesha hana cha kusema wala kujitetea, ni hayo tu mkuu

Leah, siwezi kupotosha coz sihusiki na hiyo tafrani. Nimetoa maoni yangu tu kwa upande wa pili, na sio lazima niwe sahihi.

Kila la heri though!!
 
Asante...
 
Umenisaidi kuwaelewesha nao, lkn ninachokiona hapa wengi wanatabia zinazofanana na mume wangu ndiyo maana hawaoni kosa lake pamoja na maelezo niliyotoa bado wananiita et ninadharau wakatk nimeshaeleza mambo tena kwa uwazi.
Kama wanataka maelezo ya mtuhumiwa ninaamini wangeshayapata toka kwake mwenyewe kwa sababu ni mpenzi sawa wa JF najua uzi ameshauona Ila Hana cha kujibu kwa sabbu yeye ni shahidi jinsi nilivyoishi naye nikimtii na kumuhudumia kama mke anayejua thamani ya mume. Nina uhakika hawezi kueleza chchte kupinga nilichoandika mimi kwani ndiyo ukweli wenyewe, wasinilazimishe kuonekana mimi ndiye mkosa.
uamuzi wako ni sahihi 101%. lakini naona humu kuna WAZINZI wenzake wanajaribu kumtetea huku wakikutwisha ZIGO wewe bi dada Leah 2. wapuuzi na kuwadharau. kama kuna mtu anaona hili suala ni dogo aende akazae na shemejiye halafu ampelekee mkewe watoto alee. yafaa watu waache kurahisisha matatizo ya wenzao kwa makusudi...ni UNAFIQ ulioje!
 
How old are you?
Partly kabla ya kuanza kumlaumu mumeo nitakulaumu na wewe.
  1. Kutokuufwatilia kwa karibu uhusiano kati ya mdogo wako na shemeji yake. Mbali na kuwa ni ndugu yako wa damu,utakuwa unajua tabia zake na ni mwanamke kama wanawake wengine.
  2. Hilo la kuchelewa kumzalia mumeo mtoto. Inaweza kuwa lilikuwa jambo lako tuu na namna alivyokubali inaweza kuwa kutokana na sababu zako ila je? mliridhiana pasipo shaka kwamba atakubali wewe umalize kusoma ndio umzalie mtoto?
Wanaume ni wadhaifu being a man I know this, na wanahitaji kufuatiliwa kwa ukaribu sana hasa kwenye mambo kama haya yanayohusisha hisia. Ki mtazamo sijui namna mambo unavyoyaendesha nyumbani kwako ni maoni yangu kuwa unaipa sana kazi yako na masomo as priority kuliko mume wako (sisemi usithamini kazi) to me, family comes first. Na hiyo weakness shetani ndio akapitia hapo hapo.

Bottom line: Fuata ushauri wa wazazi, dogo arudi kijijini ajifungue mtoto, mtoto akiwa mkubwa, aje hapo nyumbani, kaeni kikao cha kifamilia mdogo wako na mumeo waombe msamaha kwa jambo lililotokea na mzungumzie utaratibu wa matunzo ya mtoto. Life goes on. Ukishindwa hilo. File for a divorce ukaolewe na mtu atakayekusubiria umalize shule (tena Masters, unga na PHd kabisa) ndio ukubali kumzalia mtoto.

I second u!
 
Habari za asubuhi wanajamvi,

Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa muda sasa.

Nimeolewa na Nina miaka miwili kwenye ndoa lakn sikuwa tayari kuzaa kwakuwa tulikubaliana mpaka nimalizie masomo yangu ya masters ambayo natarajia kumaliza mwaka huu.

Tumekuwa tunaishi vizuri tu na mume wangu nikimtii na kuwajibika kwa majukumu yangu yote kama mke kwa mumewe pamoja kuwa Ninafanya kazi na kusoma pia.

Mimi ni muajiriwa lkn mume wangu wangu ni mfanyabiashara kariakoo.

Nina mdogo wangu ambaye aligraduate mwaka jana akaomba akae kwangu wakati anatafuta kazi, sikuona shida nikamkubalia.

Tangu aje tumekuwa tukiishi vizuri tena kwa amani.

Kama Dada nilijitahidi kumtengea mdogo wangu bajeti yake toka kwenye mshahara wangu kwa kila mwenzi iliaweze kumudu kufuatilia mambo yake kirahisi.

Baada yakuwa nae kwa miaezi mitano nikaanza kuona mabadiriko kadhaa.
Akawa karibu na mume wangu sana, sikujali nikajua ni ushemeji tu.

Siku moja nilirudi nyumbani mapema sikukuta mtu.

Nikaendelea na maandalizi ya chakula cha jioni, nikiwa jikoni nikasikia sauti ya mume wangu na mdogo wangu wanabishana.

Niliposogea dirishani nisikilize vizuri huku nikichungulia nje nikaona dogo analia na mume wangu anambembeleza huku akimfuta machozi.

Nikatulia nione nini kinaendelea, nikasikia mume wangu anamwambia itabidi tuitoe maana Dada yako akijua wote tutakuwa nawakati mgumu..

Nikachukua simu yangu nikawa nawarekodi, baada ya muda wakaingia ndani nami nikajifanya sijui chchte.

Sikuwauliza chchte nikijipa muda wa kufanya utafiti zaidi.

Baada ya wiki, mdogo wangu akaniambia kuwa ana shida na Mimi.

Nikamsikiliza akaniambia kuwa ana mimba..

Sikuhamaki wala kuonyesha kama najua chchte, nilimuulize nani muhusika akajibu hajui.

Nikamwambia kama hujui sina namna ya kukusaidia siku ukijua utaniambia nijue jinsi ya kukusaidia.

Akaanza kulia na kunipigia magoti huku akisema nisamehe Dada, nikamwambia wala hujanikosea.

Nikamwambia wewe ni mtu mzima umeamua kuzaa kunashida gani?

Baba wa mtoto naamini yupo kwahiyo sikuhukumu.

Akasema, kuna jambo nataka nikwambie..
Niikamwambie aniambie..
Akasema lakini naomba unisamehe, shemeji ndo amenipa mimba.

Kwakweli niliumia sana, nikamuuliza wana muda gani tangu waanze mahusiano akajibu ni miezi minne sikujibu neno, nikaendelea na shughuli zangu.

Mume wangu alikuwa matembezi, aliporudi nikawaita wote wawili, nikamwambie Dogo aseme alichoniambia mbele ya shemeji yake.

Akasema tena ana mimba ya shemeji yake..mume wangu kusikia vile akataka kuwa mkali..

Nikamwambia hana haja ya kufoka, nikanyamaza sikusema wala kulaumu chchte.

Nikaamua kuwaita wazazi wangu na wake pia bila wao kujua,

Walipo kuja nikawambie Mimi ndiye niliyewaita lkn mume wangu na mdogo wangu ndiyo wanachakuwaambia.

Walipoulizwa wanasemaje dogo akaeleza kuwa anamimba ya shemeji yake..

Mume wangu alipoulizwa kwa unyonge sana alikubali. Wazazi wakaniuliza Nina maamuzi gani?
Nikawajibu nimeamua kumuachia mume mdogo wangu.

Wazazi wakanisihi nimsamehe na tuendelea na maisha ya ndoa..na dogo arudi kwa wazazi.

Niliwakatalia nakuwambia kuwa nisingeweza kuvumilia ndoa ya aina Ile..nikamwambia wasijipotezee muda wao kuniambia cha kufanya niliwaita waje wasikie uchafu niliofanyiwa then baada ya hapo mimi ndo nitoe maamuzi
Nilisisitiza maamuzi yangu nikutoendelea na ndoa tena.

Waliniambia nisichukue uamuzi bila kutafakari wakanipa wiki tatu za kufikiria Leo hii ni siku ya nane tangu nipewe muda wa kutafakari..

Niliwaomba niwe mbali na watuhumiwa wangu kipindi cha kutafakari.

Nikawasihisi watuhumiwa wao ndo wanipishe nyumbani kwangu, maana tunapoishi ni kwangu.

Wameondoka na sijui walipo kwenda.

Binafsi sijisikii kuendelea kuishi na huyu mwanaume ingawa kweli tumeshafunga ndoa lkn siwezi kuwa na raha ya ndoa ktk mazingira kama haya.

Najiuliza heshima yangu iko wapi?

Jamii inanionaje?

Na mtoto atayezaliwa ntamuonaje?

Naona dhambi hii ni kubwa sana siwezi kuibeba.

Wadau naomba msaada maamuzi niliyochukua naweza kuwa sahihi? Nisaidie plz.

Naomba plz sihitaji matusi wala mizaha nahitaji ushauri na faraja.

Naamini ktk wingi wamashauri hapakosi hekima.
Nadhani uamuzi uliochukua ni wa busara sababu umetoka moyoni mwako. Lkn msamehe mdogo wako na usiweke kinyongo sababu mwanaume ndiye alimshawishi mdogo wako akijua kuwa ni mume wa mtu. Huyo mdogo wako labda sababu ya shida na kutoka ujanani akawa na hamu ya ngono sijui alishawishiwa vipi na shemeji. SAMEHE TUU
 
Pole Leah wa watu, nikusifu kwa hekima na subira uliyonayo juu ya jambo hillli, naweza kusema wewe ni strong woman binafsi nimejifunza mengi kupia sakata lako. Naamini kama ulivyotumia hekima kwa hatua za awali hata hapo ulipobakiza unatumia hekima pia..fuata moyo wako
 
wazinzi hawana nafasi ya kusamehewa wala kuhurumiwa kwa kuwa vitendo vyao ni vya hatari na vinaweza kupelekea mwenza kuambukizwa magonjwa yasiyotibika.
 
Attachments

  • cheater.jpg
    cheater.jpg
    25.2 KB · Views: 77
dah pole sana mwaya..hawa wanaume sijui sometimes akili wanaweka wapi..yaani of all wanawake outside there ndio atue kwa mdogo wako..mxiuu

Kwanini hulaumu mdogo mtu..kwani yeye yuko right? Mume aaingeweza kama mdogo mtu angeweka ngumu.
 
Habari za asubuhi wanajamvi,

Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa muda sasa.

Nimeolewa na Nina miaka miwili kwenye ndoa lakn sikuwa tayari kuzaa kwakuwa tulikubaliana mpaka nimalizie masomo yangu ya masters ambayo natarajia kumaliza mwaka huu.

Tumekuwa tunaishi vizuri tu na mume wangu nikimtii na kuwajibika kwa majukumu yangu yote kama mke kwa mumewe pamoja kuwa Ninafanya kazi na kusoma pia.

Mimi ni muajiriwa lkn mume wangu wangu ni mfanyabiashara kariakoo.

Nina mdogo wangu ambaye aligraduate mwaka jana akaomba akae kwangu wakati anatafuta kazi, sikuona shida nikamkubalia.

Tangu aje tumekuwa tukiishi vizuri tena kwa amani.

Kama Dada nilijitahidi kumtengea mdogo wangu bajeti yake toka kwenye mshahara wangu kwa kila mwenzi iliaweze kumudu kufuatilia mambo yake kirahisi.

Baada yakuwa nae kwa miaezi mitano nikaanza kuona mabadiriko kadhaa.
Akawa karibu na mume wangu sana, sikujali nikajua ni ushemeji tu.

Siku moja nilirudi nyumbani mapema sikukuta mtu.

Nikaendelea na maandalizi ya chakula cha jioni, nikiwa jikoni nikasikia sauti ya mume wangu na mdogo wangu wanabishana.

Niliposogea dirishani nisikilize vizuri huku nikichungulia nje nikaona dogo analia na mume wangu anambembeleza huku akimfuta machozi.

Nikatulia nione nini kinaendelea, nikasikia mume wangu anamwambia itabidi tuitoe maana Dada yako akijua wote tutakuwa nawakati mgumu..

Nikachukua simu yangu nikawa nawarekodi, baada ya muda wakaingia ndani nami nikajifanya sijui chchte.

Sikuwauliza chchte nikijipa muda wa kufanya utafiti zaidi.

Baada ya wiki, mdogo wangu akaniambia kuwa ana shida na Mimi.

Nikamsikiliza akaniambia kuwa ana mimba..

Sikuhamaki wala kuonyesha kama najua chchte, nilimuulize nani muhusika akajibu hajui.

Nikamwambia kama hujui sina namna ya kukusaidia siku ukijua utaniambia nijue jinsi ya kukusaidia.

Akaanza kulia na kunipigia magoti huku akisema nisamehe Dada, nikamwambia wala hujanikosea.

Nikamwambia wewe ni mtu mzima umeamua kuzaa kunashida gani?

Baba wa mtoto naamini yupo kwahiyo sikuhukumu.

Akasema, kuna jambo nataka nikwambie..
Niikamwambie aniambie..
Akasema lakini naomba unisamehe, shemeji ndo amenipa mimba.

Kwakweli niliumia sana, nikamuuliza wana muda gani tangu waanze mahusiano akajibu ni miezi minne sikujibu neno, nikaendelea na shughuli zangu.

Mume wangu alikuwa matembezi, aliporudi nikawaita wote wawili, nikamwambie Dogo aseme alichoniambia mbele ya shemeji yake.

Akasema tena ana mimba ya shemeji yake..mume wangu kusikia vile akataka kuwa mkali..

Nikamwambia hana haja ya kufoka, nikanyamaza sikusema wala kulaumu chchte.

Nikaamua kuwaita wazazi wangu na wake pia bila wao kujua,

Walipo kuja nikawambie Mimi ndiye niliyewaita lkn mume wangu na mdogo wangu ndiyo wanachakuwaambia.

Walipoulizwa wanasemaje dogo akaeleza kuwa anamimba ya shemeji yake..

Mume wangu alipoulizwa kwa unyonge sana alikubali. Wazazi wakaniuliza Nina maamuzi gani?
Nikawajibu nimeamua kumuachia mume mdogo wangu.

Wazazi wakanisihi nimsamehe na tuendelea na maisha ya ndoa..na dogo arudi kwa wazazi.

Niliwakatalia nakuwambia kuwa nisingeweza kuvumilia ndoa ya aina Ile..nikamwambia wasijipotezee muda wao kuniambia cha kufanya niliwaita waje wasikie uchafu niliofanyiwa then baada ya hapo mimi ndo nitoe maamuzi
Nilisisitiza maamuzi yangu nikutoendelea na ndoa tena.

Waliniambia nisichukue uamuzi bila kutafakari wakanipa wiki tatu za kufikiria Leo hii ni siku ya nane tangu nipewe muda wa kutafakari..

Niliwaomba niwe mbali na watuhumiwa wangu kipindi cha kutafakari.

Nikawasihisi watuhumiwa wao ndo wanipishe nyumbani kwangu, maana tunapoishi ni kwangu.

Wameondoka na sijui walipo kwenda.

Binafsi sijisikii kuendelea kuishi na huyu mwanaume ingawa kweli tumeshafunga ndoa lkn siwezi kuwa na raha ya ndoa ktk mazingira kama haya.

Najiuliza heshima yangu iko wapi?

Jamii inanionaje?

Na mtoto atayezaliwa ntamuonaje?

Naona dhambi hii ni kubwa sana siwezi kuibeba.

Wadau naomba msaada maamuzi niliyochukua naweza kuwa sahihi? Nisaidie plz.

Naomba plz sihitaji matusi wala mizaha nahitaji ushauri na faraja.

Naamini ktk wingi wamashauri hapakosi hekima.
Habari za asubuhi wanajamvi,

Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa muda sasa.

Nimeolewa na Nina miaka miwili kwenye ndoa lakn sikuwa tayari kuzaa kwakuwa tulikubaliana mpaka nimalizie masomo yangu ya masters ambayo natarajia kumaliza mwaka huu.

Tumekuwa tunaishi vizuri tu na mume wangu nikimtii na kuwajibika kwa majukumu yangu yote kama mke kwa mumewe pamoja kuwa Ninafanya kazi na kusoma pia.

Mimi ni muajiriwa lkn mume wangu wangu ni mfanyabiashara kariakoo.

Nina mdogo wangu ambaye aligraduate mwaka jana akaomba akae kwangu wakati anatafuta kazi, sikuona shida nikamkubalia.

Tangu aje tumekuwa tukiishi vizuri tena kwa amani.

Kama Dada nilijitahidi kumtengea mdogo wangu bajeti yake toka kwenye mshahara wangu kwa kila mwenzi iliaweze kumudu kufuatilia mambo yake kirahisi.

Baada yakuwa nae kwa miaezi mitano nikaanza kuona mabadiriko kadhaa.
Akawa karibu na mume wangu sana, sikujali nikajua ni ushemeji tu.

Siku moja nilirudi nyumbani mapema sikukuta mtu.

Nikaendelea na maandalizi ya chakula cha jioni, nikiwa jikoni nikasikia sauti ya mume wangu na mdogo wangu wanabishana.

Niliposogea dirishani nisikilize vizuri huku nikichungulia nje nikaona dogo analia na mume wangu anambembeleza huku akimfuta machozi.

Nikatulia nione nini kinaendelea, nikasikia mume wangu anamwambia itabidi tuitoe maana Dada yako akijua wote tutakuwa nawakati mgumu..

Nikachukua simu yangu nikawa nawarekodi, baada ya muda wakaingia ndani nami nikajifanya sijui chchte.

Sikuwauliza chchte nikijipa muda wa kufanya utafiti zaidi.

Baada ya wiki, mdogo wangu akaniambia kuwa ana shida na Mimi.

Nikamsikiliza akaniambia kuwa ana mimba..

Sikuhamaki wala kuonyesha kama najua chchte, nilimuulize nani muhusika akajibu hajui.

Nikamwambia kama hujui sina namna ya kukusaidia siku ukijua utaniambia nijue jinsi ya kukusaidia.

Akaanza kulia na kunipigia magoti huku akisema nisamehe Dada, nikamwambia wala hujanikosea.

Nikamwambia wewe ni mtu mzima umeamua kuzaa kunashida gani?

Baba wa mtoto naamini yupo kwahiyo sikuhukumu.

Akasema, kuna jambo nataka nikwambie..
Niikamwambie aniambie..
Akasema lakini naomba unisamehe, shemeji ndo amenipa mimba.

Kwakweli niliumia sana, nikamuuliza wana muda gani tangu waanze mahusiano akajibu ni miezi minne sikujibu neno, nikaendelea na shughuli zangu.

Mume wangu alikuwa matembezi, aliporudi nikawaita wote wawili, nikamwambie Dogo aseme alichoniambia mbele ya shemeji yake.

Akasema tena ana mimba ya shemeji yake..mume wangu kusikia vile akataka kuwa mkali..

Nikamwambia hana haja ya kufoka, nikanyamaza sikusema wala kulaumu chchte.

Nikaamua kuwaita wazazi wangu na wake pia bila wao kujua,

Walipo kuja nikawambie Mimi ndiye niliyewaita lkn mume wangu na mdogo wangu ndiyo wanachakuwaambia.

Walipoulizwa wanasemaje dogo akaeleza kuwa anamimba ya shemeji yake..

Mume wangu alipoulizwa kwa unyonge sana alikubali. Wazazi wakaniuliza Nina maamuzi gani?
Nikawajibu nimeamua kumuachia mume mdogo wangu.

Wazazi wakanisihi nimsamehe na tuendelea na maisha ya ndoa..na dogo arudi kwa wazazi.

Niliwakatalia nakuwambia kuwa nisingeweza kuvumilia ndoa ya aina Ile..nikamwambia wasijipotezee muda wao kuniambia cha kufanya niliwaita waje wasikie uchafu niliofanyiwa then baada ya hapo mimi ndo nitoe maamuzi
Nilisisitiza maamuzi yangu nikutoendelea na ndoa tena.

Waliniambia nisichukue uamuzi bila kutafakari wakanipa wiki tatu za kufikiria Leo hii ni siku ya nane tangu nipewe muda wa kutafakari..

Niliwaomba niwe mbali na watuhumiwa wangu kipindi cha kutafakari.

Nikawasihisi watuhumiwa wao ndo wanipishe nyumbani kwangu, maana tunapoishi ni kwangu.

Wameondoka na sijui walipo kwenda.

Binafsi sijisikii kuendelea kuishi na huyu mwanaume ingawa kweli tumeshafunga ndoa lkn siwezi kuwa na raha ya ndoa ktk mazingira kama haya.

Najiuliza heshima yangu iko wapi?

Jamii inanionaje?

Na mtoto atayezaliwa ntamuonaje?

Naona dhambi hii ni kubwa sana siwezi kuibeba.

Wadau naomba msaada maamuzi niliyochukua naweza kuwa sahihi? Nisaidie plz.

Naomba plz sihitaji matusi wala mizaha nahitaji ushauri na faraja.

Naamini ktk wingi wamashauri hapakosi hekima.
Usisahau kutoa kutoa mrejesho
 
Pole sana na yaliyokukuta!
Kwanza wasamehe wote kwa dhati ya moyoni.
Pili fanya taratibu za kuvunja ndoa.
Tatu mahusiano yako na nduguyo yadumishe,Kwani ndugu yako ni mhanga wa mumeo aliyetumia uwezo wake na urubuni wa aina zote kutimiza lengo lake,Kitendo hata cha mumeo kumtaka aitoe mimba lkn bado mdogo wako akapata angalau ujasiri wa kukuomba msamaha na kukueleza ukweli ni dalili tosha kwamba nduguyo ni mhanga na ukikaa vyema na nduguyo huenda ukajua hata mwanzo wa mahusiano yao huenda yalikuwa ya minadhili ya ubakwaji na baada ya hapo ukawa urubuni ili kuendeleza libeneke .Mpende mtoto atakayezaliwa kwa dhati ya moyo wako, kwani yeye haukumiwi kwa kosa ambalo hakuwa na uwezo wa kulizuia lisitendeke.Nakutakia maamuzi sahihi,Narudia tena Pole sana, Upendo na Faraja viwe karibu na nafsi yako!
 
Kuna nyakati kumwita Mungu kwa maombi akutatulie matatizo yako hakukwepeki kwa mwanadamu. Nini hiki sasa kwako dada Leah 2? Pole sana ila ushauri wangu mshirikishe Mungu na viongozi wako wa dini na uwasikilize kile wakisemacho ni kipi na maamuzi sahihi ni yapi? Utapima mwenyewe katika hayo yote. Asante.
 
Yaani nilicho observe hapa watu wanakosa empathy kabisa wewe kama mme/mke fikiria yakutokee yalimtokea huyu dada Kuwa ndugu yako wadamu analala na mke/mme wako na zaidi kuna mimba
We acha tu pole sana maumivu yake ni makali mimi sijui ningefanyaje the way ulivyohandle very calmly du ingekuwa mimi ile siku nimesikia vumbi lake.
Mweke mungu mbele lkn sioni sababu Ya kukaa na mme wa namna hiyo unaishi mara moja
 
Jaman polen sana Kwa hili,ushauli tutatoa hla maamuz ya mwisho bdo utabak kua nayo WW mwenyewe kwan mwisho matatizo yandoa umalizwa nawanandoa wenyewe,lakin nianze na WW km ulivosema WW ni muajiliwa na mmeo ni mfanyabiashara yawezekena ikindo kiin cha mgogoro mpaka kufkia hli tatizo,ukwel asilimia kubwa wanawake wengi mkishakua na elimu zaid ya Mme weng wenu usisahau sana na kuweka pemben missing yandoa na maagizo ya Mungu yasemayo mwanaume nikichwa cha familia ambapo wanawake uagizwa kueshimu wame km wazaz wao na wame uelekezwa kuwapenda wake zao,Kwa hli mala nying ushindwa kutekelezwa na km unavosema km unavoish n kwako mala nying ukuta mwanaume anapewa maneno meng ya kejel,mkitofautiana kidogo utaskia kwan WW nae nimwanaume Kat ya mwanaume! Mala tatizo sio lako ni elimu! Na maneno mengine meng,wengine HD kufka hatua ya kunyimwa unyumba na hii haijalish hata km mwanaume yuko vizur kiuchumi na labda ndokamsomesha mke lakin mala nying wanawake usisahau,km ulivosema kua ulimtengea bajet mdogo wako yawezekena hata mwanaume ukumshilikisha kitu ambacho unakuta mwanaume anaumia sana,pia kuna uwezekano wa kumzalilisha Mme mbele ya shemeji yako,au kuonekana hta upend ndugu zake waje mala Kwa mala kuwatembelea Kwa vile WW ndoumejenga mji yote hayo ambayo nmegusia mwanaume ambae hana busala akifanyiwa ufanya matukio km hyo Kwa ajili ya kukomoa au mwingine uona akitembea na shemeji take itakua rahis sana kupata siri za mke wake ambapo shetan nae akishaona kuna uzaifu huo nae uchukua nafas paspo kuchelewa ndomaana mwanaume weng ukutwa wanatembea na wafanyakaz wandan ,kwan mala nying ukuta wanawake wanasahau wajibu wao,utakuta bint wa kaz ndo anamtengea Mzee maji bafun,mala chakula mala chai Mzee akija na zawad bint ndoanaenda kumpokea uku Mama amekaa tu kanyosha miguu unaangalia bongo movie,sio kwamba nakuukumu WW km ndo Mwenye makosa Bali najalibu kutoa picha,Mwanaume pia usisahau maana issue km hyo hta km mkisameana bdo mwanamke ubak na kidonda moyon ambacho uchukua miaka mingi hta ukimfanyia mazur bdo mwanamke ukumbuka ,ambacho skujua nimda gan mmeish kwenye ndoa km mmekaa mda mwingi mwanaume walio weng mspopata mtoto huwa wepes wa kukata tamaa na kusahau maandiko ya Mungu ivo mwingine huona afazar azae na mdogo mtu kuliko kwenda nje kwan uamin hata akitoweka au Mama mtoto akitoweka hutoweza kumtesa mwanae km ambavyo angemzaa Kwa mwanamke wa nje,Ushauli..Hukutakiwa kumfukuza mwanaume Bali ulitakiwa umludishe mdogo wako nyumban kwanza then ukae na mmeo chin na mpate muafaka, Nikosa kubwa mno matatizo ya ndoa kuwashilikisha wazaz au ndugu,mkishindwa kuyatatua mala Mia kuwaona viongoz wa kidin,pia naamin APO ulipo unamawazo ambayo yataendelea kukusumbua na kushauli pia uwaone pia wtaalam wa stess management naamin watakusaidia kwan hamna kitu kibaya km stress pia ikiwa kweli bdo unampenda mmeo ichukulie hyo km changamoto ya maisha muite muyamalize maana hamna mkamilifu dunian,vilevile naomba msamehe mdogo wako na mwambie asitoe hyo mimba Bali endelea kumpa msaada na ushauli wooooote pitia hla jibu la mwisho liwe kwako WW mwenyewe na kaa chin jikabiz Kwa Mungu naamin atakuonyesha njia.
 
Katika jamii zingine kuoa mabinti wawili kutoka familia moja ni jambo la kawaida na sahihi kabisa, isitoshe ni heshima kubwa pia, hivyo kwa ufupi tu nakusihi endelea kuishi vizuri tu na mke mwenzio.
 
Pole dada, elimu imekusaidia kuamua kwa busara maamuzi ya awali kuishi pekeyako uweze kutafakari. Ushauri, huna haja ya kufikiria tena cha kufanya, mume hana heshima tena ktk familia yenu, ni mtu ambae hutoweza jivunia kuwanae kwakuwa hutokuwa unajiamini tena, watu watakaofahamu habari hii mjini na vijijini mlikotoka watakutizama kwa jicho la kejeli, mahusiano hayafi wawili hawa hawatoachana hata wangeapa kanisani au msikitini, mdogoako msamehe japo hakustahili lakini mlanawe hafinawe ila mzaliwanawe hufanawe, msamehe pia mumeo ila sio kwa kurudiana bali awehuru kuoa mke na kuanza maisha usimuwekee kipingamizi chochote ikiwa atafanya hivyo, fanya maisha yaende usifikirie nyuma tumia elimu uliyonayo japo nawe unamakosa yako ktk hili kwa kupanga myda mrefu wa kutokuwa na mtoto ilihali umeshafunga ndoa. Kanisa au wasimamizi wasikuamulie cha kufanya kwa kigezo cha ndoa na imani maana kupangika au kuharibika kwa maisha yako haitawahusu. Mungu akikupa mume mwingine jaribu kuwa karibu zaidi na usimruhusu mdogo au shogako kuwa close. Naomba kuishia hapa.
 
Pole sana na yaliyokukuta!
Kwanza wasamehe wote kwa dhati ya moyoni.
Pili fanya taratibu za kuvunja ndoa.
Tatu mahusiano yako na nduguyo yadumishe,Kwani ndugu yako ni mhanga wa mumeo aliyetumia uwezo wake na urubuni wa aina zote kutimiza lengo lake,Kitendo hata cha mumeo kumtaka aitoe mimba lkn bado mdogo wako akapata angalau ujasiri wa kukuomba msamaha na kukueleza ukweli ni dalili tosha kwamba nduguyo ni mhanga na ukikaa vyema na nduguyo huenda ukajua hata mwanzo wa mahusiano yao huenda yalikuwa ya minadhili ya ubakwaji na baada ya hapo ukawa urubuni ili kuendeleza libeneke .Mpende mtoto atakayezaliwa kwa dhati ya moyo wako, kwani yeye haukumiwi kwa kosa ambalo hakuwa na uwezo wa kulizuia lisitendeke.Nakutakia maamuzi sahihi,Narudia tena Pole sana, Upendo na Faraja viwe karibu na nafsi yako!
Asante sana
 
Pole dada, elimu imekusaidia kuamua kwa busara maamuzi ya awali kuishi pekeyako uweze kutafakari. Ushauri, huna haja ya kufikiria tena cha kufanya, mume hana heshima tena ktk familia yenu, ni mtu ambae hutoweza jivunia kuwanae kwakuwa hutokuwa unajiamini tena, watu watakaofahamu habari hii mjini na vijijini mlikotoka watakutizama kwa jicho la kejeli, mahusiano hayafi wawili hawa hawatoachana hata wangeapa kanisani au msikitini, mdogoako msamehe japo hakustahili lakini mlanawe hafinawe ila mzaliwanawe hufanawe, msamehe pia mumeo ila sio kwa kurudiana bali awehuru kuoa mke na kuanza maisha usimuwekee kipingamizi chochote ikiwa atafanya hivyo, fanya maisha yaende usifikirie nyuma tumia elimu uliyonayo japo nawe unamakosa yako ktk hili kwa kupanga myda mrefu wa kutokuwa na mtoto ilihali umeshafunga ndoa. Kanisa au wasimamizi wasikuamulie cha kufanya kwa kigezo cha ndoa na imani maana kupangika au kuharibika kwa maisha yako haitawahusu. Mungu akikupa mume mwingine jaribu kuwa karibu zaidi na usimruhusu mdogo au shogako kuwa close. Naomba kuishia hapa.
Umemshauri vizuri sana
 
Back
Top Bottom