Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,621
- 10,839
😂😂😂😂Kaandika mwingine nimejiona fara mm😂😂😂. Kuna thread humu daah.
Mimi ni kijana mdogo mwenye miaka 29, nimesoma diploma ya masuala ya afya, baada ya kuhitimu nilikaa sana kijijini bila ajira. Dada na mume wake wakaamua kuniita mjini nijaribu bahati yangu.
Ila huku nako hali imezidi kuwa mbaya, kazi hakuna. Cha ajabu siku hizi wamenianzishia visa, dada na mume wake wanataka na mm niwe nafanya kazi za hapa nyumbani, wakati wafanyakazi wapo. Nilivyokataa kutumikishwa, mume wake dada anataka kunirudisha kijijini. Nimemwambia kijijini siendi, labda anipe mtaji. Amekataa kata kata, na sio kwamba hela hana. Hela anazo maana kila mwisho wa wiki anapendaga kutoka yeye na dada.
Wanashindwa kujibana hata mwezi ili mimi nipate mtaji? Leo tumezozana sana, walivyo na tabia mbaya, wameanzisha haya malumbano wakati wa kula. Hapa nipo na msongo wa mawazo, pia njaa ni kali maana nimegoma kula chakula chao usiku.
Naombeni ushauri, sielewi nifanye nini.
Kula bure uko sawa lakini kukata gogo unanionea brooHaki ni kula bure na kugomea kazi?
Hizo huduma zote zinaambata maana ukila lazima ukate gogo.Kula bure uko sawa lakini kukata gogo unanionea broo
Basi ntakata gogo kwa jirani ila msosi usiache kunipaHizo huduma zote zinaambata maana ukila lazima ukate gogo.
Asiefanya kazi na asile, utakula huko unapokata gogo.Basi ntakata gogo kwa jirani ila msosi usiache kunipa
Kuishi na ndugu kazi sanaWanaanzisha mazungumzo wakati wa msosi [emoji28][emoji28][emoji28]
mkuu.Mimi ni kijana mdogo mwenye miaka 29, nimesoma diploma ya masuala ya afya, baada ya kuhitimu nilikaa sana kijijini bila ajira. Dada na mume wake wakaamua kuniita mjini nijaribu bahati yangu.
Ila huku nako hali imezidi kuwa mbaya, kazi hakuna. Cha ajabu siku hizi wamenianzishia visa, dada na mume wake wanataka na mm niwe nafanya kazi za hapa nyumbani, wakati wafanyakazi wapo. Nilivyokataa kutumikishwa, mume wake dada anataka kunirudisha kijijini. Nimemwambia kijijini siendi, labda anipe mtaji. Amekataa kata kata, na sio kwamba hela hana. Hela anazo maana kila mwisho wa wiki anapendaga kutoka yeye na dada.
Wanashindwa kujibana hata mwezi ili mimi nipate mtaji? Leo tumezozana sana, walivyo na tabia mbaya, wameanzisha haya malumbano wakati wa kula. Hapa nipo na msongo wa mawazo, pia njaa ni kali maana nimegoma kula chakula chao usiku.
Naombeni ushauri, sielewi nifanye nini.
MkuuMashemegi wengine hamnazo ujue anaweza kukuhamishia chumba karibu na cha kwao kisha usiku anampelekea moto mkubwa dadaako hadi usikie [emoji23]
Ushauri
Kama unaipenda ndoa ya dada yako HAMA
Hahahah[emoji23]Mkuu
Huyu ni wa kumshauri afungue mashtaka Barazs la Kata.[emoji3]
Malalamiko yake mazito sana
Mtaji ni afya yako..ondoka kwa dada kapambane mtaani...hata kuuza maji ya uhai ni kazi, saidia fundi ni kazi pia..Mimi ni kijana mdogo mwenye miaka 29, nimesoma diploma ya masuala ya afya, baada ya kuhitimu nilikaa sana kijijini bila ajira. Dada na mume wake wakaamua kuniita mjini nijaribu bahati yangu.