Mume wake dada hataki kunipa mtaji

Mume wake dada hataki kunipa mtaji

Mimi ni kijana mdogo mwenye miaka 29, nimesoma diploma ya masuala ya afya, baada ya kuhitimu nilikaa sana kijijini bila ajira. Dada na mume wake wakaamua kuniita mjini nijaribu bahati yangu.

Ila huku nako hali imezidi kuwa mbaya, kazi hakuna. Cha ajabu siku hizi wamenianzishia visa, dada na mume wake wanataka na mimi niwe nafanya kazi za hapa nyumbani, wakati wafanyakazi wapo. Nilivyokataa kutumikishwa, mume wake dada anataka kunirudisha kijijini. Nimemwambia kijijini siendi, labda anipe mtaji. Amekataa kata kata, na sio kwamba hela hana. Hela anazo maana kila mwisho wa wiki anapendaga kutoka yeye na dada.

Wanashindwa kujibana hata mwezi ili mimi nipate mtaji? Leo tumezozana sana, walivyo na tabia mbaya, wameanzisha haya malumbano wakati wa kula. Hapa nipo na msongo wa mawazo, pia njaa ni kali maana nimegoma kula chakula chao usiku.

Naombeni ushauri, sielewi nifanye nini.
Wewe ni KE au ME??? tuanzie hapa kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeshindwa kupata hata kibarua ya kuuza duka la dawa la muhimu la binadamu au unachagua mshahara mkubwa
 
Mimi ni kijana mdogo mwenye miaka 29, nimesoma diploma ya masuala ya afya, baada ya kuhitimu nilikaa sana kijijini bila ajira. Dada na mume wake wakaamua kuniita mjini nijaribu bahati yangu.

Ila huku nako hali imezidi kuwa mbaya, kazi hakuna. Cha ajabu siku hizi wamenianzishia visa, dada na mume wake wanataka na mimi niwe nafanya kazi za hapa nyumbani, wakati wafanyakazi wapo. Nilivyokataa kutumikishwa, mume wake dada anataka kunirudisha kijijini. Nimemwambia kijijini siendi, labda anipe mtaji. Amekataa kata kata, na sio kwamba hela hana. Hela anazo maana kila mwisho wa wiki anapendaga kutoka yeye na dada.

Wanashindwa kujibana hata mwezi ili mimi nipate mtaji? Leo tumezozana sana, walivyo na tabia mbaya, wameanzisha haya malumbano wakati wa kula. Hapa nipo na msongo wa mawazo, pia njaa ni kali maana nimegoma kula chakula chao usiku.

Naombeni ushauri, sielewi nifanye nini.
Katiba Mpya sijui kama itakuja kwa akili hizi
 
Kijana tafuta chako. Msaada sio haki yako. Usiwachukie watu kisa hawajakusaidia
 
Back
Top Bottom