...Mkewe ni rafiki yako, ongea nae hizo kero msikie nae atasema nini. Muhimu msisitizie hupendezwi na hizo 'mbwembwe' za shemeji, hata kama atakuhakikishia "hang'ati!"
eti hang'ati...lolz
...Mkewe ni rafiki yako, ongea nae hizo kero msikie nae atasema nini. Muhimu msisitizie hupendezwi na hizo 'mbwembwe' za shemeji, hata kama atakuhakikishia "hang'ati!"
Kuathirika kwa mke na watoto yatakuwa ni matokeo ya matendo ya huyo jamaa. Vile vile nilitegemea na wewe mwenyewe ungejiona mwathirika (kwa sababu umesema unadhalilishwa) lakini sidhani kama unaliona hilo na kama unaliona basi unalifumbia macho. You can't be serious sister girl.
Asante NN, sijalifumbia macho ndio maana nililiweka wazi kwake kamba sifurahii, pengine sikueleweka. Sijazungumza nae sababu anayafanya hayo mbele yake kwahiyo anatambua anachokifanya mume wake, ndio maana nikasema nilitarajia angekuwa wa kwanza kumkemea kabla yangu.
sante sana,
Annina
Hili mbona rahisi sana...Wewe usi-entertain hayo mambo yake kama kweli huna nia naye. Fanya jitihada zote za kumkwepa, kumuepuka, na kumwonesha kuwa you are as serious as a heart attack. Kwamba hutaki, hupendi, na hufurahishwi na anachofanya. Unaweza kuanza na lugha yako ya mwili. Lugha ya mwili inaweza kuelezea mengi sana bila hata ya kufungua mdomo wako. Asipoelewa lugha yako ya mwili basi mwambie. Mweleze kwa lugha inayoeleweka na isiyo na utata wowote.
Hii siyo sayansi ya maroketi ya kwenda angani. Mtu yeyote mwenye maarifa ya kawaida tu ataweza kujua jinsi gani ya kukabiliana na jambo kama hilo kama KWELI ana nia ya kufanya hivyo. Ila sema akina dada wakati mwingine nao wanapenda hizi attention halafu wanajifanya hawazipendi.
Nadhani unamuendekeza, posibly kwa sababu zako binafsi!
Mkuu hiyo bolded....nimeipenda sana. Ni ushauri mzuri na unaotekelezeka kirahisi sana kama kweli unamaanisha kutokumpenda huyo fisadi wa mapenzi.
Ndio maana nikasema it is not rocket science. But watu tumetofautiana........
Binti yangu wa miaka 7 akifanyiwa kitu asichokipenda na mvulana anamsemea huyo mvulana kwa mwalimu na mimi ananiambia. Sembuse mtu mzima na mananihino yake...WTF
Anina ......
I miss u so........
Hujambo?
Kuhusu huyo jamaa,unahitaji a man around,ili amfumue mangumi siku moja ndo aelewe...
Ngoja nije huko.........
sometimes malezi yanachangia,
watu wengine wamelelewa kutokupinga kitu hasa kutoka kwa mtu mkubwa...
ukiangalia watoto wanaokuwa abused wengi wao,huwa wanalelewa kutii kutii tu.
na sio kupinga kitu wanachoona tofauti.....
[/COLOR][/B]
Asante NN kwa ushauri, nimejaribu kumuonyesha na kumwambia spendi anachokifanya, na kama nilivyosema awali sina mazoea nae wala utani ni kama anaang'ang'ania kunizoea. Hapo kwa bold inawezekana wadada tunapenda attention lakini kwangu mimi anachokifanya si attention bali ni udhalilshaji!
Annina
Ndio maana nikasema it is not rocket science. But watu tumetofautiana........
Binti yangu wa miaka 7 akifanyiwa kitu asichokipenda na mvulana anamsemea huyo mvulana kwa mwalimu na mimi ananiambia. Sembuse mtu mzima na mananihino yake...WTF
[/COLOR]
[/COLOR]
NN at his best...lol
Annina