Mume wa rafiki yangu

...Mkewe ni rafiki yako, ongea nae hizo kero msikie nae atasema nini. Muhimu msisitizie hupendezwi na hizo 'mbwembwe' za shemeji, hata kama atakuhakikishia "hang'ati!"

eti hang'ati...lolz
 
Nadhani unamuendekeza, posibly kwa sababu zako binafsi!
- Wewe ni single, married, divorced, widowed?
- Wewe unapomuona unahisi vipi? I mean kuna hisia yoyote uliyonayo juu yake?
- Umeshaongea na mke wake kuhusu kutopendezwa na tabia ya mumewe?
- Kwani njia yao ya kwenda kazini inapitia barazani kwako?
 
Labda jamaa alimuoa huyo rafiki yako under a certain influence.....
Sasa amekuona wewe ndio anayekupenda ila ndio hivyo tena ashaoa.

au

Ni likware tu linaendeleza tabia yake ya kifatki-fataki na kizandiki kwa kila female gender
 
Kuathirika kwa mke na watoto yatakuwa ni matokeo ya matendo ya huyo jamaa. Vile vile nilitegemea na wewe mwenyewe ungejiona mwathirika (kwa sababu umesema unadhalilishwa) lakini sidhani kama unaliona hilo na kama unaliona basi unalifumbia macho. You can't be serious sister girl.

Asante NN, sijalifumbia macho ndio maana nililiweka wazi kwake kamba sifurahii, pengine sikueleweka. Sijazungumza nae sababu anayafanya hayo mbele yake kwahiyo anatambua anachokifanya mume wake, ndio maana nikasema nilitarajia angekuwa wa kwanza kumkemea kabla yangu.


sante sana,

Annina
 
Kuna wanaume wengine wakwale hawana Adabu anafanya visa mbele ya wife kweli huyo amekubuhu.
Annina mwambie ukweli hupendi hizo tabia zake za kifisadi
Na kama ataendelea kukufata ..mseme mbele ya mke wake kuwa hupendezwi na tabia za mmewe ..ingawa ataumia lakini ni vyema aujue ukweli
 
Hii haijatulia sana, na naamini mke wake hafurahishwi sana na inawezekana katika background anakuchunguza maana kama unavyoshangaa kwa yeye kutoonesha kukerwa hata yeye atakuwa anashangzwa na wewe kutoonesha kukerwa

Ushauri wangu

Jiupushe na huyo mtu, yaani mkwepe kabisa maana wanasema Closeness makes the heart grow fonder so ukaribu wako unaweza kujikuta tu from no where unamzimika msela, halafu ukizingatia ana mke na mtoto yeye anachotaka ni Kumega na kukimbia sasa hii ni Mbaya kwako wewe maana mkewe ni rafikiyo. So Muepuke ikishindikana Mpe Live Ha ha haaaaaaaaaa
 
Hili mbona rahisi sana...Wewe usi-entertain hayo mambo yake kama kweli huna nia naye. Fanya jitihada zote za kumkwepa, kumuepuka, na kumwonesha kuwa you are as serious as a heart attack. Kwamba hutaki, hupendi, na hufurahishwi na anachofanya. Unaweza kuanza na lugha yako ya mwili. Lugha ya mwili inaweza kuelezea mengi sana bila hata ya kufungua mdomo wako. Asipoelewa lugha yako ya mwili basi mwambie. Mweleze kwa lugha inayoeleweka na isiyo na utata wowote.

Hii siyo sayansi ya maroketi ya kwenda angani. Mtu yeyote mwenye maarifa ya kawaida tu ataweza kujua jinsi gani ya kukabiliana na jambo kama hilo kama KWELI ana nia ya kufanya hivyo. Ila sema akina dada wakati mwingine nao wanapenda hizi attention halafu wanajifanya hawazipendi.

Mkuu hiyo bolded....nimeipenda sana. Ni ushauri mzuri na unaotekelezeka kirahisi sana kama kweli unamaanisha kutokumpenda huyo fisadi wa mapenzi.
 
Mkuu hiyo bolded....nimeipenda sana. Ni ushauri mzuri na unaotekelezeka kirahisi sana kama kweli unamaanisha kutokumpenda huyo fisadi wa mapenzi.

Ndio maana nikasema it is not rocket science. But watu tumetofautiana........

Binti yangu wa miaka 7 akifanyiwa kitu asichokipenda na mvulana anamsemea huyo mvulana kwa mwalimu na mimi ananiambia. Sembuse mtu mzima na mananihino yake...WTF
 
Inawezekana mtu na mkewe washakubaliana wanatafuta mtu wa kufanya naye threesome.

Wee mume gani atasema mineno yote hiyo kwa mwanamke mwingine huku mke wake yuko hapo hapo?
 
Ndio maana nikasema it is not rocket science. But watu tumetofautiana........

Binti yangu wa miaka 7 akifanyiwa kitu asichokipenda na mvulana anamsemea huyo mvulana kwa mwalimu na mimi ananiambia. Sembuse mtu mzima na mananihino yake...WTF

sometimes malezi yanachangia,
watu wengine wamelelewa kutokupinga kitu hasa kutoka kwa mtu mkubwa...
ukiangalia watoto wanaokuwa abused wengi wao,huwa wanalelewa kutii kutii tu.
na sio kupinga kitu wanachoona tofauti.....
 
Anina ......
I miss u so........

Hujambo?

Kuhusu huyo jamaa,unahitaji a man around,ili amfumue mangumi siku moja ndo aelewe...


Ngoja nije huko.........


Asante rafiki, mi nipo we ndio huonekani nikadhani maandalizi ya kuelekea Oktoba...hapo kwa bold nimecheka sana - asante.


Annina
 
sometimes malezi yanachangia,
watu wengine wamelelewa kutokupinga kitu hasa kutoka kwa mtu mkubwa...
ukiangalia watoto wanaokuwa abused wengi wao,huwa wanalelewa kutii kutii tu.
na sio kupinga kitu wanachoona tofauti.....

Ni kweli, children learn what they live. Lakini mtu mzima na akili zake? GTFOH....I'm sorry
 
mimi sijaelewa tatizo bado; kama yote anayokuambia tena hadharani, bila kuuma maneno na mbele ya mke wake akimaanisha kuwa ni kweli kwamba:

a. macho ya uhamasishaji
b. Lips sijui za nini
c. Umbo la kampeni
d. Ngozi laini hajawahi kuona
e. n.k n.k

Kama haya yote ni sifa ulizonazo kweli na hadi sasa hajasema neno la kukutaka au hata kukujaribu kukutafuta nje ya muda wa ziada au kuonesha kuwa anataka kukunong'oneza jambo kwanini unamfikiria anakutaka au ana nia nyingine zaidi ya kukupa sifa hizo? Kwanini usichukulie tu at face value na wewe kama unaona kuna vitu vizuri kwake ukamrudishia sifa.

a. Kaka una miguu ya CCM
b. Macho ya chama
c. Umbo la kibalozi
d. Ngozi laini ya kifisadi fisadi

Mpe hizo sifa mbele ya mke wake halafu tuone mtaishia wapi, inawezekana ndio mtakuwa mnaheshimiana zaidi. DON'T take it too serious...

On the other hand.. itakuwaje kama hizo ni preview ya kukupigia mahesabu?
 
[/COLOR][/B]
Asante NN kwa ushauri, nimejaribu kumuonyesha na kumwambia spendi anachokifanya, na kama nilivyosema awali sina mazoea nae wala utani ni kama anaang'ang'ania kunizoea. Hapo kwa bold inawezekana wadada tunapenda attention lakini kwangu mimi anachokifanya si attention bali ni udhalilshaji!


Annina

Annina, chukua ushauri wa NN kama ulivyo, utapoteza urafiki na huyo mwenzako kwa ajili ya kuendekeza huyo baba!!! tell him ukweli au wapotezee kabisa

DN
 
a. Kaka una miguu ya CCM
b. Macho ya chama
c. Umbo la kibalozi
d. Ngozi laini ya kifisadi fisadi

Mpe hizo sifa mbele ya mke wake halafu tuone mtaishia wapi, inawezekana ndio mtakuwa mnaheshimiana zaidi. DON'T take it too serious...

On the other hand.. itakuwaje kama hizo ni preview ya kukupigia mahesabu?[/QUOTE]

Heheheheh.....hapo kwenye blue umeniacha hoi.Na hapo kwenye bold bado kusomeka vyema
 
Ndio maana nikasema it is not rocket science. But watu tumetofautiana........

Binti yangu wa miaka 7 akifanyiwa kitu asichokipenda na mvulana anamsemea huyo mvulana kwa mwalimu na mimi ananiambia. Sembuse mtu mzima na mananihino yake...WTF



NN at his best...lol


Annina
 
[/COLOR]
[/COLOR]

NN at his best...lol


Annina

Dada...kwani wewe mananihino umeyaelewaje? Unaweza ukaninon'goneza pembeni kama hutajali.....(nami nipate kukukumbatia nii-feel hiyo ngozi yako laini...shhhhhh)
 
Back
Top Bottom