Mume wa rafiki yangu

ukiwa makini utalinda ndoa ya rafiki yako

ukilegeza kamba utaibomoa ndoa ya rafikiyo,

hata hivyo onesha kwamba hupendi toka moyoni ushenzi wake,

usidanganyike na sifa akupazo, wewe si mzuri kuliko mkewe amini hivyo,
 
ukiwa makini utalinda ndoa ya rafiki yako

ukilegeza kamba utaibomoa ndoa ya rafikiyo,

hata hivyo onesha kwamba hupendi toka moyoni ushenzi wake,

usidanganyike na sifa akupazo, wewe si mzuri kuliko mkewe amini hivyo,

Asante anyisile, hapo kwenye bold ni kweli kabisa hasa tukizingatia uzuri ni perception. Kama wachangiaji wengine walivyesema, huyu jamaa anaonekana ama mkware mzoefu au ana kipaji cha kutumia maneno - buttering...anaweza kukupa sifa hata usizonazo ili kufikia lengo.


Annina


 
Asante anyisile, hapo kwenye bold ni kweli kabisa hasa tukizingatia uzuri ni perception. Kama wachangiaji wengine walivyesema, huyu jamaa anaonekana ama mkware mzoefu au ana kipaji cha kutumia maneno - buttering...anaweza kukupa sifa hata usizonazo ili kufikia lengo.


Annina


umakini wako utakusaidia sana kama ukiamua kuwa hivyo, kwa nini nimesema hivyo!
kwa uzoefu wangu na ndoa naamini mtu unapofikia kuoa/kuolewa, it means umejiandaa na kujua hakuna atakayetokea mzuri kuliko mkeo/mmeo, hivyo asikubabaishe na maneno ya kuufurahisha moyo ili uwe mmoja wavunjifu wa ndoa za watu, kwanza vipi asifu maungo yako? huyo ni firauni tu asotosheka
 
umakini wako utakusaidia sana kama ukiamua kuwa hivyo, kwa nini nimesema hivyo!
kwa uzoefu wangu na ndoa naamini mtu unapofikia kuoa/kuolewa, it means umejiandaa na kujua hakuna atakayetokea mzuri kuliko mkeo/mmeo, hivyo asikubabaishe na maneno ya kuufurahisha moyo ili uwe mmoja wavunjifu wa ndoa za watu, kwanza vipi asifu maungo yako? huyo ni firauni tu asotosheka

Anyisile, umesema sawa, shukran.

Annina
 
1.sio SIRI kwa namna fulani unampenda huyo jamaa
2.kwa utafiti wake na kwa taarifa anazozipata toka kwa mkewe anajua fika atakuopoa.
3.Kama kweli Humpendi, basi fanya kitu ambacho hatakuja kisahau maishani na atakuepuka akikuona.
4.Unajua NO zingine toka kwa akina dada ni sawa na YES na sitaki zingine ni kama nataka....HAJAKUELEWA...SASA FANYA HIVI.
Hakuna kitu anachochukia mwanamme duniani kama kudharauliwa,tena na mwanamke,isitoshe mbele ya mkewe???!!!!!! aisee.
kwa kujua hilo kwa mfano siku amekukumbatia ungesema tu kwa mshangao mkubwa kuwa '' duuuh sijawahi kuona mwanamme mwenye harufu mbaya/domo linanuka kama mmeo shoga,aisee unaishije nae huyu jamaa shoga yangu?????'' unafanya hivyo huku unakunja uso na ukijifanya unataka kutapika''.Unadhani siku nyingine atakukumbatia???Lakini fanya hivyo ukiwa na tahadhari ya kukwepa kibao toka kwake.
5.Kama hiyo haitoshi mwonyeshe dharau yoyote tu mbele ya mkewe.mfano kama ni mfupi kila ukikutana nao sema '' mi wanaume mbilikimo siwataki kabisa huku ukimtupia macho. na kama ni mrefu sema'' mi wanaume mingongoti na mimi tofauti kabisa''.
6.Ukimwepuka ataendelea kukufuata tu kesha penda,ukimpeleka polisi bado UNALO......
dawa ndio hiyo mfanyie vitendo vitakavyoonyesha kuwa umemdharau sana.Halafu baadae mkiwa na shoga yako mwombe radhi kwa kumdharau mkewe.
7.Au labda shoga yako ndie aliependekeza kwa mumewe kuwa wewe unampenda sana.....ili ukiingia KINGI basi nae amdake au amchukue mmeo akuachie GALASA uhangaike nalo? ha ha ha ha ha.......mjini hapa mama.
haya hiyo ndio kwinini nimekupa. ukitaka meza upone hutaki ni juu yako.....siku si nyingi utaanza kumwambia...''i miss you''
SAMAHANI WANA JF KAMA NIMEWAKWAZA
 
Asante Tall kwa kwinini...natumai nitapata nafuu ya haraka na hatimae kupona kabisa - kama ndio dozi ya ugonjwa huu! Nashukuru pia kwa tahadhari ya kujiweka tayari kukwepa vibao nadhani sio tu kutoka kwa mume bali pia kutoka kwa rafiki yangu maana hata kama wana tofauti zao, sidhani kama atakuwa radhi mume wake adharauliwe kiasi hicho mbele yake, kimsingi kashfa hizo zitakuwa za mke zaidi kwa kushindwa kumtunza mume wake lol!


Annina
 
Wapendwa nina rafiki ambae pia ni jirani yangu. Urafiki ulianzia kwa mtoto wao wa miaka 4, tukafahamiana na mama wa mtoto na tukawa marafiki na hatimae nikatambulishwa kwa baba wa mtoto ambae pia ni mume wa huyu rafiki yangu. Tulipoonana mara ya kwanza akadai nafanana sana na dada mmoja na haamini kama hatuna undugu na huyo dada - mke wake hamfahamu huyo mdada ninaefananishwa nae nami simfahamu pia.

Toka siku hiyo kila tunapoonana amekuwa hakosi cha kusema juu yangu, mara nina macho ya uhamasishaji, lips sijui za kufanyaje.... umbo la kampeni... nk nk. Amekuwa akiyasema hayo mbele ya mke wake na rafiki zake. Sijamzoea wala sina utani nae, na nimeweka wazi kwamba sifurahii anachokifanya lakini ni kama hanielewi. Leo asubuhi tumekutana akiwa na mke wake wanaelekea kazini, mke wake akaja kunisalimia na kunihug, mume nae akaja akafanya kama mke wake hii ni mara ya kwanza kwa yeye kunihug, akashtuka kama kapigwa shoti na akasema nina ngozi laini hajapata kuona! Nilijisikia vibaya na niliona mke wake pia amekosa amani. Sijui kilichoendelea baada ya kuachana nao. Nimebaki na maswali mengi na sijui ana maana gani kwa anayoyafanya lakini naona anavuka mipaka. Nilikuwa na imani mke wake atachukua hatua na kumkanya, sijui kama amefanya hivyo.

Wapendwa mnalionaje hili?


Annina

Ha ha haaaa Nimesoma tena Nimcheka sana, Annina kaa mbali coz the guy has damn good romantic verses any girl would like to hear

Mchana mwema jamani
 
Pole dada, suluhisho naona ni kumkabili mkewe na kumueleza usivyopendezwa na tabia yake hiyo mbovu. Kama unaonesha kukerwa pale anapofanya hivo mbele ya mkewe lkn bado hujalisema wazi, mkewe atadhani kuwa unatumia janja ya "Sizitaki mbichi hizi" kwa vile mwanamke yupo.
Kuwa muwazi.
 
...........mhhhhhhhhhhh!!Njia nzuri hapo ni kuwaepuka wote huyo rafiki yako na mume wake usiwe close nao. Bila hivyo mtakuja kukorofishana na huyo rafiki yako kwa ajili ya mume wake. Ninavyosema hivi mimi mwenyewe yalishanikuta kama hayo, hivyo hivyo mume wa rafiki kutwa kunisifia hadi mkewe ambaye ni rafiki yangu wivu ukamwingia na kuhisi namchukulia mumewe kumbe mumewe alikuwa limbukeni tu.Halafu mbaya zaidi anakusifia vitu ambavyo mkewe hana hapo ndio kasheshe kweli kweli.

Pretty ulitumia njia gani kum mwaga huyo jamaa? mana wenzako wanatumia parking moja...
 
mimi sijaelewa tatizo bado; kama yote anayokuambia tena hadharani, bila kuuma maneno na mbele ya mke wake akimaanisha kuwa ni kweli kwamba:

a. macho ya uhamasishaji
b. Lips sijui za nini
c. Umbo la kampeni
d. Ngozi laini hajawahi kuona
e. n.k n.k

Kama haya yote ni sifa ulizonazo kweli na hadi sasa hajasema neno la kukutaka au hata kukujaribu kukutafuta nje ya muda wa ziada au kuonesha kuwa anataka kukunong'oneza jambo kwanini unamfikiria anakutaka au ana nia nyingine zaidi ya kukupa sifa hizo? Kwanini usichukulie tu at face value na wewe kama unaona kuna vitu vizuri kwake ukamrudishia sifa.

a. Kaka una miguu ya CCM
b. Macho ya chama
c. Umbo la kibalozi
d. Ngozi laini ya kifisadi fisadi

Mpe hizo sifa mbele ya mke wake halafu tuone mtaishia wapi, inawezekana ndio mtakuwa mnaheshimiana zaidi. DON'T take it too serious...

On the other hand.. itakuwaje kama hizo ni preview ya kukupigia mahesabu?

haaaa haaa hiii kali ya leo leo!
 
Kwa vile umesema uko karibu kiasi na hiyo familia, unaweza kucomment juu ya quality ya uhusiano wa hiyo married couple? Napata taabu kuelewa jinsi ambavyo mwanaume anaweza kumsifia mwanamke mwingine right in front of her like that bila mkewe kukerwa...

Maybe wana uhusiano mzuri uliojaa utani kiasi kwamba kwao it is not a big deal... or maybe wana joint crusade ya kukuingiza na wewe katika uhusiano wao... :painkiller:
 
[/COLOR][/B]
Asante NN kwa ushauri, nimejaribu kumuonyesha na kumwambia spendi anachokifanya, na kama nilivyosema awali sina mazoea nae wala utani ni kama anaang'ang'ania kunizoea. Hapo kwa bold inawezekana wadada tunapenda attention lakini kwangu mimi anachokifanya si attention bali ni udhalilshaji!


Annina

Hivi ni nini maana ya udhalilishaji? Yaani mwanaume akikusifia kwamba una umbo la kampeni (hii nimeipenda, nitaitumia kutongozea Uswahili kwetu), macho mazuri, lips za kufa mfu na ngozi nyororo anakuwa amekudhalilisha ?
 
Nadhani unamuendekeza, posibly kwa sababu zako binafsi!
- Wewe ni single, married, divorced, widowed?
- Wewe unapomuona unahisi vipi? I mean kuna hisia yoyote uliyonayo juu yake?
- Umeshaongea na mke wake kuhusu kutopendezwa na tabia ya mumewe?
- Kwani njia yao ya kwenda kazini inapitia barazani kwako?

I guess the chemistry is there, that is why is being over-protective. Maana anajua akijilegeza kidogo tu kamaa anakula mzigo!
 
Back
Top Bottom